Prof_Adventure_guide
JF-Expert Member
- Dec 21, 2023
- 529
- 1,494
Yaani kweli kabisa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anasimama hadharani, bila aibu, bila busara, na kusema Wakenya ni watovu wa nidhamu? For real? That’s messed up! Mama Samia, hii siyo njia ya kuongoza taifa lenye watu wazima, wasomi, na wenye fikra huru. Hawa Wakenya uliowazodoa hadharani ni watu wanaoheshimika kwenye nyanja za haki za binadamu, sheria, na demokrasia – watu wanaotambuliwa kimataifa. Badala ya kuwakumbatia na kusikiliza walichokuja nacho, unawa-diss kama watoto wa mtaani, ukijifanya superior, yet ukweli ni kwamba you shook!
Unawazuia kuingia nchini bila sababu za msingi, just because you scared they gon’ speak facts? You scared of justice? You scared of dialogue? Damn! This is Tanzania, not a one-man show. Wananchi tunaomba tume huru – is that too much to ask? Kama kweli unajiamini, kama kweli mnajua mnayo support ya wananchi, then why act paranoid? Why block people? Why all the drama, mama?
Huo ni udhaifu wa hali ya juu. Umeacha hoja ya msingi – hoja ya tume huru – ukaamua kudandia ishu ya Wakenya kama distraction. That’s not leadership, that’s fear. Na hiyo hofu yako inaitesa nchi nzima, inatudhalilisha kimataifa, inatuonyesha kama taifa linaloongozwa na panic, not principle. And that’s embarrassing, period.
Sisi kama wasomi hatuwezi kaa kimya. Hatuwezi kuona ujinga unafanyika halafu tuchekecheke kwa sababu tunaogopa madaraka. No! Uongozi wa aina hii unadhalilisha taaluma, unadhalilisha historia ya taifa hili lililojengwa kwenye misingi ya heshima, umoja na hekima. Hawa waliotaka kuingia nchini si magaidi, si wahaini, si maadui – ni watu waliokuja kujionea kwa macho yao, kujifunza, kusaidia hata kwa ushauri. Lakini kwa kuwa huwezi kubeba criticism, you shut them down. That ain’t cool.
Tunaumia. Tunaumia kama taifa. Tunaumia kama wasomi. Tunaumia kama kizazi kinachotaka haki na uwazi. Mama Samia, you crossed the line. You let fear drive the narrative. And that ain’t what real leaders do. Real leaders embrace challenge, they don’t run from it. Real leaders listen, they don’t label people. Na kama hutaki haki izungumzwe, basi ni wazi kuwa unaogopa ukweli – na kama unaogopa ukweli, then you got no business being a leader.
So please, cut the crap. Wacheni drama, tupeni tume huru, and stop fighting ghosts. Taifa hili siyo mali ya mtu mmoja. Sisi ndiyo Tanzania. Na hatutakubali fedhea hii kuendelea.