ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,850
- 39,813
Baada ya serikali kuzuia wanaharakati wa Kenya kuingia Tanzania kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa chadema Tundu Lissu, Wakenya wamekosoa tu
Wanasema
1. Tanzania tunajivunia mahindi
2. Watanganyika ni marehemu na Kamwe hawataamka kudai haki zao
3. Watanzania hatujui Kizungu kama wao
4. Tupo tunatawaliwa kikoloni tu
5. Watanzania tunajifia Kwa kukosa maarifa