wakenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kenya imeamua kulivalia njuga suala la Lissu, wakenya walinusuru maisha yake na Sasa wanapambabia uhuru wake. Mungu hutumia wageni kuleta amani nyumba

    Wakuu si jambo la kushangaza kwa hiki kilichopo hapa nchini maandiko yanasema kuwa Mungu huwatumia watu wengine kuleta amani. Wakati taifa letu likiwa linapitia katika kipindi Cha majaribu makubwa ya haki, uongozi na utu jirani zetu Kenya wameonesha kuguswa na mateso yetu. Sina mambo mengi Hilo...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kenya inapaswa kuiwekea vikwazo mamlaka za Tanzania kutoingia nchini humo ili kushinikiza haki za kusafiri za wakenya nchini zinafatwa

    Kenya inapaswa kuiwekea vikwazo mamlaka za Tanzania kutoingia nchini humo ili kushinikiza haki za kusafiri za wakenya nchini zinafatwa. Kuna idadi kubwa sana ya wakenya wamezuiliwa kuingia nchini kwa sababu zisizo za kisheria ikiwemo viongozi wa juu kwa kenya hili haikubaliki hata kidogo.
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaita Watu wote Duniani kuhudhuria Kesi ya Tundu Lissu Mahakamani

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kote Duniani hii hapa Kwa Wale wasiojua Kiswahili nyingine hii hapa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wakenya walitusimanga sana na SGR yao, sasa wanakiona cha moto

    Tanzania ikiwa chini ya utawala wa Rais Kikwete na wakenya wakiwa chini ya Rais Uhuru mwaka 2013 wakazindua treni ya haraka (SGR) inayotumia dizeli na kuifanya Kenya kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na ya kati kuwa na treni ya mwendokasi, basi na kwa jinsi wakenya wanavyopenda majivuno...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi mfumo wa uongozi ulivyo Tanzania, nadiriki kusema hata Wakenya waliobobea kwenye siasa za mabadiliko wasingeweza kuking'oa chama tawala

    Mfumo wa Tanzania umekita mizizi kwenye dola na mihimili mikuu ya nchi. Mageuzi hayawezekani kirahisi kama kwa majirani zetu. Nchi inaongozwa zaidi na mfumo kuliko watu UONGOZI WA MIKOA / WILAYA Tanzania: Wakuu wa mikoa & wilaya wanateuliwa na mfumo. Wana nguvu kuliko wabunge wanaotakiwa...
  6. Yoda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya alalamika ni vigumu sana kusifiwa na raia wa Wakenya!

    It is very rare to get compliments from Kenyans - President Ruto
  7. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Watanzania siyo wakenya

    Msikilize hadi mwisho, utajifunza na kuacha mihemko ya kutaka kuingilia kesi iliyoko mahakamani. https://youtu.be/ZU3LGBjghAw?si=YC8lt5lASFFSCzIB
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chief GodLove ulikuwa huwajui Wakenya naona sasa utawajua kwa Nguvu yao ya Kimtandao. Pole kwa Kufungiwa TikTok Account yako

    Kuna siku nilikuja na Uzi hapa JamiiForums wa kuulizia huyu Chief GodLove ni nani ukafutwa haraka sana na sijui kwanini.
  9. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Wakenya Bana😂

  10. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania “ Ruto must go “ walisikika Wakenya wakati wa mechi yao dhidi ya Gabon, huku Mbunge akifurushwa na mashabiki uwanjani

    Leo jioni pale Nyayo Stadium, kulipigwa mchezo wa kufuzu kombe la dunia mwaka 2026 kati ya wenyeji Kenya Vs Gabon. Kabla, wakati na baada ya mechi Wakenya wengi walisikika wakiimba kwa sauti, “Ruto must go” wakijaribu kupaza sauti kutokana na kutokukubaliana na utawala wa Rais William Ruto...
  11. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Wakenya wapo tofauti sana mbali na ukabira lakini wapo far more ukilinganisha na Tanzania

    Katika wakati wa majaribu na changamoto, mshikamano wa Wakenya umejidhihirisha kwa nguvu na uzuri wa kipekee. Kesi ya Margaret Nduta Macharia, Mkenya aliyekamatwa nchini Vietnam kwa tuhuma za ulanguzi wa dawa za kulevya. Nduta, mwenye umri wa miaka 37, alikamatwa Julai 2023 katika Uwanja wa...
  12. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakenya wanaonekana wenye furaha zaidi kuliko Watanzania?

    Swali hili limekuwa likijirudia mara kwa mara, hasa tunapojaribu kulinganisha tamaduni na mtazamo wa maisha kati ya Tanzania na Kenya. Ingawa furaha ni hisia ya kibinafsi, kuna mambo ya kijamii, kiuchumi, na kitamaduni yanayochangia jinsi jamii inavyoonekana kuwa na furaha au kutokuwepo kwake...
  13. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je, Watanzania tumeruhusu Wakenya wasiojua Kiswahili waharibu Kiswahili chetu?

    Kuna maneno yanaanza kuzoeleka kama ya Kiswahili wakati siyo. Utasikia mtu akisema punguza makasiriko. Kiswahili sahihi hakuna makasiriko bali hasira au ghadhabu. Mwingine utasikia akiseme fulani ni mkora akimaanisha mwizi. Wanasema eti kunyampa, kunyanduana na maneno mengine ya ajabu ajabu...
  14. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Wa Oromo wa Ethiopia nimekuja kugundua ndio hao hao Wambulu wa Tanzania

    Nimefuatilia sana hawa wa Oromo wa Ethiopia nimekuja kujiridhisha pasipo shaka kwamba ndio hao hao wa Mbulu ambao wao wali hama wakajikuta wamefika Tanzania. mwo Oromo akiwa amejichora, kumbuka waambulu pia walikuwa wanajichora hivyo ingawa kwa sasa ni kama wamecha vile. Wa Oromo ni kabila...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Wakenya wameokota satellite

    Wanasema mbongo mpe kichwa cha habari kinatosha Stori yote itateremka.....
  16. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Wakenya wanatuzidi fedha, akili au ubunifu?

    Kwa nini nauliza hayo? 1. Inasemekana, miaka ya nyuma, kabla ya Magufuli na hatimaye Samia kuingia madarakani, Wakenya walikuwa wanaingia Tanzania na kununua viazi mviringo na kuvipeleka Kenya. Vikifika huko, havipelekwi kwa Wakenya, bali husafishwa vizuri na kisha kuwekwa kwenye vifungashio...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi Wakenya wanavyopigania haki, kama watanzania tungekuwa wao, huu ubabaishaji, uchawa, ukatili, na ukale vingeendelea kama ilivyo?

    Wakenya walio wengi kuna kitu wanatuzidi. Si wanafiki wala woga linapokuja suala la kupigania haki zao. Wala si woga wala wenye sura mbili. Wanajua wanachofanya. Siyo wala makombo au watu wa kujipendekeza. Siyo watu wa kusifia na kutukuza ukumbaff na uoza. Watanzania tujifunze kuwa wakweli kwa...
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli kuwa kuna askari wa Tanzania wanaosaidia serikali habithi ya William Ruto kuwateka wakenya kama walivyozoea kufanya Tanzania?

    Kuna habari kuwa Gen Z wa Kenya wana mpango wa kukinukisha tena. Katika kusikiliza habari baada ya kutekwa kwa mchoraji vibonzo vinavyompinga Ruto aitwaye Kibet Bull, wamesema kuna watekaji toka nchi jirani. Kumbuka. Wakati wa maandamano ya Gen Z kulizuka shutuma kuwa askari polisi wa Tanzania...
  19. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Je Lisu alitaka Kuhongwa nyumbani kwakeTegeta? au alipenyezewa taarifa za kutaka kuhongwa na Abdul?

    Huyu Lisu simuelewi mimi, mwanzo alisema alifuatwa nyumbani kwake na Mfuko wa Pesa ili ahongwe aache kumsema sema vibaya Mama yake na Abdul. na ameenda mbali kusema alie mpeleka Abdul ni Ezekiel Wenje. alishindwa kutecord wakati anashwawishiwa apokee hizo pesa? hata short video ya CCTV...
  20. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Siasa za Kenya zinabebwa na Wakenya na sio viongozi wa Upinzani, Tanzania hilo hatuwezi, Lissu hawezi ingia barabarani mwenyewe

    Watu wanao taka Lisu awe Kiongozi ni kwa kutaka awaandamaie wao wenyewe wakiwa wamekaa kwenye Tv. Kenya kinacho wafabya wakina Raila Odinga na wengineo watambe ni Raia wa Kenya. Wakenya hata usiku wa manane ukwaamusha ukawaambia tuingie Barabarani wanaingia. Mikutano ya hadhara Kenya haihitaji...
Back
Top Bottom