AzamTv wanarusha mechi sote 104 za Kombe la Dunia kwa Kiswahili na Kiingereza.
Wasomi wetu wapo idhaa ya Kiswahili kupitia Azam Sports 2HD hapo unawakuta akina Shaffih Dauda, Edo Kumwembe, Ally Mayai, Muro na wengineo wakichambua kwa manjonjo yote.
Kule Azam Sports 4HD wapo akina Chiko Lawi...
Kumekuwepo na chapisho ambalo linasambazwa kwenye mtandao wa Instagram likidai kuwaonyesha baadhi ya raia wa Kenya wakiwapokea wageni wanaodhaniwa kuwa na ugonjwa wa Ebola.
Katika chapisho hilo imeomekana kuwa na jumbe ufuatao” Marekani itaipatia Kenya USD milioni 13.5 [TZS bilioni 35.5] kwa...
Yusuf Mbashir (19), Ahmed Shaban (21) na Abdul Karim Salim (22) walizuiliwa Horohoro border kabla ya kukabidhiwa kwa maafisa wa Kenya huko Lunga Lunga, Kwale.
Polisi wanasema vijana hao hawakuwa na travel documents na walikuwa wakielekea kwa magaidi wa ISIS-linked militants huko Mozambique...
Frankly speaking wa kenya wanadharau sana na Tanzania the way they talk abt us wanatudogosha sana they have no respect to us
Halafu pia wana wivu ma maendeo ya Tanzania.
Ingekuwa nimeshika usukani wa kuingoza nchi ningewashikisha adabu kama yaliyowakuta uganda kipindi cha utawala wa...
Mama Samia kasema na kumwomba Ruto awashughulikie wapinzani huko Kenya kama yeye anvyowashughulikia huku Tanzania.
Hii kauli si tu kuwa ni undiplomatic lakini ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi jirani.
Kwa viwango vyovyote si kauli ya kistaarabu kisiasa.
Hapo ndio najiuliza kama speech writers...
Mojawapo ya utopolo wa hali ya ujuu uliotamkwa wakati wa hotuba ya Samia kwenye ziara ya Ruto ni hili suala la kusema wanaharakati wachapwe, wakiwa Kenya au Tanzania.
Sasa wakati wasikilizaji wakipigwa na butwaa na kauli ya Samia kuna jamaa yeye alikuwa mstari wa mbele kupiga makofi kwa nguvu...
Rais wa Kenya, William Samoei Ruto, leo Mei 5, 2026, amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kiuchumi na kuunganisha nguvu katika kupambana na changamoto zinazozikabili nchi zote mbili.
Pia soma Samia: Nimeongea na Rais Ruto, wale watoto wetu...
Kenya sio Tanzania demokrasia yao ni kubwa kuliko yetu na freedom of expression iko juu sana, nafikiri Ruto alikuwa anamkubalia tu kwa vile ni mgeni wake.
Wakenya hasa Gen Z wa Kenya ni next level hata Ruto mwenyewe anawaogopa juzi karushiwa chupa ya maji.
Last time GenZ wa kenya...
Video ya TikTok ya mtoto mwenye umri wa miaka mitano, Musa Kihara, anayejulikana kama mtoto wa “Kwa Mbae,” imegeuka kuwa chanzo cha msaada mkubwa baada ya Wakenya kujitokeza kwa wingi katika uwanja wa Kajiunduthi, Kaunti ya Tharaka Nithi, kusaidia familia yake.
Video hiyo iliyosambaa...
Baada ya kwenda home kusalimia kwenye moja ya mkoa wa kaskazini, nikasema nikatembee kwa siku 7 upande wa kenya, Nikaanzia taveta then nikaenda Voi,kimana then leitoktok.
Nilichogundua wanawake wa kikenya wazuri sana, kuanzia ladha, muonekano,kuvaa na mengineyo.
Kwanza hawapendi kujichubua...
Hii mambo ni moto! Raia wa Haiti wamechachamaa baada ya kuskia Kenyan police wako under MSS wanapack bags kurudi home. Badala ya kushangilia, watu wameingia streets wakisema “msituache kwa mikono ya gangs!”
Kwa video imeleak online, wananchi waliblock roads kabisa kuelekea St. Marks na Pont...
Wadau, kuna hii story imeanza kuwasha moto Wakenya tisa ambao ni seafarers wamekwama kule Kilwa, Tanzania tangu March 30, 2026 baada ya meli yao FV Sea Mfalme kushikiliwa kwa allegations za human trafficking.
According to reports, hii vessel ilitoka Mombasa March 14 ikiwa na watu 61 onboard...
"Nichukue fursa hii kuwaonya wale vibaraka, kuna Wakenya fulani, vibaraka wa Wakenya wale walaji wa malungi, walaji wa muguka. Sisi ni watu na heshima zetu, nchi ina heshima. Hiki kitu kinanishangaza sana. Wakenya wana siasa zao za kihuni, hizi siasa za kihuni za Kenya. Haiwezekani mtu...
Maisha Nairobi imekuwa ngumu kuliko kawaida. Despite low official inflation figures, reality kwa ground ni tofauti kabisa — gharama za maisha zimepanda, but mshahara bado iko stagnant.
Data kutoka Kenya National Bureau of Statistics inaonyesha kuwa households nyingi especially urban areas wako...
Rais hataniwi kamwe,
Ila Magufuli aliweza kumtania Jakaya, hata alipozingua alimsemelea kwa kaka yake selemani.
Wakenya mwacheni mama yetu tafadhali, mnatumia AI kuonesha mama yetu azungusha Nini?
Itumieni kwa baba yenuuuu
Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi ameibua mjadala mzito baada ya kufichua kuwa serikali ya Kenya iko kwenye mazungumzo na serikali ya Russia kusaidia kurejesha Wakenya wanaodaiwa kupigana vita upande wa Urusi.
Akizungumza na Citizen TV leo, Mudavadi alisema kuwa hali ni mbaya zaidi...
Serikali ya Urusi imesema hakutakuwa na mpango wowote wa kuwarudisha nyumbani Wakenya wanaodaiwa kuhudumu katika jeshi la Urusi. Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Musalia Mudavadi na Waziri mwenzake wa Urusi Sergey Lavrov wamesema mataifa hayo mawili hayakuwa sehemu ya mikataba iliyotiwa saini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.