Wakenya sisi ni Wakwe muwe na ADABU

Wakenya sisi ni Wakwe muwe na ADABU

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,741
Reaction score
7,983
Mhubiri wa televisheni maarufu na mwenye utata nchini Kenya, na mwanzilishi wa Huduma ya Uponyaji ya Salvation (Salvation Healing Ministry) ya Nairobi, Pastor Victor Kanyari, amemkosoa vikali mume mtarajiwa wa mtoto wa Rais wa Kenya, Charlene Ruto, anayefahamika kwa jina la Isaya Yunge, raia wa Tanzania, kuwa hakutarajia Kama angekuwa amenchumbia binti huyo kwakuwa Hana muonekano mzuri.



Soma pia https://www.jamiiforums.com/threads...iyemposa-binti-wa-rais-ruto-wa-kenya.2461239/
 
#VIDEO Mhubiri wa televisheni maarufu na mwenye utata nchini Kenya, na mwanzilishi wa Huduma ya Uponyaji ya Salvation (Salvation Healing Ministry) ya Nairobi, Pastor Victor Kanyari, amemkosoa vikali mume mtarajiwa wa mtoto wa Rais wa Kenya, Charlene Ruto, anayefahamika kwa jina la Isaya Yunge, raia wa Tanzania, kuwa hakutarajia Kama angekuwa amenchumbia binti huyo kwakuwa Hana muonekano mzuri.

✍🏿 @mariamshabanitz
#taimediatz #taimediatv

KWA HIYO NA WEWE UKAONA HIYO NI HABARI YA KULETA JUKWAANI WATU WAJADILI?
Naona kama tuna changamoto kubwa kwa Elimu inayotolewa kwa kizazi hiki...
 
Back
Top Bottom