wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Rais wa Guinea Bisau akimchapa makonde Waziri wa Afya kwa kula pesa za COVID 19

    Huku kwetu Rais anaweza kujikuta karibu kila waziri wake anakula ngumi kwa ubadhirifu kwenye wizara zao 😀😀. Mwalimu Nyerere alikuwa sahihi kwa sehemu kuwapiga viboko ishirini na vinne,siku anaingia viboko kumi na viwili na siku anatoka jela viboko kumi na viwili akamuonyeshe mkewe 😀😀.
  2. JamiiForums Tanzania Chanzo Cha Mwanamke Kuonesha Kiburi Kwa Mwanaume Wake. Cha Kufanya

    Hapa naongelea mwanamke ambaye ulikua naye vizuri lakini sasa analeta jeuri. Ila kama mwanamke ana hulka ya ujeuri, huyo hakuna haja ya kupasua kichwa. . Mwanaume kuwa dhaifu baada ya muda. Mara chache mwanamke atakuambia umekua dhaifu, hivyo njia rahisi kwao ni kuleta ujeuri wakiwa na matumaini...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Alianza mwendo vizuri, ila sasa kaanza kukengeuka kama mtangulizi wake

    Namuongelea Kiongozi wetu, alianza vema sana kazi zake kwa kuhakikisha teuzi nyingi zinazingatia sifa, weledi, umoja wa kitaifa, dini na hata jinsia. Hata hivyo, kwa siku za karibuni ameanza kukengeuka kama mtangulizi wake. Anateua watu wenye kutiliwa mashaka weledi wao angalia kama huyo KM...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Ukweli huu shetani ni tapeli na uwezo wake ni mdogo sana

    Hapo vip!! Nimekuwa najiuliza swali dhidi ya uwezo na mapenzi ya shetani kwa wafuasi wake najikuta naona shetani ni tapeli na muongo. Najiuliza kama kweli shetani anauwezo wa kushindana na Mungu. Mbona Mungu baba Jehova(bwana wa Majeshi au bwana wa mabwana)alivyoamua kuwapiga kiberiti wale...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Cameroon atoa uzoefu wake wa kusoma nchini China

    Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Pili cha Yaounde nchini Cameroon imefanya mkutano wa hadhara wa “Soma nchini China, changamsha maisha yako", na kumwalika Joseph Olivier Mendo’o, ambaye ni mhitimu wa Taasisi hiyo kutoa uzoefu wake wa kusoma nchini China. Takriban watu 200, wakiwemo...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya startv kusimamisha watangazani wake, hivi hao waandishi wameshindwa kuja na digital platform yao kama Millard?

    Nadhani hawa waandishi wakiji-organise, wanaweza kuunda online TV nzuri tu, wasikariri kuajiriwa, tena wametapakaa nchi nzima, na Wana connection ya vyanzo vya habari
  7. JamiiForums Tanzania Katavi: Afungwa miaka 30 kwa kufanya mapenzi na mtoto wake

    MAHAKAMA ya Wilaya Mpanda, imemuhukumu Agustino Michese (59) kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa kufanya mapenzi na mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 16. Hukumu hiyo ilitolewa na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya Mpanda Rebeka Mwalusako amesema mtuhumiwa alitenda...
  8. JamiiForums Tanzania Ni wizara gani ungependa mawaziri wake wasiwe wanakaa kwa muda mrefu kwenye hiyo wizara?

    Ni dhahiri zipo baadhi ya wizara zipo very delicate kiasi kwamba waziri akiyumba kidogo tu watanzania wote wanapoteana. Hivi sasa zipo wizara zinalalamikiwa kila siku sio mtaani, wala bungeni, wala mtandaoni, pengine hata kwenye mikutano ya vyama. Kutokana na kuyumba kwa maamuzi ya wizara basi...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini mvua imnyeshee Waziri Jafo huku mgeni wake akifunikwa na mwamvuli? Ukoloni mamboleo

    Hapa ni Airport wakati waziri Jafo akimpokea mgeni kutoka falme za kiarabu. Waziri kulowa na mvua ruksa ila mgeni hapana? Hii hapana kwangu mimi.
  10. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Dkt. Mwaka hatagawana mali pasu kwa pasu na mke wake kama ilivyo kwetu wakristo tukiachana?

    Kwetu wakristo tukiachana mali huwa zinagongwa pasu kwa pasu, ni maumivu juu ya taabu? Kwa upande wa pili ni kwamba dr mwaka hana wajibu wa kugawa mali ?
  11. JamiiForums Tanzania Tumpinge Lissu kwa hoja. Kutumia ulemavu wake kama hoja ya kisiasa ni kumwezesha kupata kura za huruma kwa wananchi

    Binafsi sikubaliani kabisa na ushenzi aliofanyiwa Lissu na watu ambao hadi leo hawajajulikana. Lile tukio lilikuwa ovu mno kuwahi kutokea. Mimi naamini katika utawala wa sheria. Kama kuna kosa alifanya basi ilipaswa tu kumfikisha mahakamani na sio kumshindilia marisasi. Kila ninapokumbuka...
  12. JamiiForums Tanzania Sababu 6 kwanini wanawake/wake za watu hutoka nje na kufanya mapenzi na wanaume wengine

    Kwanza ijulikane kuwa kuna aina mbili za wanawake, wanawake wanaojiheshimu, wanaojithamini na kutunza utu wao kwenye jamii (wife materials) na wanawake wengine wote waliobaki. Wanawake wengine waliobaki ni rahisi kukusaliti kwa kuwa haridhiki, hawa ndio wale tunaambiwa tusioe/ tusitengeneze...
  13. JamiiForums Tanzania Mama wa kambo hawezi kuwalea sawa watoto wake na wa mwengine, tuwaache watoto waishi na mama zao ama kwa ndugu wa karibu ila sio vinginevyo

    MUHIMU: Ndugu wa karibu awe ni bibi (mama yako) au shangazi (dada yako) unaemwamini. Kulazimisha mtoto aje kuishi kwako wakati unaishi na mwanamke mwengine ni kumuingiza mtoto huyo uliemleta kwenye tanuri la moto, hii ni nature ndivyo tulivyoumbwa. Tena hali itakuwa mbaya sana mtoto uliemleta...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta na Washirika wake kuchunguzwa juu ya Ukwepaji Kodi

    Serikali ya Rais William Ruto inadaiwa kuanza uchunguzi wa Kampuni takriban 300 zinazohusishwa na kutolipa Kodi, baadhi yake zikimilikiwa na watu waliowahi kuwa na Mamlaka katika Serikali zilizopita. Waziri wa Fedha, Njuguna Ndung’u na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Kodi (KRA), Anthony Ng’ang’a...
  15. JamiiForums Tanzania Ombi: Tunamuomba Rais Mwinyi amuwajibishe waziri wake kabla ya wananchi kumuwajibisha

    Kitendo alichokifanya waziri wako wa kilimo, umwagiliaji, maliasili na mifugo mh Shamata Shaame Khamis sio cha kiungwana na kiutu. Kile ni kitendo cha kinyama ambacho hakutakiwa kumfanyia mtanzania mwenzetu au binadamu mwenzetu kwa sababu yoyote ile. Mtu kaingiza chakula mnafanyia unyama ule...
  16. JamiiForums Tanzania Ne-Yo akamilisha talaka, atamlipa aliyekuwa mke wake Tsh. Bilioni 3.7

    Kwa mujibu wa makubaliano ya Talaka, Nyota huyo wa R&B atabaki na nyumba 3 kati ya 4 walizokuwa nazo, na kiasi hicho cha fedha atalipwa mzazi mwenzake, Crystal Renay ili kuweka usawa wa mali isiyohamishika. Pia, Renay atabaki na nyumba 1, atalipwa Tsh. Milioni 46.7 kwaajili ya gharama za...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kutumia mfumo wa kidigitali wa kupiga kura

    Mfumo wa kupiga kura na uhesabuji kura nchini Tanzania hauko sawa na haukubaliki, kuna haja ya kubadili mfumo huu wa sasa wa kupiga kula na kutengeneza mfumo mpya wa kupiga kura. Tutoke analog na kuelekea digital. Ili kuwe na mahala au site ambayo wananchi wanaweza kuangalia maendeleo ya...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa bado ni porojo tu kuhusu ufisadi wa Hayati Magufuli, CCM na wabaya wake mnafeli wapi?

    kelele nyiiingi, wakati inahitajika mtu mmoja athibitishe, mahakama zithibitishe kuhusu hizi kelele za ufisadi wake, lakini mpaka sasa ni kelele tu zisizo na maana! CCM na maadui wa hayati JPM mnakwama wapi? Huyu aliyekuwa mwamba wa siasa za kiuchumi na rafiki mzuri wa Watanzania wa hali ya...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini nyie wake zetu hamsemi Asante

    Daah. Yaani hata ufanye nini huwa wanakuwa kama ni haki yao vile. Sura kaavu.
  20. JamiiForums Tanzania Kenya: Hakuna pasu kwa pasu tena, Mahakama imeamua wanandoa wanaoachana kila moja achukue chake au kuonyesha ushahidi wa mchango wa mali ya kugawana.

    Mahakama ya Upeo Nchini Kenya leo Januari 27, 2023 imetoa Uamuzi kuwa Wanandoa wanaoachana hawatagawana Mali nusu kwa nusu (50/50) kama ilivyokuwa awali bali kila Mmoja ataondoka na kitu chake, tena kwa kuonesha ushahidi kuwa ni Mali yake halali. Uamuzi huo ni Marekebisho ya Ibara ya 45 (3)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…