wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. Miaka ya 90 pale uwanja wa ndege mzee Mwinyi aliwahi kunipa hela, fulana kwa mkono wake mwenyewe kisha akanambia maneno haya...

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nikiwa na umri mdogo nilihudhuria pale katika uwanja wa ndege wa kimataifa jijini Dar es salaam, kumuaga mzee wetu mzee Ally Hassan Mwinyi ambae alikuwa anaondoka kuelekea Zanzibar, baada ya utawala wake wa miaka 10...
  2. Wizara zenye matatizo ambazo ninahitaji mabadiliko au kuondoa viongozi wake wa juu

    Kuna wizara ambazo mawaziri wamepewa kama zawadi na inabidi waondolewe haraka: 1. Waziri wa afya na Naibu wake. 2. Waziri wa fedha 3. Waziri wa Tamisemi 4. Waziri wa Nishati (Doto) 5. Waziri wa Maliasili na utalii 6. Waziri Madini 7. Kassim Majaliwa (waziri Mkuu) 8. Waziri wa uchukuzi
  3. Kama mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi na yeye kumkimbia akifukuzwa kazi bila huruma

    Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
  4. Kijana alichanganyikiwa na urembo wa mwalimu wake wakati anafundisha, amuoa baada ya kuhitimu

    Mwanaume mmoja wa nchi ya DRC, Hassan Remy amemuoa aliyekuwa mwalimu wake wa sekondari na kusema alishindwa kumsikiliza alipokuwa akifundisha darasani. Remy amesema alimchumbia Maombi Jeannette aliyemzidi miaka 12 baada ya kumaliza shule na baadaye kumuoa, licha ya uhusiano wao kupigwa vita na...
  5. Israel inasubiri mateka wake kwa njia ya mazungumzo. Kwa vita imeshindikana kuwapata

    Vita kati ya Hamas na Israel ni kioja kikubwa sana katika historia ya vita. Misikiti na hospitali zote zimevunjwa ikisemwa kuna taarifa za uhakika kuwa viongozi wa Hamas na mateka wapo humo lakini wapi! Kila wakipiga na kuua watu wanajikuta mikono mitupu, hakuna Hamas wala mateka. Imebidi...
  6. Nina Ndoto ya kuwa na wake wengi

    Jambo hilo linaniumiza sana kichwa kuwa na mke mmoja naona kama sitotosheka Yani katika vitu ninavyovipenda, Mimi ni kujigijigi/kusex,pia napenda kuwa familia kubwa tu,lakini kuhusu kuwahudumia malazi,makazi,matunzo hilo halito Nipa shida kwasababu kiuchumi nipo vizuri. Sasa sijui nyie mna...
  7. Umewahi kusikia dhana gani kuhusu hali ya Ujauzito ambayo ungependa kufahamu undani wake?

    Kuna dhana nyingi ambazo watu huishi wakiamini kuhusu hali ya ujauzito. Dhana hizo hutofautiana kati ya jamii moja hadi nyingine. Je, mdau wetu wa JamiiCheck unafahamu dhana zipi kuhusu hali ya ujauzito? Zitaje upate undani wake
  8. Z

    Ukiondoa Hayati Magufuli enzi za uhai wake kama Waziri, sijawahi kuona waziri mwingine aliyeacha alama kwa ufanyaji kazi uliotukuka

    Kweli kabisa nasema ukweli, kila wizara alikowekwa hayati Magufuli alifanya wandazi. Leo umeme shida kila kona ya nchi mpaka hospitali zinakatiwa umeme, mwingine akasema eti winchi ya kunyanyua mitambo haijafika na wakati huo anakula perdiem kila anapotembelea BWAWA LA NYERERE. Leo sukari...
  9. Hotuba za Chadema ziwe za kutia hamasa na hasira kwa wasikilizaji wake dhidi ya watawala

    Mikutano ya hadhara kwa vyama ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe unaokusudiwa. Lakini pia hutumika kuleta hamasa au hasira/mori. Mnakumbuka Mtikila na Magabachori pale Jangwani. Nawashauri sasa Chadema kugeuza approach. Katika wasemaji wao wachanganye pia watu wa aina ya Mwabukusi, au Askofu...
  10. Wanaume wanaochapiwa wake zao na Kuua

    Kuna uzi nimeupitia hapa JamiiForums, na michango ya wadau ikanifanya nijiulize. maswali mengi sana. Uzi wenyewe ni huu Nimevunja Ndoa ya Ex Wangu kisa kumchangia Damu. Mumewe kawa mbogo kaapa kuni surprise Inakuaje mwanaume unasema utamuua mwanaume mwenzako eti kisa mke wako anampenda huyo...
  11. K

    Tunawauliza TBS kama Sukari iliyotoka nje ya nchi imepimwa ubora wake

    Wananchi tunatakiwa tulinde afya zetu na siku za karibuni Serikali iliingiza sukari toka nje ya nchi ili kufidia upungufu uliopo. Kama ilivyo kawaida kwanza sukari hii ilitakiwa IPIMWE ili kuona kama inakidhi matumizi ya wananchi. Jana nilinunua sukari kilo nne kwa kificho kwa Tshs.4,000 kila...
  12. D

    UBUYU: Sababu ya ugomvi wa kocha wa CB Belouzidad na mchezaji wake. Hii ni skendo kubwa kwa mpira wa Algeria

    short story : kocha alimpiga Na chupa ya maji mchezaji. for more details here
  13. Harmonize ashutumiwa kuwabania Wasanii wake kufanikiwa kimuziki

    Msanii Anjella amemvulia uvivu boss wake wa zamani Harmonize baada ya kusema kuwa aliwabariki kiroho safi kwenda kutafuta Rizki sehemu nyingine. Kupitia ukurasa wake wa Instagram (Instastory) Anjella Amedai kuwa Harmonize ndio mtu anaeongoza kuwabania Rizki zao huku akisema anaweza kuweka hadi...
  14. Rais kutumia ndege ya abiria badala ya ndege yake binafsi, nani mshauri wake?

    Jamani ndege kama hii BOEING 737-9 max ni ndege ya gharama sana achana na ununuzi wake tu bali hata maintenance pia. Inasikitisha kuona Rais anatumia ndege hii yenye gharama kiasi hiki huku ndege ya Rais ikiwepo bado. Sitashangaa ikipata hitilafu tukaitelekeza mahali kwa sababu matumizi yake...
  15. Wanaume kuweni makini na wake zenu, hasa kipindi cha mafanikio

    Mifano ya wanaume walioingia kwenye taabu na wengine kupata kifo kwa iko mingi katika jamii. Wanawake ulimwenguni wamechoka kuwa chini ya wanaume. Wanapenda sana kuolewa (ndoa) kuliko wanaume lakini wakiwa ndani ya ndoa wanaanza kutamani kuishi kwa Uhuru. Kuna kabila liko Dar na Pwani, hao...
  16. Jamaa amchoma visu Mke wake baada ya kumfumania

    Vijana sio kwa ubaya ila kwa Dunia yasasa kama unajijua una Wivu au hasira ni bora ukajiweka mbali na Ndoa au mahusiano ya kimapenzi. Kuna video inasambaa mitandaoni ikimuonyesha jamaa akimchoma visu mkewe baada ya kumfumania na mwanaume mwengine (INATISHA). Nimeshindwa kuipandisha video yote...
  17. Video: Jamaa kamfumania mpenzi wake na kaambiwa hapendwi

    Ukisikia janga juu ya janga ndio kama yaliyomkuta jamaa, yani kamfumania mpenzi wake na bado kaambiwa kuwa hapendwi aondoke.
  18. R

    Mnaopiga wake zenu huwa mnakuwa mmetumia vilevi? Mke hapigwi!

    Salaam, Shalom, Ilikuwa yapata kama majira ya saa tatu hivi usiku, tulikuwa tumemaliza kupata chakula Cha usiku, tulikuwa tukijiandaa kufanya Ibada kabla ya kwenda kulala. Wakati huo nilikuwa na umri wa miaka 10. Tukiwa katika kusubiri kuanza Kwa Ibada, nilisikia kishindo kikubwa, yaani...
  19. Mipaka ya Chama Tawala na Ukomo wake, Vipi kuhusu kambi kuu ya Upinzani Bungeni

    Hili swali hata mimi naomba kuuliza japo nimelikuta mahali. Naomba kuuliza swali? Kuwa chama tawala kunatokana na kushikilia mhilili wa Serikali, mhimili wa Bunge au vyote viwili? Mfano; Chama cha Mapinduzi CCM kikishinda kura za urais na ndio kikaunda serikali.. ila Bungeni CHADEMA ndio...
  20. NADHARIA Kenge akikupiga na mkia wake kuna athari anakuachia ya kufanana maisha yako na yake. Akiumwa, akikonda nawewe inakutokea

    Je, hili linalosemwa ni la kweli kwamba endapo kenge akikupiga na mkia wake kuna madhara unaweza kupata. Kwa mfano akikonda na wewe unakonda akinenepa na wewe unanenepa akifa na wewe unakufa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…