wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hawa China ambao raia wake wanahangaika na Maisha ndo mlikuwa mnawahita Super Power?

    Nchi ambayo inajiita Super Power inakuaje na Raia ambao wana maisha magumu Maana sio rahisi umkute raia wa marekani akija Africa na kufungua Madube na kisha kujiita mwekezaji.
  2. Now and then

    JamiiForums Tanzania Ni vigezo gani hutumika kusema kuwa China ni nchi ya pili kiuchumi duniani ikiwa raia wake wanahangaika na Maisha kufika hatua ya kukimbilia Afrika?

    Ikiwa nchi Ina uchumi mzuri kidunia je inakuaje watu wake wanakuwa wanahangaika na maisha ? Mfano angalia raia wa kichina wanavyoangika na Maisha kufika hatua ya kufanya Kazi ambazo wanafaa wafanye waswahili. Je kuna siri gani hapa ? Maana hauwezi kuwakuta raia wa marekani wanaishi Kama hivi...
  3. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Wenye experience ya kifaa cha airtel Wi-Fi kilicho portable (pocket). Tusaidiane kujua uimara wake na utendaji kazi

  4. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Wenye experience ya kifaa cha airtel Wi-Fi kilicho portable (pocket). Tusaidiane kujua uimara wake na utendaji kazi

  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Rais wa nchi kukaa kimya katika siku ya kumbukizi ya kifo Cha mtangulizi wake ? Kuna jambo halipo sawa! Magufuli pumzika kwa amani

    Mpaka sasa hakuna page yoyote ya rais iliyoposti chochote kuhusu kumbukizi ya mtangulizi wake john pombe magufuli ! Sio waziri mkuu Wala makamu wa rais aliyethubutu kuzungumza chochote ! Labda tunajaribu kuifubaza siku hii muhimu ni yenye kumbukumbu ya kutisha kuwahi kuipata nchi yetu !na kwa...
  6. jaap

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mchumba wangu anataka kunipeleka kwa Mchungaji wake kabla

    Mwaka huu tuna mpango wa kufungw ndoa na huyu mpenzi wangu na tulikubaliana nitume mshenga apeleke posa kwao, Sasa naona amekuja na hoja kwamba kabla ya yote anipeleke kwa Mchugaji wake wa miaka mingi na ana muhamini sana huyu mchugaji wake kwa maono ya mambo ya Nyuma ya pazia, je ni sahii...
  7. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha hayati Magufuli, huyu mlinzi wake nilikuwa namkubali, yuko wapi siku hizi?

    Tukiwa tunaadhimisha miaka minne ya kifo cha Magufuli, aliyepata kuwa Rais wa awamu ya tano. Leo naomba nifahamishwe kuhusu huyu mlinzi wake, nilikuwa namkubali sana, yuko makini na hana papara kama yule bonge. Jamaa alikuwa mrefu na anaonekana ni mtu wa mazoezi, mtulivu sana, yuko wapi siku hizi?
  8. Waziri wa Kaskazini

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Donald Trump unafikiria kuongeza vizuizi vya kusafiri kwa raia kutoka nchi 41 kati ya hizo za Afrika ni 22

    Utawala wa Trump unazingatia kulenga raia wa nchi hadi 43 kama sehemu ya marufuku mpya ya kusafiri kwenda Marekani, ambayo itakuwa pana zaidi kuliko vizuizi vilivyowekwa wakati wa muhula wa kwanza wa Rais Trump, kwa mujibu wa maafisa walioko karibu na suala hilo. Soma Pia: Trump asimamisha...
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzetu ninyi mnaweza vipi kushona sare za vitenge na wake zenu? Ni nini siri ya hili?

    Huenda ni malezi niliyokulia maana sikuwahi kabisa kumuona mzee wangu akivaa sare na mama yangu. Ziwe sare za kanisani ama popote pale kwakweli sijawahi Ona hadi sasa wana zaidi ya miaka80! Ninyi wanaume wenzetu ni Mahaba/upendo sana kwa wake zenu au ni limbwata pamoja na kupandwa kichwani na...
  10. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo serikali imeshindwa kulinda uwanja wake wa Mkapa Hadi wakodi makomandoo wa Yanga

    Hi nchi Ina vituko sana Uwanja ni mali ya serikali alafu maamuzi ya ulinzi yanayohusu uwanja yanatolewa na makomandoo wa Yanga Ilitakiwa Simba walipofika uwanjani wakutane na walinzi wa uwanja waliowekwa na mmiliki wa uwanja wa Mkapa ambaye ni serikali ndio wawambie hichi mnaruhusiwa kuingia...
  11. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wake ni mweupe, hatoi hela na ana kibamia afanyaje?

    Haya haya sasa March ndio hii Swali kama mmeliona hapo Msaidieni mwenzenu Mpenzi wake ni mweupe, mwanaume Mbongo na mweupe sio mzungu Ila ana kibamia na hatoi hela Afanyaje?
  12. Maleven

    JamiiForums Tanzania Huku kwenye ndoa wake zetu wanatuuzia penzi

    Kuna umalaya au udangaji unaendelea kwenye ndoa. Yani ule muda unaomba tendo la ndoa, ndio mke anakukumbushia kitu ambacho ameomba au anakwambia nimechoka, au kama wataka umpe hela. Ni jambo gumu sana kulifikiria lakin hakuna jinsi ndio uhalisia, inafika wakati unajua kabisa kua umeoa mtu...
  13. kali linux

    JamiiForums Tanzania Nelly Kamwelu yupo muhimbili anadai kapigwa vibaya sana

    Duuuh hii domestic violence kwa mrembo Nelly ni balaa, mwenye taarifa kamili atupe tafadhali Nifah cocastic
  14. F

    JamiiForums Tanzania Anatafuta kazi, aweze kumtunza mtoto wake mwenye ulemavu

    Kuna dada mmoja anamtoto mlemavu wa mguu, mtoto Hana mguu mmoja, huyu dada amesomea certificate ya mipango ,mwanaume aliyemzalisha alimkataa alipojifungua tu Mtoto mlemavu, anaomba msaada aweze kupata kazi ili aweze kumuhudumia mwanae, kila mwaka mtoto anatakiwa abadilishiwe mguu bandia, hali...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Binti miaka 19 afariki siku yake ya kuzaliwa akiwa geto kwa mpenzi wake

    Polisi huko Lang'ata, Kenya wanachunguza tukio ambalo Faith Momanyi, binti mwenye umri wa miaka 19 aliyemaliza kidato cha 4, alifariki kwa kutatanisha nyumbani kwa mpenzi wake baada ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa. Faith inaripotiwa kuwa aliondoka nyumbani kwa wazazi wake, na katika kundi...
  16. Chick_tz

    JamiiForums Tanzania Nimegundua EPL ni ushindani wa ndan huku UEFA Kuna watu wake

    Hii ni baada ya Liverpool kufungwa na PSG kutoka league 1 je liver wangekutana na BARCA ingekuaje
  17. Richard mtao

    JamiiForums Tanzania Mikosi katika familia na utatuzi wake

    Hellow JF. Leo nimeamua kukusogezea hili, Ivi sasa familia nyingi sana zimekuwa zikipitia mazingira magumu sana ya kuhangaika,kuteseka,masimango,mates na Madhira mengi saana. Wengi wanaishia kupambana na changamoto hizo bila mafanikio na wengine wanaishia kufurukuta Kadri wawezavyo lakini...
  18. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi ashindwa kuja kumzika baba yake kwa kuhofia usalama wake

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Godbless Lema amemfariji Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X kutokana na Maria kushindwa kufika katika msiba wa baba yake “Nimekusikiliza ukiongea kwa njia ya mtandao wakati wa salamu za rambi rambi ukiwa mbali na halaiki iliyokuja kumuaga baba yako Prof...
  19. Oppo A17k

    JamiiForums Tanzania Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

    1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate 2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
  20. Magical power

    JamiiForums Tanzania Haya ndio Maisha halisi ya huyu mwanadada ameamua kuubadili mwili wake na kujiweka muonekano wa kivampire

    Haya ndio Maisha harisi ya huyu mwanadada ameamua kuubadili mwili wake na kujiweka muonekano wa kivampire na ndio chaguo lake na anajiona mrembo kuliko awali
Back
Top Bottom