wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Serikali ya Tanzania na wezi wake - Sera ya kutumbua

    Sera ya kutumbua kisha ndio imetoka, ni dili ambazo huhitaji tena kufanya kazi serikalini. Tumezoea kusikia enzi zile za rais Magufuli mara amemtumbua huyu mara amemtumbua yule ni wengi sana wametumbuliwa na wananchi wakishangilia wasiyokuwa na ujuzi wala uelewa nayo. 1) Watanzania niwaulize...
  2. Mke wako huwa anaoshwa miguu na kijana wake wa kutengeneza kucha?

    Mkeo huwa anaoshwa miguu kisha kukaushwa na wataalamu wa kusafisha kucha? Hii huduma imekuwa maarufu sana kwa wamama wa mjini, na wengi wao huwa wanapata huduma waume zao wakiwa kazini. Mdau unasemaje juu ya hii huduma? Zaidi soma...
  3. Mama amegoma kumnyonyesha mtoto wake kisa amefunga. Je, hii ni sawa?

    Salaam wanabodi! Bila kupoteza muda, naingia kwenye mada moja kwa moja. Hapa mtaani kwetu, jirani yangu mmoja ameghairi kabisa kumnyonyesha mtoto wake wa mwaka mmoja kwa kisingizio kuwa amefunga kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhani. Nilipomshuhudia akimnyima mtoto ziwa kwa mara ya kwanza...
  4. Hofu na wasiwasi watanda ndani ya CCM; wasutana wakigombania bongo. Nani katwaa ubongo usio wake?

    Wahenga walisema ujanja kupata...wakati wa mwendazake viongozi na wanachama wa CCM kwa kuonesha utii walifanya kama tunavyoshuhudia kwenye hii picha hapa chini. Walipigana vikumbo kukabidhi akili zao kwa bwana mkubwa lakini kwa bahati mbaya bongo ziliwekwa kwenye ndoo bila kuwekewa alama...
  5. W

    Jeshi lijitathimini kuhusu uadilifu na uaminifu wake kwa Watanzania wote

    Ndg wanajamvi habari za jumapili. Niende kwenye mada moja kwa moja, “Jeshi lijitathimini” ndiyo Jeshi letu kwa macho ya nje limejivika vazi nzuri la uaminifu macho pa Watanzania wote lakini kwa ndani linapokuja suala la Ajira ndani ya Jeshi hasa hili tunaloliona la vijana wa JKT siyo Waaminifu...
  6. Mwita Waitara apokelewa na maelfu ya wapiga kura wake, hii ni uthibitisho kuwa aliiangusha ngome ya CHADEMA Tarime

    Mbunge wa tarime vijijini na naibu waziri wa ujenzi amelakiwa na wapiga kura wake huku wakisema ni mbunge wa kuigwa na kutiliwa mfano, tofauti na mtangulizi wake aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema. Hii ni uthibitisho kuwa ushawishi wake na nguvu zake kisiasa ziliisambaratisha ngome...
  7. Shinyanga: Babu abaka Mjukuu wake wa miaka 7 wakati Bibi akiwa amelazwa Hospitalini

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Juma Emmanuel (53) mkazi wa Nhelegani katika Manispaa ya Shinyanga kwa kosa la kubaka. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari ambayo imetolewa leo Aprili 17, 2021 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, ACP Debora Magiligimba, tukio hilo...
  8. Urusi yaijibu Marekani kwa kuwatimua wanadiplomasia wake

    Urusi imewataka wanadiplomasia 10 wa Marekani kuondoka nchini humo katika hatua ya kulipiza kisasi baada ya Marekani kuwafukuza wanadiplomasia 10 wa Urusi kwa madai ya udukuzi na kuingilia kati uchaguzi wa Marekani wa mwaka uliopita. Wizara ya mambo ya nje ya Urusi imesema John Sullivan, ambaye...
  9. S

    Jicho la tatu: Inawezekana walichota kuokoa za Mzee Baba kwa hofu ya kutojua mrithi wake angekuwa na msimamo gani

    Hawa watu walikuwa washirika wakubwa na wa karibu wa Mzee Baba na huenda waliunda ushirika wao kwa lengo la kufanikusha mipango yao kwani si rahisi kwa tunayoyasikia kutokea kirahisirahisi tu kisa eti fulani alikuwa mgonjwa(mnaanzaje kwa mfano?) Hivyo basi, kwa mtazamo wangu, inawezekana...
  10. Viongozi wetu someni kitabu hiki kitaikomboa nchi nchi yetu

    Why Nations Fail: A Summary Why Nations Fail: The Origins of Power, Prosperity and Poverty (2013) by D. Acemoglu and J.A. Robinson. Overall Summary… Developed countries are wealthy because of ‘inclusive economic institutions’ – Basically a combination of the state and the free market in which...
  11. J

    Kikao Kizito: Rais Samia akutana na Makamu wake Dkt. Philip Mpango na Gavana wa BoT, Prof. Luoga

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Prof .Florens Luoga ,Ikulu jijini Dodoma leo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  12. Waziri Mkuu wa Haiti ajiuzulu katika wadhifa wake huku maandamano ya ghasia yakiendelea

    Waziri Mkuu wa Haiti Joseph Jouthe alijiuzulu kutoka wadhifa wake ambapo maandamano ya ghasia yamekuwa yakiendelea kwa kipindi cha miezi 6 iliyopita. Kulingana na ripoti ya Sputnik, wakati Jouthe hakuelezea sababu yoyote ya kuacha wadhifa wake, aliandika ujumbe kwenye akaunti yake ya Twitter...
  13. Bunge likumbuke na kusimamia wajibu wake

    Salaam wana jamvi, Nimesikitishwa na kinachoendelea bungeni Kwa sasa kwani nitofauti kabisa na misingi ya uwanzishwaji wa chombo hiki. Hivi karbuni bungeni pamegeuka ni mahali paku onyesha umahiri wa Ku kejeli, kusifu,vkukashifu nk. Nijuavyo Mimi Kazi ya mbunge nikushauri ,kuisimamia serikali...
  14. Mkeo ana bodaboda wake?

    Ukisikia mama au dada anakwambia ngoja nitamtuma 'bodaboda wangu' basi ujue huyo Bodaboda wake ni bodaboda wake kweli kweli. Ninamjua mdada ambae anamtuma bodaboda wake kumtolea hela Kwa ATM. Kuna mmoja aliniletea bidhaa nikatakiwa nimrushie zaidi ya 300,000, nikamwambia makato upande wako...
  15. Rayvanny afunguka kuhusu Harmonize, Paula, lebo ya NextLevel na mengine kuhusu muziki wake

    Akiwa katika live interview na radio namba moja kwa sasa WASAFI FM, Ray amefunguka yafuatayo " Wakati ananikandamiza (Hamonaizi) na kuchochea kwa kusema nimekosea sikuwa najua Chuki yake inatoka wapi . Lakini imekuja kunishangaza sana kuja kuona kumbe yeye ndio anafanya mabaya zaidi ya aliyokua...
  16. Rais Samia Suluhu akutana na Makamu wa Rais Philip Mpango Ikulu ya Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Mheshimiwa Philip Isdor Mpango Ofisini kwake Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo tarehe 14 Aprili, 2021. -- Mama Samia hakika ni alama ya uongozi uliotukuka, anajua kupanga, anajua...
  17. CUF: Miradi na upembuzi wake iwekwe wazi

    Chama cha CUF kimesema Serikali inatakiwa kuweka wazi upembuzi yakinifu ya miradi inayotekelezwa ikiwemo ya SGR, ufuaji wa umeme na uimarishwaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL). Mwenyekiti wake, Prof. Ibrahim Lipumba amesema "Tunaelekezwa hii miradi ni mizuri lakini hadi leo Serikali...
  18. Sakata la Dc mstaafu kumpiga mkewe na kumtishia bastola lachukua sura mpya watoto wake washikiliwa na polisi Simanjiro

    Sakata la Philomena Toima mke wa mkuu wa wilaya mstaafu nchini ,Peter Toima Kiroya limechukua sura mpya baada ya jeshi la polisi wilayani Simanjiro kuwashikilia watoto wake kwa sababu zisizojulikana mpaka sasa. Watoto walioshikiliwa na polisi wilayani humo ni pamoja na Nahini Toima pamoja na...
  19. Musukuma: Profesa Sospeter Muhongo usomi wake hauna faida kwa Tanzania

    Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshukia mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo kwamba usomi wake hauna faida kwa Tanzania. Musukuma amesema ni wakati kwa Serikali kuwaamini wasomi aliowaita wa darasa la saba akidai kuwa wanakulia kwenye kazi. Mbunge huyo...
  20. Mzazi anayejivunia mtoto wake kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Habari za leo wakuu Kilichonifanya kuandika uzi huu ni hili suala la Wazazi. Nadhani wengi wenu mnakumbuka enzi za shule hasa secondary na high school ilivyokuwa, ule wakati wa story za vijana utasikia tunatetea suala la kuwa na kesi mtaani, mfano; skendo za mahusiano na wasichana kadhaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…