Ndugu zangu wakazi wa Mkoa wa Moshi,
Ikiwa unaishi Moshi na bado haupo kwenye jukwaa hili (JF), nakukaribisha kuwasiliana nami moja kwa moja kupitia WhatsApp inbox. Kuna jambo muhimu tunalopaswa kulijadili – ni fursa adhimu, inayowahusu wote, iwe bado hujaoa au kuolewa, ama hata kama tayari una...
Habari za jioni bw Aweso
Mm ni mkazi wa goba osterbay hapa jirani na bar ya Triple B,tuna muda wa wiki tatu hatujapata maji na wala dawasco hawajatoa taarifa yoyote ya nini tatizo.
Kikawaida tunapata maji kwa wiki mara moja kila siku ya jumatano, lakini imepita wiki tatu sasa hatujapata maji...
Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa na Serikali kwa gharama ya Dola za Marekani 15.7.
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amefanya ziara ya kukagua mradi huo ambao ni moja wapo...
Yasser Abu Shabab, kiongozi wa wanamgambo wenye silaha wanaopigana na Hamas wenye makao yake makuu mjini Rafah, anawahutubia wakazi wa Ukanda wa Gaza katikati ya matakwa ya Hamas katika mazungumzo kuhusu Ukanda wa Morag:
“Hamas haitatia saini mkataba huo.
Morag Corridor inawatia hofu.
Hawataki...
Wakazi wa wilaya ya Ubungo(Dar es salaam) hasa Jimbo la uchaguzi la kibamba mama tunakudai Tena madeni makubwa sana. Tunakudai maji, barabara, hospitali n.k. Miaka 64 ya uhuru hatuna maji ya dawasa, hivi hii ni haki kweli? Kila siku danadana tu tumechoka. Dawa ya deni ni kulipa
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ni miongoni mwa Halmashauri kongwe nchini, lakini kwa miaka mingi kumekuwepo na changamoto kubwa ya miundombinu ya barabara, hasa zile zilizo chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA).
Barabara nyingi zimegeuka kuwa kero kubwa...
Kulingana na unabii kulikuwa na falme nne katika danieli 7 zilizotabiriwa kuwa baada ya hizo ufalme watapewa watakatifu na ndipo mwisho wa dunia. wafalme hao waliotabiriwa ni babeli, umedi na uhajemi, uyunani na rumi.
je, tawala hizi zina uthibitisho na ushahidi wa kihistoria nje ya biblia ili...
Katika filamu ya Borat: Cultural Learnings of America for Make Benefit Glorious Nation of Kazakhstan (2006), kulikuwa na tukio la kushangaza sana nyuma ya pazia ambalo linachukuliwa kama moja ya matukio ya ajabu sana katika historia ya vichekesho vya Hollywood.
Wakazi wa kijiji kilichoonyeshwa...
Nimepita haya maeneo mara chache nikiwa naangalia maisha ya wakazi wa haya maeneo. Inasikitisha sana. Ni maisha ya watu duni ambao wamekata tamaa kabisa ya maisha.
Huwa nawaza sana kwa nini Serikali isibomoe hizi nyumba ambazo asilimia zaidi ya 80 ni za watu wa maisha ya hali ya chini kisha...
Wakazi wa Mbagala wamefurahishwa na huduma za kibingwa na kibobezi zilizotolewa na wataalam wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika kambi maalum ya matibabu iliyoandaliwa na Wanataaluma na Wajasiriamali wa Kanisa la Wa Adiventista Wasabato Tanzania (ATAPE).
Wakazi...
Maisha ya Cairo ni tofauti na Dar es salaam au Nairobi kijiografia na uoto wa asili. Ni jiji wakazi milioni 23 na ukame wa nyasi hadi miti. Hali ya hewa ni joto kali na Bado wenyeji wana utamaduni wa kunywa kahawa na chai mchana bila kusahau shisha..Ni Bora zaidi kuishi miji ya East Africa kwa...
Mbeya, 18–21 Aprili 2025 – Kampuni inayoongoza nchini Tanzania katika huduma za mawasiliano na maisha ya kidijitali, YAS, kwa kushirikiana na KSI Charitable Eye Centre, imezindua rasmi kampeni ya siku tatu ya matibabu ya macho bure kwa wakazi wa Jiji la Mbeya na maeneo ya jirani.
Mpango huu...
Tunaomba ujumbe wetu huu ufike hadi kwa Waziri wa Ujenzi, kwa muda wa Miaka miwili, sisi Wananchi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam tunapitia changamoto kubwa ya usumbufu wa maji ya mvua kutokana na udogo wa ‘Kalavati’
Tumelalamika sana...
Majeshi ya israel yaendelea na operation zao kuisafisha Rafah hapo wakiyaangamiza Mahandaki yaliyokuwa yanatumika na magaidi wa Hamas. Rafah sasa hivi itakuwa chini ya israel.
Majeshi shupavu ya israel yameushikilia kikamilifu baada ya wakazi wake kuamriwa kuondoka maeneo hayo na Majeshi ya Israel.
Majeshi hayo ya duka ATA mji huo bila upinzani wowote. Wengi walitarajia wale askari wa Hamas waliokuwa wanavaa Combat wakati wa mabadirishano ya mateka wangejitokeza ili...
Wasalaam
Vijana wengi wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta hii nyeti.Wengi wa vijana hawa hawana weledi wa kutumia vyombo hivi na wengineo kama wana weledi basi ni wahuni
Mara mbili napanda bajaji tunasurika na ajali...gari ziko kwenye mwendo yeye anafosi kuingia
Leo aliingia kwenye lane ya...
Habari?
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu vita vya Gaza, cha kushangaza sijaona chochote kimefanywa na raia wa Gaza kuwashinikiza Hamas kuwaachia Mateka wa Islael ili kusitisha mapigano. Lakini nimeshuhudia mara nyingi Raia wa Islael wakiandamana kuisihi Serikali Yao kufanya mazungumzo na Hamas...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.