wakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho… tuna wiki mbili tunapata maji machafu ya bomba

    Uchafu wa Maji ya Bomba kwa Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph na Mbezi Mazulu. Sisi wakazi wa maeneo ya Kimara kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph, na Mbezi Mazulu tunakumbwa na changamoto kubwa ya maji machafu kutoka kwenye mabomba. Kwa...
  2. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kama unahisi bei ya nyama ipo juu basi waulize wakazi wa Switzerland USD 44 kwa kilogram 1.

    Choma nyama wakuu Tanzania bado tupo vizuri bei bado very friendly Tanzania shilling 10000 unapata kilo ya nyama sawa na us dollar 4 wakati Switzerland anatumia takribani dollar 44 kwa kilo sawa Tz shilling 100,000/= plus.
  3. MBOKA NA BISO

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Goma wafanya usafi mji mzima baada ya mzozo uliotokea

    Baada ya kundi la waasi wa Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC) kuuteka mji wa Goma, na waliokuwa wamekimbia vita kurejea majumbani kwao, leo tarehe 1 Februari 2025, kuanzia saa kumi na mbili mpaka saa tano asubuhi, kushirikiana na viongozi wakuu wa kijeshi kwenye kundi hilo...
  4. B

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Singida: Wakazi wa Unyakumi tunateseka na ubovu wa barabara. Ahadi zimekuwa nyingi bila utekelezaji

    Wakazi wa Mtaa wa Ginery maeneo ya Singida Sekondari tunaomba tusaidiwe barabara. Hali ni mbaya sana hasa msimu huu wa mvua. Watoto wanaenda shule kwa tabu maji na matope ya kutosha. Wanakwenda na School bus zinaishia mbali kwasababu ya ubovu wa barabara. Ahadi zimekuwa nyingi bila utekelezaji...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO wakazi wa Boko magengeni na viunga vyake mnatutesa kwa kutukatia umeme hadi usiku wa manane

    Tangu kuanza wiki hii TANESCO wamekuwa wakikata umeme bila taarifa kabisa kwa wananchi wa maeneo husika Boko magengeni, Bulemawe, Chama,Calfonia, Ndogondogo center na Mtambani. Mfano jumatatu, jumanne, jumatano wanakata umeme kuanzia asubhi unarudi usiku! Na ukirudi tena saa sita au saa 7 usiku...
  6. Shanily

    JamiiForums Tanzania OFA YA JANUARY : Nauza Shuka za kudarizi kwa bei ya elfu Thelathini ( 30,000/=) Tu.

    Jipatie shuka za kudarizi pamoja na foronya mbili kwa bei ya elfu Thelathini (30,000/=) Tu. Size ni 6×6. Delivery ni Bure kwa wakazi wa dar. Usikubali kupitwa na ofa hii ya January , hivyo nitafute kupitia 0628 160058 / 0658 843438. Karibuni sanaa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania KERO Dampo lililopo Kinzudi – Salasala, linahatarisha afya za Wakazi wa maeneo hayo

    Mtaa wa Majengo eneo la Kinzudi - Salasala Jijini Dar es Salaam kuna dampo kubwa ambalo linahatarisha maisha ya wakazi wa eneo hilo na maeneo ya jirani. Eneo hilo linalotupwa taka ni bonde, hivyo wakazi wa hapo waliiomba Manispaa ya Kinondoni wawe wanatupa taka hapo kwa nia ya kuzuia mmomonyoko...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Mtengu (kupitia Kilongoni Sheli ya TSN kuelekea Njia Nne kabla ya Daraja la Mtikatika) haijarekebishwa

    Hii changamoto tulisha itolea taarifa kwa Viongozi wetu wa Serikali za Mtaa lakini hakuna mabadiliko yoyote, barabara hiyo iliyoharibiwa na mvua kubwa ya mwaka Jana (2024) na vipindi vingine tena vya mvua vinaanza sijui hali itakuwaje! Tunaomba Serikali itusaidie kutatua changamoto hiyo...
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kisiwa Pekee Duniani Chenye Wakazi 52

    Kama aumewahi kusikia ama bado basi nakukumbusa kuwa kuna Kisiwa kinaitwa Pitcairn ambacho ndicho kisiwa pekee Duniani chenye wakazi wachache katika Bahari ya Pasifiki Kusini kikiwa kimejitenga na chenye wakazi 50 pekee. Kipo takriban kilomita 5,300 (maili 3,293) kutoka New Zealand na karibu...
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania HAYA FURSA NYINGINE HII HAPA YA KUTEMBELEA CHEMKA HOT SPRING KWA WAKAZI WA MOSHI NA ARUSHA HII INWAHUSU

    Habari za kila mmoja humu, leo nawaletea mchingo mwingine huu hapa wa kwenda kutembelea paradiso ya maji moto ya chemka iliyopo wilaya ya hai mkoani Kilimanjaro. Hapa huoendwa kutembelewa na watu wengi zaidi hasa wanachuo hivyo tunakuletea fursa hii mezani ili uweze kutembelea paradiso ya maji...
  11. Chanazi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mradi wa Starcity ni hatari kwa Wakazi wa Morogoro

    Katikati ya eneo la Kitungwa na Nanenane MOROGORO kuna huu mradi wa Star City wenye Viwanja vingi ambavyo havija endelezwa kwasababu mbalimbali! Serikali ya mkoa iingilie kati kwa manufaa ya wengi kwani eneo hilo sasa ni tishio la usalama! Eneo limekua 1. Maficho ya Wezi, Eneo hili linatishia...
  12. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Pugu, Kinyerezi na Viwege tunalaza magari barabarani kutokana na ubovu wa miundombinu

    Sisi Wakazi wa maeneo ya Viwege na Pugu Kinyamwezi, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam tumekuwa na changamoto ya kuwa na barabara mbovu, ikinyesha mvua ndio kabisa hali inazidi kuwa mbaya kuliko maelezo. Barabara za mitaani kwetu zimeharibika vibaya, hali inayotulazimu kulaza magari mbali na...
  13. hp4510

    JamiiForums Tanzania KERO TAMESA angalieni wakazi wa Kigamboni kwa huruma. Kivuko kinakaa upande mmoja 1hour?

    Tamesa tafadhari waangalieni wakazi wa kigamboni Kwa jicho la huruma, Nao pia ni watanzania. Kivuko kinakaa upande mmoja 1hour? Tumeingia kwenye kivuko saa sita Kamili mpaka saa saba kivuko hakijatoka hii ni haki kweli? Mpaka watu wanalala wanasinzia wanaliwa na mbu na wadudu wa Bahari...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Nyang'homango Usagara Mwanza hakuna maji safi ya bomba tangu uhuru

    Wakazi wa Nyang'homango kata ya Usagara jijini Mwanza hawajawai kuwa na maji ya bomba tangu nchi hii ipate uhuru japokuwa ipo umbali wa kilometa 6 kutoka Buhongwa Wananchi wanapambana kujenga na kukuza mji na hivi karibuni Chuo cha Uhasibu (TIA) campus ya Mwanza imefunguliwa hapo. Watu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa kichangani Kisarawe II tumeikosea nini serikali yetu??

    Wakazi wa Kisarawe II, Mtaa wa kichangani kwani tumeikosea nini serikali? Tumejichanga na kupata kiasi cha fedha ili kutengeneza barabara yetu ya mtaa Ila serikali ni kama haioni vile. Tumeomba kifusi kutoka kwa mkandarasi anayejenga barabara ya Kibada Mwasonga nacho tumenyimwa lengo ni mpaka...
  16. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania Gharama za Maisha Dodoma: Mabadiliko ya Haraka Yanavyowatesa Wakazi Baada ya Serikali Kuhamia, na Ujio wa Sgr

    Gharama za maisha katika Jiji la Dodoma zimekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa jiji hili, hasa baada ya kutangazwa kwa uhamisho wa serikali kuu kwenda hapa. Hali hii imepelekea mabadiliko makubwa katika uchumi wa jiji, ambapo wenyeji wa zamani wa Dodoma walijikuta wakifurahia faida za muda...
  17. M

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kimara na kata zake hawana maji zaidi ya wiki sasa, DAWASA hamuelezi maji yatatoka lini!

    Uongozi wa mamlaka ya maji safi jijini Dar-es-salaam hautoi taarifa ni lini huduma ya maji safi itarejea Kimara na kata zake zote kwa ujumla. Wanawake na watoto wanasumbuka kutembea umbali mrefu kusaka maji bila ya mafanikio. Tunaitaka mamlaka ya maji Dar-es-salaam (DAWASA) kutuelezea ni lini...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vikindu: Barabara inayotumiwa na wakazi wa Njia Nne, Kilongoni na Mwema ni mbovu sana, ifanyiwe ukarabati

    Tunakosa hata huduma ya Bajaj na Daladala sababu ya njia mbovu, hutulazimu kutumia bodaboda na kukatisha kwenye viwanja vya watu. Mamlaka zinazohusika na Miundombinu hii ziangalie namna ya kutusaidia Wananchi tunaoishi maeneo ya huku tunapata changamoto kubwa kupita. Ikitokea una dharura kama...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Bonde la Mto Msimbazi - Dar limeanza kuwa dampo, siyo jambo zuri kwa Afya ya Wakazi wa Vingunguti

    Katika pitapita za kila siku mtaani, hivi karibuni nilikatiza maeneo ya Vingunguti pembezoni mwa Bonde la Mto Msimbazi na kukutana na hali ya hatari kwa afya. Kiukweli mambo si shwari katika eneo hili, hasa usalama wa afya kwa wakazi waliozunguka eneo hilo. Kingo za mto huo zimegeuka kuwa...
  20. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kijombe, Wilaya ya Wanging'ombe (Njombe), kwenye huduma ya maji tunaisikia kwenye bomba

    Ukosefu wa maji safi na salama kwa sisi Wakazi wa Kata ya Kijombe, Wilayani Wanging'ombe imekuwa kero kubwa sana kwetu. Kuna kipindi unapita mwezi mzima maji hayajatoka Bombani, hivyo tunalazimika kwenda kuchota wenye madimbwi huko mabondeni. Hii kero haijaanza leo, ni ya muda mrefu sana...
Back
Top Bottom