wakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kilio cha Wakazi wa Kijiji cha Shabaha, Kata ya Mabogini Mkoa wa Kilimanjaro

    Ningependa kuwasilisha masikitiko yangu kuhusu hali ya Kijiji cha Shabaha, Kata ya Mabogini, ni eneo linalokuwa kwa kasi, likiwa na idadi kubwa ya vijana na watoto, lakini linasahaulika katika mambo yafuatayo: Miundombinu: Barabara ya kutoka Manguzoni (mpaka wa TPC) kuelekea Shabaha hadi mjini...
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa mkoa wa pwani

    Nina plani nipate eneo lisilopungua heka 5 hapo ndani nifanye mambo yangu ya kilimo na ufugaji, sana sana nmelenga mkoa wa Pwani especially kisarawe. Je ni sehemu gani nzuri ambayo ina ardhi nzuri na maeneo mazuri ndani ya kisarawe au popote ndani ya mkoa wa pwani? Maisha haya nataka niyaandae...
  3. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Morogoro msaada: Huko mvua zinanyesha au DAWASA wanatugeuza wajinga?

    Dar es Salaam na Pwani mvua hainyeshi kama tulivyoaminishwa na TMA. Ila ata ikinyesha uwa haina msaada sana kwenye kuongeza maji kwaajili ya “intake” za DAWASA walizozitega Ruvu juu na chini. Mvua za Morogoro ndio mkombozi wetu. Milima ya Uluguru ndio kimbilio letu. Sasa naomba kuuliza, huko...
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Uvira huko DRC wanahitaji m23 kubakia hapo Kwa kuwa wanatenda haki kuliko serikali

    Tuliwambia hawa wazalendo wa Africa waliopewa jina "waasi" sio kweli kama tunavyoaminishwa Sisi tunaona huruma kuwa waasi wameteka mitaa, kumbe wananchi wa Congo DR ndo wanafanya sherehe asubuhi na jioni Hii ni ajabu Tukumbuke mapema wiki hii wazalendo wa M23 walitwaa mji wa Uvra Kwa...
  5. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa DAR, PWANI na MORO wasaka maji mabondeni

    CHADEMA wajanja sana wameshirikiana na jua pamoja wanaharakati kutoka nje kukukasha vyanzo vya maji ili ionekane mama hapendwi ila UVCCM😂 Haiwezezekani wazungu watuonee wivu Kwa rasilimali zetu Hadi watutengenezee mgao wa maji, Sisi kama watanzania tuungane kwa pamoja ili kuwakataa hawa...
  6. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar es Salaam Amani ni muhimu kuliko Maji

    Kwa sasa, Jiji la Dar es Salaam linakumbwa na adha ya Maji, nawashauri Amani ni muhimu zaidi kuliko Maji, lindeni sana Amani kuliko Maji Nawasilisha
  7. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Geita walalamikia miundombinu duni

    Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Mhandisi Chacha Wambura, amefanya kikao kazi na zaidi ya wenyeviti 70 wa mitaa na vijiji kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Geita, kwa lengo la kusikiliza kero na mahitaji ya wananchi katika maeneo yao. Katika kikao hicho, hoja zilizotawala ni changamoto za...
  8. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakazi wa Dar waomba Amani iendelee kudumishwa kwani inastawisha Shughuli za Kiuchumi

    Wakazi wa Dar es Salaam wametoa wito wa kuzingatiwa na kudumishwa kwa amani nchini, wakisema ndio msingi wa ustawi wa maisha ya watu. Wamesisitiza matishio ya vurugu yanavyoathiri shughuli za kiuchumi na biashara, hasa Desemba ambayo mara nyingi huwa mwezi wenye faida. Mfanyabiashara wa vifaa...
  9. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakazi: Majizo "usijipe umuhimu"

    Msanii wa muziki wa Hip Hop Tanzania Wakazi amemjibu Mkurugenzi wa kituo cha Habari cha efmradio Majizzo baada ya Majizzo kuzungumza leo Desemba 11 na kuwaombea msamaha kwa wananchi juu ya kinachoendelea juu ya wasanii na mashabiki zao.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Aisee! Kuanzia sasa namtafutia wife msaidizi wa kazi, kumbe ana kazi kubwa namna hii?

    Wife ana mtoto wa miezi miwili leo sijatoka mida ya mchana akaniambia nibaki na mwanangu yeye akachukue mboga aje kunipikia chakula Alivyoniachia dogo alikuwa katulia vizuri dakika tatu badae dogo akaanza kulia bembeleza wapi kidogo namimi nilie aisee mana sikuelewa cha kufanya nadogo analia...
  11. Foffana

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi hii shida ya maji ni huku tu au nchi nzima?

    Hello Wakuu Hii mitaa yetu huku Dar es Salaam tunakabiliwa na changamoto ya maji karibia wiki nzima na sio kawaida kabisa Naomba kuuliza ni viunga vyetu tu hivi vya kimaskini au nchi nzima hili tatizo lipo? Hii hali ikiendelea hivi mbele kutakuwa kubaya sana
  12. T

    JamiiForums Tanzania KERO MWAUWASA imewaangusha wakazi wa Mwanza tatizo la maji limegeuka fedheha ya kudumu

    Kile kinachoendelea Mwanza si hitilafu ya kawaida, bali ni aibu ya wazi, uzembe wa makusudi na kutowajibika kwa kiwango cha juu kabisa kutoka MWAUWASA. Mwezi mzima uliopita Nyegezi haikuwa na tone la maji. Hakuna taarifa, hakuna maelezo, hakuna uwajibikaji—mpaka wananchi walipopiga kelele ndipo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Day 5: Hali iko hivi kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam

    Hali iko hivi kwa wakazi wa Jiji la Dar 1) Kuna barriers kila sehemu, ukipita lazima uwe na ID to verify your identity. Ni Polisi na Wanajeshi 2) Bolt ukimwita akupeleke Airport tokea maeneo ya Sinza, anataka LAKI 2 au zaidi 3) Ukiwa unaenda Airport, lazima ueleze unaenda wapi na kufanya...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Janga la uhaba wa maji ni kubwa kwa wakazi wa MailiMoja – Kibaha (Pwani), shida ni kubwa mno

    Ni takribani mwezi mmoja sasa maeneo mengi ya Kibaha MailiMoja kuna changamoto kubwa ya maji na majibu ya Mamlaka ya Maji yamekuwa ya kuungaunga. Awali walitoa taarifa kuwa maji yatakoseka kwa siku chache takribani tatu hadi nne kutokana na maboresho ya mitambo yam aji, lakini ilipita wiki...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa DRC wadai hukumu ya kifo kwa Kabila hakuleta amani bali mvutano utaendelea

    Wakazi wa mji wa Bukavu uliyoko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokraisia ya Congo wamesema kuhukumiwa kifo kwa rais wa zamani, Joseph kabila, hakutaleta amani ambayo wanatamani, ila itaongeza hali ya mvutano. Bukavu ilivamiwa na waasi wa M23 tangu Februari 2025. Mahakama ya Kijeshi nchini DRC...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kwa Wakazi wa Kibaha na Dar

    Hamjambo tafadhali? Msaada tafadhali. 1. Shule ya Kibaha Sekondari (boys, ile special) ipo mtaa gani, kata gani na tarafa gani?!!! 2. Chuo Cha st. John, tawi la st marks (pale buguruni malapa) kipo mtaa gani, kata gani na tarafa gani wakuu?!!!
  17. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Wakazi Mbopo walia rafu za Shirika la Maendeleo Dar es Salaam (DDC)

    WAKAZI wa Mbopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam wameshangazwa na rafu wanazofanyiwa na Shirika la Maendeleo Dar es Salaam (DDC) hali ambayo inawashangaza na kutojua hatma yao. Wakazi hao wanalakamika hivyo ingawa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni...
  18. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda amenifanya nibadili mtazamo wangu kuhusu wakazi wa Arusha

    Nimewahi kuishi Arusha, nimesoma A-level Arusha, naipenda Arusha na watu wake. Lakini ukweli lazima usemwe... Miaka ya nyuma, hususani mwanzoni mwa miaka ya 2000’s, kuna namna wakazi wa Arusha walitanabaishwa kama watu shupavu, wenye misimamo mikali katika kusimamia wanayoyaamini, watu...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Tapeli mkuu wa kisiasa aliyeahidi kuwahamisha wakazi wote wa Kawe na kuwapeleka Birmingham

    Hivi tunakumbuka uongo huu mkubwa kuwahi kutamkwa na maana siasa? Mpaka leo hajamkatia hata passport house girl wake! Hajatubu!
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa mwanza nauza kabati la chipsi laki mbili tu

Back
Top Bottom