wakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maeneo mengi ya Namtumbo - Ruvuma maji yanatoka mara chache, muda mwingine yanakuwa machafu

    Wananchi wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma tuna changamoto ya huduma duni ya maji safi na salama, huwa tunapata maji mara moja tu baada ya siku tatu hali hiyo huwafanya wengi kushindwa kutekeleza shughuli zao za kila siku kwa urahisi kutokana na ukosefu wa huduma hiyo muhimu. Wakati mwingine...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Msikiti Geuka Crime Scene!” Lamu Wakazi Wabaki na Hofu Baada ya Sheikh Kuchinjwa Wakati wa Swala

    Wakazi wa Faza, Lamu East bado wako kwa shock baada ya msiba wa kutisha kutokea ndani ya msikiti mchana kweupe. Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 33, anayejulikana kama Khalid Maka, aliuawa kwa kuchomwa kisu akiwa ndani ya Faza Jamia Mosque wakati wa swala. According to taarifa za polisi...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi ndivyo wakazi wa Vijibweni Kigamboni tunavyoteseka na barabara mvua ikinyesha

    Hii ni njia ya Vijibweni Kigamboni, kero hii kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi, mpaka sasa hatujapata utatuzi, mvua ikinyesha huwezi subiri chombo cha usafiri wa umma hapo, unasimama upande upi kusubiria na je, sisi waenda kwa miguu unatoka nyumbani smart tazama njia sasa.
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ujiji Kigoma kukoje? Kwa nini Bar imepingwa vikali? Wakazi wake ni Waislamu wa msimamo mkali?

    Kuna tayari nimeiona ya wiki kadhaa zilizopita kuhusu ufunguzi wa Bar/Pub Kigoma Ujiji ulioleta mtafuruku mkubwa sana mpaka ikabidi aliyefungua Bar aende kukaa na vizee vya hapo kupata ridhaa zao! Wahojiwa wengi wa hapo wakizungumzia jambo hili la Bar kufunguliwa Ujiji ni kama vile wale raia wa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mbezi Luis kuna shida ya maji unaenda mwezi sasa

    Wakazi wa Mbezi Luis kuna shida ya maji unaenda mwezi huu sasa, ukipiga simu kwa Wateja wanakuuliza maswali wanachukua na account number wanasema wanafanyia kazi ila hakuna chochote kinachofanyika na mwisho wa mwezi wanatuma bili kama kawaida.
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi Israel, Katz: Wakazi 600,000 wa Lebanon kusini hawataruhusiwa kurudi kwenye makazi yao tena

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Katz: amesema; "Wakazi 600,000 wa kusini mwa Lebanon ambao wamehamishwa hawataruhusiwa kurudi hadi usalama wa wakazi wa kaskazini mwa Israeli utakapohakikishwa. Nyumba zote katika vijiji vilivyo karibu na mpaka wa Lebanon zitaharibiwa. Israeli itaunda eneo la ulinzi...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Wakazi: Tunatengua hukumu ya kumlipa Baba Levo Tsh. Milioni 100, hukumu yenyewe tuliiona mtandaoni

    Msanii Webiro Wasira (Wakazi) amesema Wakili Peter Kibatala ameanza mchakato wa kutengua hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam ya kumtaka amlipe fidia ya TZS milioni 100, Clayton Chipando (Baba Levo) kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo na za kumkashifu kupitia...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Matosa - Goba, Mwaka wa 3 tunabembeleza kujengewa kalavati, TARURA wanakuja kupiga picha wanaondoka

    Serikali itusaidie kuhusu suala la kalavati sisi Wakazi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam, huu unaenda mwaka wa tatu sasa tangu tuombe turekebishiwe lakini hakuna kilichofanyika mpaka sasa. Tumesharipoti kwa mamlaka mbalimbali wanatuahidi...
  9. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Katekela atakuwepo Dodoma kwa uponyaji

    Mlioko DODOMA yule mtumishi wa Mungu wa ukweli mwenye nguvu kubwa moto wa Mungu unaounguza wachawi wote na kuwafungua wale wote waliotupiwa uchawi,majini ,mapepo ,laana na kuibiwa nyota zao...vichaa wanapona,kansa zinapona,magonjwa ya kichawi yanapona,MAGONJWA YA FIGO,kisukari,presha,ndoto...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya barabara kwa wakazi wa Kata ya Kimala wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa

    Sisi wakazi wa kata ya Kimala Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa tumekuwa na kero ya Barabara ya kuingia kwenye kata yetu. kata hii ina vijiji 4 ambavyo havina Barabara za uhakika za kupita mwaka mzima. Kwenye kipindi hiko cha mvua, Barabara huwa mbaya na mbovu na kama tukipata mgonjwa yatupasa...
  11. Inside10

    JamiiForums Tanzania Msanii Na Mwanaharakati WAKAZI Ahukumiwa Kumlipa BabaLevo Milion 100 Kwa Kumchafua

    https://www.instagram.com/p/DV0X-bLDTCD/?igsh=OGs4YTl1Y255eG1k
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Kisemvule, Vikindu, Mwandege na Kongowe - Pwani hatuna umeme wa uhakika, haipiti siku lazima ukatike

    Kwa niaba ya wakazi wa Kisemvule, Vikindu, Mwandege na Kongowe mkoa wa Pwani, tuna changamoto ya ukosefu wa Umeme wa uhakika. Haiwezi kupita siku bila umeme kukatika, pamoja na kuwa tunapeleka malalamiko yetu kwa wahusika. Si Mkuu wa Wilaya wala Meneja wa TANESCO Mkuranga, ambaye amejitokeza...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Waterfall - Arusha imejaa mashimo, Greda zipo Ofisi za Arusha DC zimepaki tangu 2025 mpaka matairi yameisha upepo

    Hii barabara inafika hadi Waterfall (NAPURU WATERFALLS) kuanzia mwisho wa lami pale ofisi za ARUSHA DC kupandisha juu ni kero. Barabara imejaa mashimo, na madimbwi ya maji, tunaomba TARURA washughulikie hii barabara. Greda zipo hapo Ofisi za ARUSHA DC zimepaki toka Mwaka jana mpaka matairi...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Wakazi Matuga wapewa elimu ya huduma za Majisafi

    Zaidi ya wakazi 300 wa Kitongoji cha Matuga, Kata ya Kawawa, Wilaya ya Kibaha Vijijini, Mkoa wa Pwani wameanza kunufaika na huduma ya majisafi na salama, baada ya kukamilika kwa mradi wa maji wa Matuga uliotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa lengo la...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Daraja la Kibaha Mji - Mtaa wa Lumumba litengenezwe tunapata shida wakazi wa huku

    Kuna daraja lipo Kibaha Mji, Kata ya Pangani, Mtaa wa Lumumba (liko karibu na Daraja la Jeshi) liliharibika wakati wa mvua ya Mwaka juzi (2024) ile kubwa lakini mpaka leo halijatengenezwa tunapata shida sana tunazunguka mbali tunaomba msaada mamlaka zinazohusika zifanya jambo.
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Makurunge, kata ya Kiluvya, wilaya ya Kisarawe hali tete baada lile sakata la uvamizi wa uporaji

    Ni baada ya polisi kuanza doria usiku imesababisha raia hasa wale wanaochelewa kurudi majumbani kwa sababi kadhaa wakikutana na polisi wanachezea kichapo kwanza ndo kisha kuhojiwa. Hii imepeleka raia wengi kuwa na hofu asa kuwahi makazini kwao au kutokurudi kabisa kukwepa kurukishwa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Goba, Mitaa ya Nasary & Mwanzo tunapata maji mara 3 au 4 kwa mwaka

    Sisi wakazi wa Goba Mitaa ya Nasary & Mwanzo tuna kero kubwa ya kukosa maji, unakuta tunapata mara 3 au 4 kwa Mwaka😢 wakati ambapo mitaa ya jirani wao wenyewe wanapata walau mara moja kwa mwezi. Hii hali inatuumiza sana kwa kuwa kuna muda tunalazimika kununua madoza ya maji hadi kwa Shilingi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ukuswanywaji huu wa Taarifa Binafsi kwa wakazi wa Masaki si sawa. Sensa ilikuwa ya nini?

    Hivi kwanini kulifanyika Sensa miaka 4 iliyopita? Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (na Kanuni zake) haijafuatwa na itashangaza kama Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi itakaa kimya huku Sheria ikionekana wazi kuelekea kuvunjwa. Wenye mamlaka wamezoea kufanya vitu kwa mazoea, nyakati kama hizi...
  19. T

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Nyegezi (Mtaa wa Mpambije Street na Kumalija) Wanalazimika Kuchimba Visima vya Maji Kutokana na Ukosefu wa Huduma ya Maji

    Wakazi wa Nyegezi (Mpambije Street, Ellys na Kumalija) Wanalazimika Kuchimba Visima vya Maji Kutokana na Ukosefu wa Huduma ya Maji Ukosefu wa maji umeendelea kuwa kero kubwa kwa wakazi wa Jiji la Mwanza, hususan katika mitaa ya Mpambije Street, Ellys na Kumalija, Nyegezi. Kwa kipindi kirefu...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa maji chumvi walia na uchimbaji haramu wa mchanga unaotishia kuangusha nyumba zao

    Wakazi wa Majichumvi Mtaa wa Tembomgwaza-Kimanga, wilayani Ilala jijini Dar wamefunua vinywa vyao kulalamikia uchimbaji haramu wa mchanga pembeni ya Mto Luhanga unaofanywa na vijana, hivyo kusababisha mmomonyoko unaohatarisha kuanguka kwa nyumba zao. Kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wa eneo hilo...
Back
Top Bottom