wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wa kuwa na michepuko ya kimataifa

    Wasalaam wana JF Kama mnakumbuka niliwahi ongelea tabia mbaya za dada zetu wa Tanzania katika uzi wangu hapo chini https://www.jamiiforums.com/threads/80-ya-wanawake-tanzania-ni-omba-omba.1965395/#post-41971061 Sasa basi nimeamua, bila kushurutishwa kufanya usajili wa mipango ya kando kutoka...
  2. JamiiForums Tanzania Ngongo anatarajiwa kufika mbele ya kikosi kazi wakati wowote kuanzia kesho

    Heshima sana, Mimi Ngongo Balozi wa kumi natarajia kufika mbele ya kikosi kazi kutoa maoni yangu kuhusu Katiba. Mosi,naunga mkono katiba mpya kwakuwa hii ya sasa imepitwa na wakati. Natarajia kuangazia mambo manne tu mengine nawaachia waTanzania wengine. Katiba lazima ipunguze...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Mahusiano ianze kutolewa shuleni

    Wengi watapigwa na butwaa kwanini natamani elimu ya mahusiano itolewe mashuleni tena mahusiano ya kimapenzi. Nitabaki kusimamia kwamba elimu ya mahusiano ya kimapenzi itolewe mashuleni, ikiwezekana kama somo la lazima kuanzia ngazi ya elimu ya msingi mpaka elimu ya sekondari. Elimu inatakiwa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Utalii kwenye bustani ya wanyamapori Beijing wapamba moto wakati likizo ya majira ya joto inaanza

    Wakati likizo ya majira ya joto inakuja, wazazi wengi pamoja na watoto wao wanatembelea bustani ya Wanyamapori ya Beijing, China. Kuanzia tarehe 15 Julai, wanafunzi wapatao milioni moja wa shule za msingi na sekondari mjini Beijing wameanza mapumziko yao ya majira ya joto.
  5. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Polisi yakiri watu 45 wafariki Dar wakati wa kumuaga hayati Magufuli

    Chanzo cha habari gazeti la the The Citizen la leo Machi 30, 2021. Dunia ina mambo mengi sana na vichekesho vingi sana, Hawa Jamaa Polisi mara ya kwanza waliogopa kutangaza. Hongereni Polisi kwa kutoa ukweli ingawa mmechelewa mlikuwa mnasoma upepo.
  6. JamiiForums Tanzania Mwanamke kutetema kama Mayele wakati wa kujamiiana

    Habari za asubuhi ndugu wananchi wa jukwaa hili pendwa. Miongoni mwa mambo yanayo nikosha kipindi cha kujamiiana ni zile mbwembwe za mademu. Kwanza kuna wale wanao lia kila mmoja anakuwana na namna yake, pili kuna wale wa kurusha maji, kwa experience yangu hawa Huwa wana enjoy kinyama😂 Sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Ila haya maisha wakati mwingine yanaweza kukufanya utamani kujiua

    Huyo jamaa hapo chini anaitwa Robin Ernest kimambo.ni class mate wangu pale udbs miaka kadhaa iliyopita. Leo wakati mimi bado nawaza ni lini utumishi watatoa majina ya written interview nikagombanie salary ya TGS D ambayo ni sawa na shillings 710,000/=, huyu class mate wangu kateuliwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Lugha za mwili unazotakiwa kuziepuka wakati wa usaili wa kazi

    1. Epuka kuegemea ukuta au kupishanisha miguu 2. Epuka kukunja mikono yako kifuani; inaonyesha unajiamini kupita kiasi au dharau 3. Unapoulizwa maswali; daima angalia mbele, usiiname chini 4. Epuka kutafuna kitu chochote mdomoni au kung’ata kucha 5. Kama umekaa usiegemee sana kiti -...
  9. JamiiForums Tanzania Wakati Urusi inaendelea kuugulia kibano cha HIMARS, Ukraine wapata aina mpya nyingine ya silaha - M270 system

    Mrusi alishasema atakayemsaidia Ukraine asubiri matokeo, leo Ukraine wanaendelea kupokea aina mpya ya silaha zinazowatesa Urusi na hamna chochote Putin anaweza kufanya. ======================== Ukraine said Friday it had received its first delivery of a sophisticated rocket-launcher system...
  10. JamiiForums Tanzania Kwenda Preseason kwenye viwanja vya Ulaya wakati mechi zitachezewa viwanja vya manungu ni kudhoofisha timu

    Timu zimesajilli wachezaji wapya wa kigeni ni Bora preseason Yao ikawa kwenye hali ya hewa na viwanja ambavyo mashindano yatafanyika. Aziz Ki kumpekeka preseason Egypt wakati mechi yake ya kwanza ya ngao ya jamii atachezea uwanja wa kigoma sio weledi. Wachezaji wageni wazoee viwanja vyetu hivi...
  11. JamiiForums Tanzania Mate sio kilainishi sahihi wakati wa tendo la ndoa na ni hatari kwa afya ya Mwanamke

    Wakati matumizi ya mate yakiwa maarufu kwa wengi wakati wa kujamiiana, hasa yanapotumika kama aina fulani ya kilainishi hasa ukeni na hivyo kuleta ladha ya tendo, habari si njema sana kwa watumiaji wa mate hayo wanapoburudika, hasa kwa wanandoa. Wataalamu wa afya wamesema kuna ongezeko la...
  12. JamiiForums Tanzania Utafiti wetu na ugunduzi uendane na wakati....

    Nimekuwa nikisikia mwanafunzi wa Chuo kikuu anafanya utafiti au umefanya ugunduzi wa gari, au pengine ndege au hata helcopter bila kusema ni nini cha ziada kilichopo au kitakachokuwepo na kunipa wasiwasi kama vijana wetu wanajua tofauti ya kugundua na kujifunza. Kwa ufahamu wangu, kutengeneza...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini bangi ikatazwe wakati pombe inaleta madhara pia. Turekebishe Sheria za Kikoloni

    Kama pombe tuijuavyo, inaweza kumfanya mtu ajinyee (mnisamehe kwa luga kali ila imebidi), atapike, azimie (kuzima), kuropoka, kushindwa kujitambua kabisa, hupunguza umakini (rejea mheshimiwa Kitwanga), n.k. licha ya haya yote lakini pombe hii ni halali. Ni utumwa wa fikra huu, tulirithishwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wakati Marekani ikiitaka China ishiriki kudhulumu mafuta ya Urusi, China imeikebehi Marekani kuhusu uelewa wake kuhusu "Jumuiya ya Kimataifa"

    Wakati Marekani ikiwa katika harakati za kuishirikisha China ikubali kudhulumu mafuta ya Urusi, ikidai kuwa hilo ndilo takwa la "jumuia ya kimataifa", China imeikebehi Marekani kwa kuweka ramani mbili za dunia zinazoonesha jumuiya ya kimataifa: Moja ambayo ndiyo jumuiya halisi ya kimataifa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine imejikuta katika wakati mgumu wa kulazimika kuzikubali ndoa za jinsia moja. Misaada ya mabeberu ni sumu

    Kwa kawaida Ukraine ilikuwa na msimamo kama wa Urusi wa kutokuruhusu ndoa za jinsia moja. Lakini mabeberu wa nchi za magharibi wametumia kipindi hiki ambacho Ukraine inataka kuingia kwenye Umoja wa nchi za Ulaya EU, na iendelee kupata misaada ya kijeshi katika vita yake na Urusi, kuibana ukraine...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kiasi gani kikubwa cha pesa umewahi poteza, au kuokota?

    Fungua huu uzi usome komenti unaweza kumpata aliyeokota pesa yako humu humu Mimi kiasi kikubwa nimewahi okota ni 15,000 na kupoteza ni 10,000
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani ulimpenda Mungu kwa kukiweka kifo?

    Mimi nilimpenda baada ya mtesi wa watu kufa
  18. M

    JamiiForums Tanzania Material hizi zimepitwa na wakati

    Ni hulka ya binadamu kujaribu kufanya vitu vizuri, watanzia tulio wengi tunajipima na tunapimwa mafanikio kimaisha kupitia ujenzi, ukionekana pesa inapita mikoni mwako lakini huna nyumba inayoonekana ni nzuri utakosolewa sana na kupuuzwa kwa kiwango fulani, katika kuzunguka kwangu tanzania...
  19. JamiiForums Tanzania Wakati Turkey ikiwapa "msaada" wa drones 4 Ukraine Iran inatarajiwa kutoa mamia ya drones kwa Russia

    The United States said Monday that it has intelligence indicating Iran may soon supply Russia with hundreds of unmanned aerial vehicles, including “weapons-capable” drones, to use in its war with Ukraine, a move that would underscore the growing cooperation between two American adversaries...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga iliyoacha rekodi Kampala wakati Onyango akizaliwa Kenya

    Yanga iliyoacha rekodi Kampala wakati Onyango akizaliwa Kenya KAMA utani imetimia miaka 27 tangu vinara wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Yanga ilipoandika rekodi ya aina yake jijini Kampala. Kwa waliosahau ni kwamba Januari, 1993 mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania, iliyosafiri kichovu kwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…