wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Askari wa barabarani wakati mwingine wanatuokoa na foleni

    Askari wa barabarani tusiwabeze sana pamoja na mapungufu madogo madogo ambayo wetu wengi tunayo huku maofisini. Askari wanatuokoa sana foleni za Dar. Hebu imagine askari waondoke barabarani si balaa hasa hasa Dar Mwanza na Arusha. Madereva wengi nao kichomiiiii
  2. C

    JamiiForums Tanzania Jaji Makambara: Hakuna Sheria mbovu, kuna Sheria zilizopitwa na wakati

    Maneno haya yalizungumzwa na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria akizungumzia hayo katika Mkutano wa Miaka 30 ya Demokrasia ya Vyama Vingi. Mkutano uliohudhuriwa na baadhi ya viongozi wa serikali na vyama vya kisiasa kama vile ACT, Chadema na wengine lakini Chama Tawala kilitoa Udhuru kutokana na...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Changzhou: Watalii wafanya manunuzi kwenye mtaa wa kibiashara wakati wa usiku

    Julai 31, huko mjini Changzhou mkoani Jiangsu, China, wakazi na watalii walikuwa wakifanya manunuzi kwenye maduka mbalimbali katika mtaa wa kibiashara wa Hanjianglu uliopambwa kwa taa za rangi wakati wa usiku.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Baada ya kutenguliwa Ukuu wa Mkoa, Kafulila amshukuru Rais Samia kwa kumpa nafasi ya kulitumikia Taifa

    Kafulila amshukuru Rais Samia, awaaga wananchi wa Simiyu Siku moja baada ya kuachwa katika mabadiliko ya wakuu wa mikoa, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, David Kafulila amemshukuru Rais Samia Suluhu kwa kumpa nafasi ya kulitumikia taifa. Siku moja baada ya kuachwa katika mabadiliko ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kutokwa na shahawa wakati wa kujisaidia haja kubwa

    Ikiwa mbegu za uzazi zitatoka kwenye uume wakati wa kujisaidia haja kubwa, inamaanisha kuna udhaifu kwenye tezi ya kiume "prostate''. Hii ni kwasababu ukanda wa pembeni wa tezi dume (peripheral zone of prostate)' uko karibu na sehemu ya puru ya haja kubwa, kwa hivyo unaposukuma kwa nguvu wakati...
  6. JamiiForums Tanzania Mtu kuwa Vice Chancellor wa Vyuo Vikuu 2 kwa wakati mmoja ni Tanzania pekee au na kwingine ipo?

    Bila kuchoshana,someni wenyewe👇 ''Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Dk Stergomena Tax amemteua Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe Profesa Lughano Kusiluka kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma.''
  7. JamiiForums Tanzania China itapata wakati mgumu sana kwa Taiwan kuliko Russia kwa Ukraine

    China kwanza wamechelewa sana kuivamia Taiwan ,wamezembea hadi US kajenga base yake pale,US ana marine combat's zaid ya 20,000 ,ndege za kivita zaid ya 200 ,manowari ,pia ana base nyingine kisiwa cha japani ambacho ni karibu sana na Taiwan ,yani kiufupi Taiwani wamejiweka sawa. Changamoto...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Huu Mgogoro na mzee unanipa wakati mgumu sana, Naombeni nanyi Mnishauri kama mmewahi kutana na changamoto kama hizi maishani

    Nadhani na umri nao umekuwa changamoto kwa mzee maana maamuzi yake yamekuwa kwa sasa hata hayaeleweki vizuri. Tumeingia mgogoro kwa jambo dogo sana. Lilianzia kwenye birthday yangu mwaka huu. Alitaka ninunulia gari ambalo kiuhalisia mimi niliona ningekuwa najichoresha sana. Lingekuwa gari pekee...
  9. JamiiForums Tanzania Wakati tukidanganywa kuwa Maambukizi ya 'VVU' yamepungua nchini, UN yasema sasa Maambukizi ya VVU ni Makubwa mno duniani

    Umoja wa Mataifa (UN) imesema kuwa kuna Ongezeko Kubwa sana na la Kutisha la Maambukizi ya Virusi vya UKIMWI (Dally Kimoko) duniani kuliko awali huku Waathirika Wakubwa wakiwa ni Wasichana na Wanawake. Taarifa: BBC Swahili Mwaka jana zaidi ya mara Mbili hapa hapa JamiiForums GENTAMYCINE...
  10. JamiiForums Tanzania Nipo katika wakati mgumu sana. Nimejaribu namna nyingi bado sijapatiwa Ufumbuzi

    Jumamosi nlikuwa na wife tunaenda Bagamoyo kutembea. Tukiwa njiani nilijikuta namsimulia wife habari ya mchepuko wangu ambaye kwa kweli ananisumbua sana kichwa. Amenichanganya sana. Tulikuwa tunazungumza tu mambo ya maisha na wanawake nikamwambia wanawake wa siku hizi pesa mbele. Hawana hata...
  11. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Serikali iache kutumia walimu kwenye zoezi la Uchaguzi Mkuu

    Ni wakati muafaka Sasa walimu waachwe wapumzike na mazoezi haya kama ilivyo kwenye sensa, post code na mazoezi mengine ya kitaifa serikali itumie Hawa vijana wasio na ajira ili kuinua vipato vyao. Tuache kuwatumia walimu kwenye uchaguzi Tutumie Hawa vijana wasio na ajira. Mwisho.
  12. JamiiForums Tanzania Faida na athari za Mwanaume kuwepo katika chumba wakati mwenza wake akijifungua

    Hivi karibuni Rais Samia Suluhu Hassan alizungumzia kuhusu mpango wa Wanaume kuruhusiwa kuingia katika vyumba vya kujifungulia wakati wenza wao wanapokuwa katika mchakato wa kujifungua. Kuna mambo ambayo yanaweza kutajwa kuwa ni faida au hasara za suala hilo kama ambavyo inafafanuliwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Kenyatta kupewa semina kabla ya kukutana na mama.

    Huwezi kukutana na mama Samia,rais wa nchi, Amiri jeshi mkuu, mkuu wa nchi na serlikali halafu unajiaachia tu ,unakaa Kama unasubiri githeri maeneo ya Kayore. Ebu angalia utulivu wa mama halafu linganisha na ule wa Uhuru Uhuru next time jitahidi brother.
  14. JamiiForums Tanzania Kumi bora yangu ya wakati wote ya nyimbo kali za muziki wa Congo

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa. Kabla sijataja kumi bora yangu ya nyimbo za muziki wa Congo (Kinshasa & Brazaville) ni lazima tukubali tu kwamba bado rhumba na dansi ni miziki inayopendwa toka rohoni kabisa ila media zinatulazimisha tuone ni miziki iliyopitwa na wakati. Hadi leo hii Club...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Ni wakati muafaka sasa wa Jamii kuelewa ukweli kuhusu Ndoa

    Wakuu, Kuna msemo ambao sikumbuki niliwahi kuusikia au kusoma wapi lakini unasema "it is now or never" Yaani kama sio sasa basi ni milele. Ikiwa na maana wakati wa kuchukua hatua ni sasa na tusipochukua hatua basi ni milele!! Pamoja na kwamba naandika makala hii katika mashindano lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Sipendezwi na jinsi inavyolazimishwa sasa CDF kuwa chini ya Waziri wa Ulinzi 'Kiprotokali' wakati Waziri wa Ulinzi ndiyo anapaswa kuwa chini ya CDF

    Hakuna Kitendo Kimenishangaza na Kimeniuma kama kuona Juzi CDF na Chief of Staff wake wakienda Kiunyonge na Kiuhuruma kwa Waziri wa Ulinzi Kujitambulisha. Sijawahi kuona popote pale Waziri wa Ulinzi anakuwa Juu ya Jeshi tena Kiprotokali wakati Jeshi ni Serikali Kificho ya Kimedani na...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mama yangu angeni-abort wakati bado niko tumboni mwake, angekuwa amenifanyia wema mkubwa sana

    Mama yangu angenitoa na kunitupilia mbali kipindi bado niko kwenye tumbo lake la uzazi, ingekuwa ni faida kubwa sana kwangu, ningejihesabia mwenye bahati sana, sababu nisingekuwa na haja ya kuja Duniani na kupitia mateso, usaliti, hofu, Karaha za kila namna, magonjwa, e.t.c kisha mwisho wa siku...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wakati Hitler na wengine wanaua watu na kutesa Mungu alikuwa wapi? Wema wa Mungu unakuwaga kwenye nini?

    Kuna mambo ya ajabu sana. Ni ama tunadanganywa au hatumjui vizuri huyo anayeitwa Mungu. Kuna wakati niliwahi kusema Shetani na Mungu ni marafjki sana. Kinachotokea sisi ndio tunataka kuwatofautisha na kuwagombanisha tu. Fikiria mtu mwovu kama Hitler na waovu wengine hasa watawala wa Afrika...
  19. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mwaka 2016-2019, wakati wa utawala wa Hayati Magufuli, watanzania milioni nne waliingia katika kundi la umasikini mkali

    Akitoa mada yake katika mazungumzo ya miaka 30 ya vyama vingi vya siasa, Zuberi Zitto Kabwe, alieleza kwamba kwa miaka mitatu tu, utawala wa JPM ulitengeneza masikini milioni nne, ambao,hapo awali, walikuwa wanajimudu kimaisha. Hii maana yake JPM angetawala miaka 10 basi robo tatu ya watanzania...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanasema Tanzania rushwa imepungua Sana wakati wa Rais Samia kuliko ule wa Magufuli. Watanzania wanasema rushwa inaongezeka. Je, ipi ni ipi?

    Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila akihojiwa na Ayo TV amekuwa na haya ya kusema juu ya kupungua kwa rushwa Tanzania kisayansi,Msikilize Kafulila anasema,Ripoti ya kimataifa ya kupambana na rushwa inaonesha Tanzania tumetoka nafasi ya 94 mpaka 87 sawa na vietnam & Moroco kati ya nchi 180...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…