wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mambo ambayo watanzania wengi mpaka wasomi wanayaongea kana kwamba wana ushahidi nayo kwa 100% wakati huenda sio kweli hata kidogo..

    Ukikuta Watanzania wanaongea mambo fulani unaweza kufikiri walikuwa mashahidi wa mambo hayo kwamba waliona tukio zima lakini kumbe ni uzushi. Kinachosikitisha ilibidi mambo hayo wayaamini watu wasio na elimu yoyote cha ajabu unakuta mpaka msomi anasimulia bila haya mbele za watu. 1. Diamond na...
  2. M

    Wakati semenary tunafundishwa ukakamavu na mafunzo ya karate sikuelewa, kumbe ilikua kujiandaa kujihami hata na watekaji!

    Pumzika Kwa amani father A. Sikuelewa maana ya usumbufu wa ijumaa jioni na jumamosi karibu masaa sita. Ulikua unasema unatupatia basics za maisha kiukweli tulikua na miili iliyojengeka hadi leo hii kwenye uzee. Ulipokua unasisitiza mwanaume lazima uwe na mapafu ya mbwa sikuelewa, ulipotoa...
  3. Hii inayoitwa Tume ya ajira PSRC ni uhuni na kupoteza wakati na fedha

    Habari Hivi kuna kipi cha maana wanachofanya kama sio kupoteza wakati na fedha za walipa kadi. Zamani watumishi walipangiwa vituo tena wakitokea vyuoni mojakwamoja. Kinachowafanya wawashe AC, wavae tai wakae roundtable wakijifanya wanaakili nyingi ni kipi? Alama anazopata mtunakiwa chuo vipi...
  4. Kuna wakati maisha yanasimama kabisa

    Yani ukichunguza kwa makini kuna wakati unaona kabisa pesa mfukoni haitulii na hata kuingia kwake ni taratibu Sana huku miaka Inaenda tu.
  5. Simiyu: Mkuu wa Wilaya ya Busega: Nimepigwa mawe wakati wa Maandamano, tumewakamata Watu 108

    Akizungumzia maandamano yaliyotokea Lamadi, Mkuu wa Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, Faiza Salim amesema athari zilizotokea baadhi ya Viongozi kushambuliwa kwa kupigwa mawe akiwemo yeye (Faiza). Amesema kwa muda wa miezi minne aliyokuwa katika nafasi hiyo hajapata taarifa ya Watoto kupotea...
  6. Ni wakati muafaka Watanzania kuipongeza serikali na wananchi wazalendo wa Msomera Tanga kwa kuinusuru hifadhi ya Ngorongoro kupotea

    Wananchi wazalendo wa msomera mkoani Tanga, ambao hapo kabla walikua wakiishi ndani ya hifadhi ya Taifa ngorongoro, ambapo baadae kwa kushauriana na mamlaka za serikali, na kwa hiyari na utashi wao, Lakini pia kwa kuzingatia maslahi mapana ya Taifa, na urithi wa vizazi vijavyo, wananchi wale...
  7. Kwanini NIDA wanauliza maswali wakati nahitaji kutumia NIDA number?

    Nimeenda brela kusajiri biashara yangu tabutubu limited, nimetakiwa kujaza form ambayo inanihitaji niweke nida namba na nimeulizwa maswali kibao utadhani namba ya nida nimeiba.. Nimeulizwa kijiji na mtaa nilio andikisha nida.. mimi nimeandikiswa tegeta hata kijiji sikumbuki, mara shule niliyo...
  8. K

    UPDATES: Elimu kwa umma ambayo ni jambo la msingi na endelevu

    TUYAONDOE MAJAMBAZI YA KISIASA KWENYE VYEO YALIKOJIPENYEZA KWA RUSHWA YAKAPATA VYEO ILI TUBAKI NA WATU WAAMINIFU NA WAADILIFU WENYE UCHUNGU WA KUWAINUA MAFUKARA Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu wa Kiroho huko Ndotoni. Baada ya kuyaona Majambazi ya Kisiasa Baadhi yaliyo jipenyeza kwenye...
  9. I

    Wakati wakikabiliwa na hali ngumu ya uchumi, Wairani wageukia dhahabu na fedha za kigeni ili kuhifadhi mali

    Wakati nusu ya Wairani wakiishi chini ya mstari ufukara, huku hali ya uchumi wa Iran ikiendelea kuzorota na pesa yake ya Rial ikipoteza thamani wakati wananchi wakizidi kugeukia ununuzi wa dhahabu, fedha za kigeni na kuhamisha mitaji nje ya nchi. Katika mwaka uliopita, Rial ya Iran imepoteza...
  10. Umewahi kumuonea huruma mwenza wako ukaahirisha mechi licha ya kukubaliana?

    kwamba mmekubaliana kwenda kufanya mapenzi kwa hiyari, makubaliano, mapenzi na ridhaa zenu wenyewe... ghafla mmeingia eneo la faragha tayari kwa game kunako 6kwa6, then ghafla unajawa huruma, hofu na stimu inakata kwa unachoshuhudia kwa macho, mathalani kutoka kwa mwenza wako?.. Je, ni kitu...
  11. K

    Kwanini U-FM Jana walikata matangazo DW Wakati John Pambalu alipokuwa akizungumza?

    Jana Mchana DW SWAHILI katika Kipindi cha meza ya Duara waliwaalika wanasiasa watatu nchini Tanznaia akiwemo John Pambalu Mwenyekiti wa BAVICHA, Steven Wasira Kada wa CCM, na Abdul Nondo Mwenyekiti ngome ya vijana ACT. Walikuwa wana mjadala kuhusu 4RS za Rais samia kama zinaishi ama zimejifia...
  12. Hiyo picha itafukuzisha kazi mtu. Ni suala la wakati tu…

    Kupitia hiyo picha kuna mtu atasagiwa kunguni na wapenzi wa boss lady na atafutwa kazi. Mda utaongea.
  13. PreGE2025 CHADEMA ni Wakati wa Kwenda na Lissu. Msisite, nina sababu…

    Kuna wanaosema Mbowe ndo awe mgombea Kwakuwa Lissu aligombea wakati uliopita Ila wakumbuke Mbowe aligombea 2005. Hata hivyo Tundu Lissu bado relevance yake ipo na anao mvuto ambao ni wa kipekee kwa sasa. Ni mzuri sana kwenye kuvuta attention ya watu kumsikiliza anapokuwa anaongea na hugusa...
  14. K

    Mtandao wa Airtel uko so weak sana na hausikiki wakati wa maongezi, kwanin?

    Jamani ukioiga Airtel kwenda matandao mwingien yeyote yaani hamuwezi kusilizana,sijui kwanini Airtel huduma zimaenza kuwa mbovu hivi?TCRA mmemchukua hatua zipi?
  15. Geita: Upendo Peneza akaripiwa na viongozi adharani, ni baada ya kutamka Chadema badala ya CCM wakati akihutubia

    Huyu dada kama ilivyo msigwa,wako CCM kimaslahi ila kiroho na kimwili wako Chadema. Akihutubua mkutano wa adhara mbele ya katibu mkuu wa CCM Emanuel Nchimbi na katibu wa itikadi na uenezi Amos makala,,Upendo peneza alijinasibu kuwa yeye ni chadema baadae akafuta kauli. Baada ya mkutano kuisha...
  16. D

    Niliyoyaona kwenye nyumba kongwe wakati wa repair, mimi ni fundi umeme natamani kuacha kazi

    Wakuu Nimefanya kazi za domestic wiring repair kwa zaidi ya miaka kumi, nimeona mengi lakini ya leo ni kubwa kuliko. Leo nimekuta kaburi na msalaba kabisa kwenye cealing board. Natamani kuacha lakini life ngumu.
  17. Mwenge unafaida gani wakati kuna mkaguzi mkuu wa serikali

    Mwenge ulitakiwa kuisha tokea kipindi cha nyerere. Ila naona mwenge ni kumaliza pesa za walala hoi tu. Majukumu ya mwenge ni yamebeba majukumu ya mkaguzi mkuu ambayo ni wajibu wake. Mwenge unafata nini tena unachukuwa machokoraa wa ccm
  18. B

    Kwanini viongozi wa dini huwa hawakemei huu uonezi wa Polisi?

    Naamini hawa Viongozi wa CHADEMA ni waumini, tena asilimia kubwa ni wakristo kwa nini Viongozi wa Dini wamekaa kimya au wanaona walichofanyiwa walistairi?
  19. Kuwa makini wakati wa kuchagua mke

    Picha hii inakusisitiza kwamba kuchagua Mke ni uamuzi wa kifedha wa maana sana kwa wanaume.. Picha ya kwanza ni Amber Heard akiwa analia, na maandishi yanayosema "$7 MILIONI MALIPO YA TALAKA." Hii na baada ya kutalakiana na mume wake Picha ya pili nin Kim Kardashian, na "$200,000 KWA MWEZI...
  20. Zingekuwepo bado jamii(species) nyingine za binadamu zaidi ya kwetu ya Homo Sapiens dunia ingekuaje wakati huu?

    Kulingana na evolution inasemekana kulikuwepo na jamii(species) zaidi ya tisa za binadamu ambapo kufikia miaka elfu arobaini iliyopita nane zilitoweka kwa sababu mbalimbali na hatimaye ikabaki moja tu iliyo survive ambayo ni ya kwetu ya Homo Sapiens, Sasa wangekuwepo akina Homo Neanderthals ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…