wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Mbowe wala Lissu ni yapi wakati hiyo ndiyo siasa aka mchezo mchafu ambao machawa wanataka kuutimia kuumiza wapinzani wao wakubwa na tishio?

    Humu jf kuna bifu kati ya mashabiki wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu na machawa wa pande zote. Wengi ima hawajui mchezo wa siasa au hawana hata chembe juu ya demokrasia. Chadema, tofauti na CCM ni chama cha kila mmoja. Hivyo, wawili hawa wanapopambana kugombea uenyekiti si tatizo. Siyo sawa na...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wakati Marekani akiwa hajui hili wala lile , Mchina kaanza majaribio ya Fighter Jet yake ya Sixth Generation 'The B -Type'

    Mmarekani na wachambuzi wake kwenye maonyesho ya SILAHA za Anga huko Uchina, walimnanga Mchina juu ya hiki Chuma, wakasema bado sanaaaa Sasa Mchina hatimaye kawa Nchi ya kwanza Duniani kufanya majarabio ya Kizazi hiki Cha ndege vita.
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mnikulu, hivi kale ka utaratibu ka kutoa mbuzi na mahitaji kwa vituo vya watu wenye mahitaji maalum wakati wa sikukuu umekasahau?

    Ilikuwa ni kama utamaduni wa jumba jeupe kufanya hivyo kwa mahospitali, vituo via yatima au wazee. Labda mnikulu yuko bize, amesahau kufanya hivyo krismas hii
  4. Magical power

    JamiiForums Tanzania Hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke haitengenezwi kitandani. Ili mwanamke aridhike kitandani, ni muhimu kuhakikisha kuwa ana furaha wakati wote

    🏆🏆🏆 Hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke haitengenezwi kitandani. Ili mwanamke aridhike kitandani, ni muhimu kuhakikisha kuwa ana furaha wakati wote💜💜💜. Najua ni ngumu kwani kuna kausha damu, lakini mfanye atamani kukutana na wewe kwa kumuonyesha kwamba unamkumbuka❤️❤️❤️. Kwa mfano, uko kazini...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Omari Suleiman Nyumba Yake Ndiyo Akifikia na Kulala Julius Nyerere Wakati wa Kupigania Uhuru

    HISTORIA YA FUNDI CHEREHANI OMARI SULEIMAN RAFIKI KIPENZI WA JULIUS NYERERE WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Mwaka 1955 wakati wimbi la utaifa wa Tanganyika lilipokuwa limepanda sana nchini Tanganyika Omari Suleiman alikuwa na umri wa miaka 43. Omari Suleiman alikuwa fundi cherahani...
  6. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Wanyakyusa: Mbadilike na nyie muwe mnaenda kwenu wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Kwenu mbona kuzuri kama Moshi tu au mlifukuzwa?

    Mbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah. Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini. Mapovu ruksaaaaaa!
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Nadhani wakati wa mpito huu ni mbaya sana kwangu kiakili

    Salamu Wakuu, msinione msumbufu Mimi mdogo wenu. Nasumbuliwa na upweke na msongo, sijui najihisi vipi ndugu zangu. Napo waona watu nahisi hisia za kuwachukia, natamani kukaaa peke yangu zaidi. Pia wakati huu nasumbuliwa na hasira sana, kitu kidogo nakasirika sana. Naona Sina marafiki...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Je, wajumbe wa kamati kuu CHADEMA wataweza kuchomoka kwenye huu mtego?

    Mnara umenipa signal kuwa mchezo unakwenda kuisha kwa dau la milioni 10 kwa kila mjumbe wa kamati kuu CHADEMA ili kwa sharti la kupiga kura kwa kipenzi cha Maza. Je, vipi hali ya uchumi ya wajumbe wa kamati kuu CHADEMA ? Watwaweza kuchomoka kwenye huu mtego?. Ijulikane mtoa pesa sio mjinga...
  9. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Media za Wenzetu Zinafanya Endorsment, Je Ni Wakati Muafaka Sasa Media za Tanzania Tuanze Kufanya Endorsment kwa Vyama na Wagombea?

    Wanabodi, Mada kama hii niliileta 2015 Kuelekea Octoba 2015: Je, Sasa ni Wakati wa Media Zetu Kufanya Endorsement ya Wagombea? Mfano mzuri wa endorsment ni huu...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Mbowe amechoka, nawakumbusha kwamba wakati Lissu kajificha uvunguni, Mbowe na binti yake ndio waliandamana mwaka huu, wakakamatwa na Polisi

    Mwaka huu chadema waliandaa maandamano Dar el salaam. Ni Mbowe na binti yake tu ndio waliandamana. Hakuna cha Lissu, Mwabukusi, Heche wala Pambalu. Hao wanaojitutumua kwamba wanapenda mabadiliko mbona hatukuwaona? Mmejaa humu MNATUNA lakini saiti hamuonekani. Hawa ndio tukabidhi chama?
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania IPP Media tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu

    IPP Media mnaomiliki ITV, EATV, CAPITAL TV na Radio One tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu Mmechelewa kwenda na wakati, mbona hamtaki kubadilika? Kama ni fedha za kununua Camera hazipo hata kukopa Bank...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu kiufundi sababu za kocha kumtoa Mpanzu leo wakati bado anaupiga mwingi aniambie

    Elie Mpanzu ndio kwanza leo ameanza kuitumikia rasmi Simba, alitakiwa acheze dakika zote 90 kWa sababu hana match fitness. Lakini huyu jamaa yetu Fahdu ambaye mimi namuona kabisa anabahatisha dakika 58 tu anamuita nje. Isitoshe akaendelea kufanya sub za kuwaingiza Mzamiru, Kagoma, Mutale na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tusameheni Zitto, Dr. Slaa na wengine wote mliopakaziwa tuhuma za usaliti ndani ya CHADEMA. Mlikuwa mbele ya wakati

    Wahenga walisema ukweli huwa una tabia ya kuchelewa lkn siku ukifika huwa uwongo unakimbia kama giza kwenye mwanga. Waathirika wa kusingiziwa kuwa ni wasaliti ndani ya chadema hatimaye leo wameibuka kidedea na kinara wa kuchafua wenzake ameonekana. Zitto, Prof. Kitila, Dr. Slaa, Msigwa, mzee...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka wa kuachana na CHADEMA ya Mbowe. Mimi najitoa rasmi

    Naomba kutamka rasimu kuwa sina imani tena na Mbowe na ni wakati sahihi wa mimi kuachana na CHADEMA ya Mbowe(labda Lissu ashinde). Sitaraji uchaguzi wa haki katika kwa nafasi ya Mwenyekiti na ninaona kila dalili ya Mbowe kuwa mamlulki wa CCM kwenye hiyo nafasi. No wonder tunasoma mitandaoni...
  15. K

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Kilwa jitahidini mlipe walimu nauli ya likizo kwa wakati

    Habari Wadai, Mimi naomba nende Moja Kwa Moja ktk mada yangu, Kuna hii kero ya walimu wilaya kilwa mkoani Lindi kucheleweshewa kulipwa nauli zao za likizo Kwa wakati, inafikia hatua hadi mwalimu husika anaacha kudai nauli yake ya likizo Kwa urasimu uliopo. Kwa mfano, Kuna walimu kadhaa idara...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Je kauli za Lissu kushambulia wenzake zinatokana na kuchanganyikiwa na madeni? Wenje adai alimkopesha fedha Lissu wakati anaumwa

    Ni mbinu ya kuzuia asidaiwe? Katika mahojiano yake na chombo cha habari, Wenje amesema kwamba alitoa fedha zake nyingi kumkopesha Lissu wakati anajiuguza, na kwamba hajalipwa mpaka leo. Najiuliza, Lissu amechagua kundi la watu wanaomdai, awachafue ili kuwapunguza kasi? Kwa nini asilipe madeni...
  17. Daudi Kempu

    JamiiForums Tanzania Wakati unatibu majeraha yako nyamaza. Kuna watu hawakuelewi na kamwe hawatokuelewa

    Kadri unavyoendelea kujieleza kwa watu wasiokuelewa, ndivyo unavyoongeza nafasi ya wao kukuumiza ama kukifumua kidonda chako upya. Mtu asiyekuelewa, atajitahidi kukuonyesha kila kinachokukuta ni uzembe na makosa yako mwenyewe. Mtu asiyekuelewa, atakuhukumu, atakufanya ujishuku na pengine...
  18. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuwa wakati wa CHADEMA kuiteka mioyo ya Watanzania kipekee na kujisikima kuwa chama cha kipekee kabisa Tanzania!

    Ukweli ni kuwa CCM ipo ilipo kwa sababu ya vyombo vya dola. Na endapo leo hii vyombo hivi vikisema hatuiungi mkono tena CCM huo ndio utakuwa mwisho wa CCM kuongoza Tanzania. Kwa upande wa vyama mbadala ni chama kimoja tu ambacho kwa muda mrefu sasa kimeweza kuonekana kuwa ndo mbadala sahihi wa...
  19. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Freeman mbowe NI wakati sasa wakuachia madaraka pamoja na kashifa zote ulizonazo zakutumiwa na Abdul

    Kuna nyakati watu wengi walikuwa wakisema mbowe ni wakala wa ccm mda mrefu watu wengi walibisha hususani machawa wake ambao kwa sasa ndoo wanaompigania kugombea tena kiti cha mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo. Mbowe asichokijuwa Tundu lisu ana clip zote zinazoonesha wenje kwenda...
  20. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mbowe anasema anatazama kampeni inakwenda vipi wakati yeye ndiye anasubiriwa ili kampeni ianze

    Sikuelewa Mbowe ana maana gani aliposema atautazama mwenendo wa kampeni kabla ya kuamua kugombea uenyekiti. Lakini sasa hivi kinachosubiriwa ni Mbowe tu aseme ameamua nini. Kwa jinsi ilivyo sasa inaweza kuleta uvunjifu wa amani. Na hapa sijui kama ndipo mahali pa kuuliza. Yule Abdul Nondo...
Back
Top Bottom