wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema: Kuzuia uchaguzi kutamwaga damu, sisi tunaotaka kugombea tunaepusha vijana wetu kuumia wakati wa kuzuia uchaguzi

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa Itikadi,Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni mmoja wa waasisi wa kundi la G-55 ndani ya CHADEMA John Mrema, amewataka Watanzania na viongozi wa kisiasa kuwa na tafakuri ya kina kuhusu namna bora ya kushiriki mchakato wa...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maskini! Lissu na Magufuli waligombanishwa na kujikuta wakiwa kwenye vita kubwa. Wakati wangetakiwa wawe Kitu Kimoja. Nafikiri nchi ingekuwa imeula!

    Mpo salama! Kwa uelewa wangu nafahamu Wazalendo(wapenda nchi) wa dhati wapo popote. Kuna Wazalendo wapo CCM. Kuna Wazalendo wapo CHADEMA Kuna Wazalendo wapo vyama vingine vya upinzani. Na kuna Sisi Wazalendo ambao hatuna chama. Ni kosa la kiufundi na ninyi Mjinga pekee ambaye atafikiri chama...
  3. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Majaribu yapo kwaajili ya Binadamu, likikupata ujue ndio wakati wako ulikuwa umefika.

    Maisha Ni Fumbo Katika kutembelea mitandao, nimekumbana na video moja inayogusa moyo na maisha pia. Katika video hii kuna huyu mama akiwa na mwanae huyu anaonekana hana mikono yote, kwani imekatikia kwenye viwiko. Katika masaibu yaliyomkuta mimi na wewe msomaji hatujui, anafahamu yeye mwenyewe...
  4. KENZY

    JamiiForums Tanzania Bongo flavour love songs tano nizipendazo za wakati huo..

    Huyu bidada kwenye hii alijua kunivuruga!, lala salama huko ulipo!. Hii R&B hapa bongo binafsi kwangu ndio best R&B ever!, mpaka sasa sijaona mpinzani kuanzia beat mpaka mashairi heko kwako kabaisa. Hehe!, Huyu mwamba na hii ngoma yake aliifanyia haki stahiki haichuji ni utachuja umri tu ila...
  5. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara/serikali wanatumia mabilion kuagiza bidhaa nje wakati bidhaa kama hizo zinapatikana nchini

    Wachumi naomba mnisaidie, nimeona juzi diamond platinum anajisifu ameuza kontena 30 za sabuni ndani ya week, at the same time ukienda kigoma- sido wanazalisha sabuni zenye mfanano kama ulivyo, na ukienda utakuta godown yamejaa sabuni za kutosha, soko lake likiwa dogo, ivi kwanini tusikuze uchumi...
  6. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Kukutana na Ndugu Wakati wa Sherehe: Kero au Furaha ya Familia?

    Sherehe zinapofika – iwe ni Krismasi, Eid, harusi, au hata birthday ya bibi – kuna kitu kimoja hakikosekani: kukutana na ndugu. Na hapa ndipo mambo huanza kuwa moto! 😂🔥 Kwa wengine, hii ni nafasi ya kufurahia, kula nyama choma, na kufufua kumbukumbu za utoto. Kwa wengine, ni msiba wa kisirisiri...
  7. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Bondia wa Nigeria Gabriel Olanrewaju Amefariki Baada ya Kuanguka Wakati wa Pambano la Uzani wa juu Nchini Ghana

    Oluwasegun, bingwa wa zamani wa kitaifa na Afrika Magharibi katika daraja lake la uzani, alipoteza fahamu katika raundi ya tatu ya pambano lake la Ligi ya Ndondi ya Kulipwa ya Ghana dhidi ya bondia wa Ghana Jon Mbanugu kwenye Uwanja wa Ndondi wa Bukom mjini Accra siku ya Jumamosi Mamlaka ya...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tigo/ Yas mnachukua salio langu la GB zilizobaki na wakati nimelipia?

    Mimi ni mteja wa zamani tigo na sasa Yas wa Post Paid. Malipo Baada. Nalipia GB kadha kwa mwezi na kuna kipindi huwa zinabaki. Kwa nini unapoingia mwezi mpya mnafuta GBs zangu ambazo nlishalipia badala ya kuongezea pale pale? Nadhani hapo mnakuwa mnafanya wizi. Nimelipia zote so inapaswa kama...
  9. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Barabara ya banana kitunda wakati wa mvua ni kero

    Kero kubwa madimbwi mengi magari yanaharibika
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mnaodharau single mothers wakati mama yenu ni Single mother mnaemsifu ni shujaa wenu, mna uzima kichwani ?

    Ulizaliwa na mama yako akiwa hajaolewa na pengine akaja kuolewa na mwanaume mwengine tofauti na baba yako, mwanamke huyu unamsifu. Lakini hapo hapo unawadharau single mothers kwamba hawafai. Hii tunaiitaje ? Pia kwa upande mwengine kuna single mothers wanatamani kuolewa lakini wao hawataki...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Je, Waafrika bado wanahitaji wasaidiwe/wajengewe misikiti na makanisa na siyo viwanda,mashule na mahospitali kwa wakati huu?

    Tuache unafiki wa kiafrika pembeni, Je, Waafrika bado wanahitaji wasaidiwe au wajengewe misikiti na makanisa na siyo viwanda,mashule na mahospitali kwa wakati huu?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Siku ya sikukuu kuna wakati hazina maana kabisa

    Wakina Baba na mama ,kaka na dada pamoja na watoto wakiwepo ndugu na jamaa hujumuika katika sikukuu mbalimbali za kidini ( ukristo na uislamu) kama desturi zao za kusherekea kila mwaka. Chakusikitisha 😮‍💨 hizi sikuu zimekuwa ni chanzo cha maovu meeeengii........ngingingi Yaani chukulia mtu...
  13. N

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Songea: Hali ya Soko la Bombambili si salama, wakati wa mvua hali ni mbaya

    Hali ya Soko letu la Bombambili hapa Mkoani kwetu Songea Mjini sio nzuri hasa inapotokea mvua imenyesha, miundombinu yake inakuwa siyo rafiki. Wafanyabiashara na wateja wote wanapata wakati mgumu kupita na kufanya shughuli zao nyingine kutokana na matope, uchafu na mvurugano uliopo...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha CCM kulazimisha mkutano ufanyike stendi na kusimamisha shuhuli wakati viwanja vipo ni kukosa akili.

    Hawa ccm naona kwa sasa watu wamewachoka jana kahama waliamua kulazimisha mkutano wao na wasira ndani ya stendi ya shinyanga kahama ambayo inashuguli nyingi za watu. Mabasi yalilazimisha kupaki nje ya stendi ili kusubiri wateja wao. Sasa cha kujiuliza wakati kahama kuna kiwanja kikubwa ambacho...
  15. Fene

    JamiiForums Tanzania Aisee Watanzania tunatukana, hivi ni kawaida au?

    Inakuwaje WanaJF Kutokea January ya mwaka huu nikasema ngoja niingie life la kijiweni duh! Aisee Watu wanatukana vibaya to the maximum yani mpaka mimi najishtukia hawa washkaji wananiona wa kuja kweli yani. Maana ni mtu nimepoa tu responds zangu kawaida tu Yani matusi hadi fujo, story...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Viongozi Yanga someni alama za wakati, hatutaki busara na uchawa

    Tuko tayari kumvumilia Yanga ishushwa daraja kwa kanuni kuliko kuvumilia kurudia mechi kwakutumia busara. Hali hii mwisho wake lini? Kama ikithibitika kama Yanga imewazuia simba kuingia uwanjani na Kama adhabu ya kuzuia timu kuingia uwanjani ni kushushwa daraja ni bora tushushwe. Ni heri ya...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Iran ana uwezo mkubwa kijeshi ana jumla ya askari 1,180,000 wakati Israel anayesifiwa kukicha anao 670,000 pekeyake

    Iran ana uwezo mkubwa kijeshi ana jumla ya askari 1,180,000 wakati Israel anao 670, 000 Wadau hamjamboni nyote? Takwimu zinaongea mayahudi wasithubutu kumchezea muiran hata siku moja kwani wataumia Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Israel has 170,000 active military personnel, along...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini mfumo wa Afya/matibabu Marekani huwa unalalamikiwa sana na raia wao wakati hilo ni taifa tajiri?

    Miaka na miaka sekta ya afya Marekani imekuwa ikilalamikiwa sana kwamba ni ghali sana na inayonyima watu wengi fursa ya matibabu. Hivi karibuni mpaka CEO wa kampuni ya afya alilimwa risasi na kuuwawa na kijana mwenye hasira kali kwa sababu ya kero za bima ya Afya. Inakuaje taifa tajiri lenye...
  19. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Kipi unafanya ili kujituliza wakati unapitia magumu?

    Sote kuna wakati tunapitia hali au wakati mgumu kimawazo, kihisia na kimwili lakini kila mtu ana njia tofauti za kukabiliana na nyakati hizo. Member mwenzenu akili ime stack, depression na hofu imenijaa, naombeni mnipe mbinu za kukabiliana na hali hii kabla sijafika pabaya because there is riot...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nasikia Gari la 'Actress' sasa yoyote mwenye Leseni anaweza Kuliendesha kwa wakati huu muhimu asiligonge tu

    Yuko busy sana kutengeneza Scenes mbalimbali za Movies zake zijazo ikiwemo ile Kubwa atakayoizindua Oktoba au Novemba.
Back
Top Bottom