wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Setfree

    JamiiForums Tanzania Yajue mambo mazito yatakayotokea wakati Yesu atakapokuja

    Heshima zenu wakuu. Leo nawaletea mpangilio(timeline) au mtiririko wa mambo mazito sana yatakayotokea Yesu atakapokuja. Maandalizi yanayofanyika nchini Israeli, ya kujenga hekalu la tatu, ni ushahidi wa wazi kuwa Yesu amekaribia kuja...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mwanangu analia sana wakati wa maombi

    habari wapendwa mwangu ana mwaka na miezi 6 changamoto yake mwanangu analia sana wakati wa maombi. tena hata kuna wakati mkifika kanisani analia sana anasumbua sana ila pale mnapo rudi nyumbani anakuwa mzima. sijui nini shida. nifanyaje naona kabisa hii si kawaida
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mnyika: Msajili aeleze kitendo cha CCM kukiuka Katiba ya CCM wakati wa kumteua Mgombea Urais

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa kuelezea alichobaini wakati wa mchakato wa Chama Cha Mapinduzi hadi kupatikana kwa mkombea wake wa nafasi ya Urais akidai kuna ukiukwaji wa Katiba ya Chama hicho ulifanyika. Amesema hayo...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Aina za Taarifa Unazotakiwa Kuwa nazo Wakati wa Kuomba leseni Kundi A

    Tofauti kidogo na leseni Kundi B Uombaji wa leseni Kundi A unahitaji taarifa nyingi zaidi. Kwenye Thread hii nimekuandikia Taarifa zinazohitajika wakati wa kuomba leseni Kundi A. 1. Taarifa Za Directors Hapa utatakiwa uwe na taarifa zote za directors wa Kampuni husika, NIDA namba, tarehe za...
  5. S

    JamiiForums Tanzania BOT acheni majibu ya kisiasa kwa Watanzania; kuna tofauti kati ya uchumi kukua na shilingi kuporomoka, na vyote vinaweza kutokea kwa wakati mmoja

    BOT wamejibu tuhuma kwamba shilingi ya Tanzania imekuwa ikiporomoka kwa kasi ambayo inaifanya mbaya kuliko nchi zote duniani. Sasa BOT wamekuja na majbu kama vile yameandaliwa kutoka makao makuu ya chama tawala na sio wachumi wanaojisifia kuwa na degree za first class za Economics. Jibu la BOT...
  6. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Katika nyakati ambazo Iran anapaswa awe mpole na afiche kichwa chake basi ni wakati huu wa hatari, maana anapitia majaribu makubwa

    Amani kwenu wakuu Iran kashasoma nyakati yupo kama hayupo na mimi pia namwombea akae kwa kutulia hivyo hivyo, maana wale wababe wa Dunia wana mtafuta kwa nguvu nyingi sana Anapitia majaribu makali sana lakin hana budi kunyenyekea na kutulia na kuutazama msalaba Atulie hivyo hivyo...
  7. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuachilia nguvu za kiroho ndani mwako wakati unapitia magumu.

    Mwanadamu ana nguvu mbili ya ndani na ya nje . Mwanadamu ameumbwa akiwa kamili au kwa mfano wa Mungu, uungu u ndani mwake,hivyo haitaji nguvu toka nje ili aweze kujiendesha labda tu kwa asiyeelewa jinsi ya uuungu ndani mwake unafanyaje kazi,kila kitu kimo ndani mwako uhitaji mganga,nabii wala...
  8. immortanity

    JamiiForums Tanzania Hakuna umuhimu wa kuwepo kwa A-LEVEL na vyuo vya kati kwa wakati mmoja .

    Serikali ingeliboresha sera ya elimu kufuta A-level na kuacha vyuo vya kati . Sioni kama kuna umhimu wa kwenda kidato cha tano na sita ikiwa kuna vyuo vya kati Ambapo moja kwa moja student anaenda kupata ujuzi kuliko kwenda advance kusoma notice na practical za mchongo za kupasua vyura siku 10...
  9. SubTopic

    JamiiForums Tanzania Ni ipi sababu ya mayai kuvunjika wakati yanachemshwa. Na je ni njia ipi niitumie ili kuzuia yasivunjike?

    Kila ninapochemsha mayai 10 at least mawili au matatu huwa nakuta yamevunjika na yameingia maji. Wataalam naomba mnijuze sababu ni ipi inayofanya yavunjike na pia nitumie mbinu ipi ili kuepuka yasivunjike. Nawasili
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Arikana Chihombori-Quao asema Viongozi wa Afrika wamejivika Mavazi ya Umasikini kwa kutegemea USAID, wakati rasimali za nchi zipo mikononi mwao

    Arikana Chihombori-Quao, balozi wa zamani wa Umoja wa Afrika nchini Marekani. Ngoja nikwambie, tunahitaji kuangalia kinachoendelea huko Burkina Faso, Niger na Mali. Rais Traoré amesimama kidete. Anasema rasilimali za asili za Burkina Faso ni mali ya watu wa Burkina Faso. Niger nao wanafanya...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wajiriwa wasiruhusiwe kugombea ktk chaguzi za kisiasa

    Habarini, Ni kitu cha kushangaza sana unamkuta daktari,mwalimu,injinia,wafanyabiasharan k walio katika ajira zao serikalini au binafsi na wanaukwasi wa kutosha kwenda kugombea majimboni kwa lengo la kutaka tena ulaji. Sasa kuna watu wamesomea sayansi ya siasa na hawana ajira mijini na vijijini...
  12. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Houthi warusha kombora la balistiki huko Israel wakati waisrael wenye ndugu mateka wakielekea gaza Ili wachukuliwe mateka au wauawe na jeshi lao

    Usiku wa kuamkia leo ving'ora vilisikika ndani ya Israel kuashiria ujio wa kombora hasimu, wateule hao wa mchongo walioonekana kuhaha kutafuta pahala salama pa kujificha. Hata hivyo IDF ilidai kulitungua kombora hilo wakati houthi walidai lilipiga shabaha yake huko jangwa la Negev Wakati huohuo...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya dunia yanazidi kutusogelea wakati Hamas waliozingirwa wakipigana peke yao dhidi ya Marekani na Israel

    Akitoa tamko la kuiarifu dunia kuwa Israel imerudi vitani Gaza,waziri mkuu wa Israel amesema wanaendelea kupambana huko Gaza dhidi ya Hamas kwa kutumia nguvu zao zote. Naye Donald Trump mara baada ya kuuliwa kwa watu zaidi ya 400 huko Gaza hapo juzi aliipongeza akisema Israel ililazimika...
  14. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watu huanza kukudharau unapopitia wakati mgumu maishani, na unapaswa kufanya nini ili kuvuka hali hiyo?

    Ni kama vile heshima na uhusiano wa watu hubadilika unapopitia changamoto kama kupoteza kazi, matatizo ya kifamilia, au hali ngumu ya kifedha. Watu waliokuwa karibu nawe ghafla wanapotea au wanakutazama tofauti. Kwa nini unadhani hili hutokea? Ni asili ya binadamu, au ni kwamba watu wengi...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mavunde aagiza Mradi wa Kabanga Nickel kutekelezwa kwa wakati

    WAZIRI MAVUNDE AAGIZA MRADI WA KABANGA NICKEL KUTEKELEZWA KWA WAKATI Serikali kupitia Wizara ya Madini imeiagiza Kampuni ya ya uchimbaji wa Madini ya Tembo Nickel Corporation LTD kuhakikisha inatekeleza kwa wakati mradi wa Kabanga Nickel Project ambao unalenga uchimbaji wa Madini ya Nikeli na...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Waliotaka kuijenga Gaza wakaa kimya wakati Netanyahu akivunja na kuua zaidi.

    Nchi kadhaa za kiarabu zilizokubaliana kutoa mabiloni ya dola za kimarekani kuijenga upya Gaza ni kundi la watu waoga sana ambalo Netanyahu na Trump wanalidharau sana. Siku chache tu tangu azimio la kuijenga upya Gaza likiwa na mchoro mzuri sana kutolewa waziri mkuu wa Israel amerudia kuvunja...
  17. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watu wanaridhika na maisha duni wakati wengine wanapambana hadi mwisho?

    Kuna uwezekano mkubwa wa kuishi maisha mazuri na yenye raha hapa duniani. Lakini ajabu kuna watu wanaridhika kuishi maisha duni. Wasiokubali kuishi maisha ya kimaskini wanapambana hadi mwisho. Wanaoridhika kubaki maskini huamini kwamba walizaliwa kwa bahati mbaya na hawana uwezo wa kubadilisha...
  18. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Familia ya hayati magufuli iliamua kukaa kimya wakati magufuli anatukanwa ila umma wa watanzania ulisimama kumtetea

    Mwaka wa nne leo tunapo kumbuka siku ile tunaarifiwa kufariki kwake. Tunashukuru tupo salama kama taifa japo mambo madogo madogo yasio sawa yanatupa usumbufu lakini hatuna budi kushukuri kwani ilikua ni kipindi kigumu sana ambacho kwa wengine wahawakuvuka salama. Miaka hii minne yaliibuka...
  19. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Dar es Salaam Kufanyika Machi 17-23, 2025. Wapiga Kura wapya 643,420 kuandishwa

    Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Dar es Salaam utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 17 hadi 23 Machi, 2025 ambapo wapiga kura wapya 643,420 wanatarajiwa kuandikishwa. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs...
  20. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Dawasa msidangaye watanzania, shida ya maji bado ipo

    Ndugu zangu, nimesoma sehemu mhandishi huyu wa dawasa akidanganya. Pamoja na mvua zinazonyesha dsm kuna maeneo hakuna maji ikiwa ni pamoja na kinyerezi. Ndg waandishi wa habari popote pale mnaposoma huu ujumbe fikeni kinyerezi saranga mjionee, mpate habari za kukosekana maji yapata mwezi wanne...
Back
Top Bottom