wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli kama nchi tunapitia wakati mgumu na baada ya uchaguzi hali itakuwa mbaya

    Tuukubali ukweli kuwa nahodha ni mchanga sana. Sikiliza kutokuwepo coherence kwa hotuba zake. Angalia wasaidizi wake wa wakaribu angalia waandalizi wa kampeni. Kimsingi tuna safari kubwa. Tuiombee nchi yetu. Ni wazi hakuna maono ya kiuongozi tena. Ni vurugu tupu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hubiri la 1: Mishale ni michache, vita vinaendelea. Piga wakati ardhi bado inalia.

    Andiko kuu: 2 Wafalme 13 : 14 - 19 Hubiri langu la kufafanua andiko kuu. Chukua upinde, lenga mbali, usiogope mishale mingi. Mshale wa ushindi hausafiri pekee huongozwa na mkono wa utii. Ardhi ipigwe mpaka isiseme tena. Mara tatu ni kuanza; mara sita ni ushindi. Usitegemee nguvu ya mkono...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rushwa aliitoa mbunge wa jimbo la Mbulu Mjini aliyemaliza muda wake Zakaria Isaay inatisha; wakati TAKUKURU wapo, vyombo vingine vipo; nchi imetekwa!

    Katika kura za maoni za CCM zilizopigwa hivi punde kama unataka kujua maana ya upatikanaji wa uongozi kwa njia ya rushwa nenda Mbulu, mkoa wa Manyara. Mbunge wa jimbo Mbulu mjini Zakaria Isaay rushwa alizotoa kuongoza kura za maoni inatisha. Mwenyekiti wa kitongoji moja alipewa mpaka Sh. Milioni...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Pole pole livestream ina 6.5k current watching viewers wakati aliko mkuu wa nchi kuna 12viewers. Hii vita ni kali sana 😂

    Press conference ya H Polepole Ina viewers zaidi ya 6K wakati hayo maonesho na nane nane Yana watazamaji 12. All the best enewei
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Amini tu kama unavyo amini tarehe yako ya kuzaliwa wakati uliikuta imeandikwa tu na wazazi wako. Kila kitu ni Historia

    Amini tu. Kama unavyokubali tarehe yako ya kuzaliwa bila kuhoji. Uliikuta tu imeandikwa kwenye cheti, ikisimuliwa na wazazi au walezi wako, na ukaikubali kuwa ndiyo siku uliyotangulia kuja duniani. Hujawahi kuikumbuka wewe mwenyewe, lakini unaishi kuiamini kwa moyo wako wote. Hujawahi kuhoji...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni 80s na 90s kid na haukuangalia hizi movies utotoni wakati unakuwa basi labda ulikulia msituni

    1: Rambo (1, 2, 3) 2: Predator 3: Commando 4: Sarafina 5: Neria 6: Blood sport 7: Enter the dragon 8: Drunken master 9: Rocky 10: Tai chi master 11: Lion king 12: Titanic 13: Anaconda 14: Coming to america 15: Blade 16: Friday 17: Scarface 18: Terminator (1, 2) 19: Deadly prey...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Waafrika tusimamie ukweli kati ya Waafrika wanaofuata uislam/ukristo na wasiofuata ni wapi walio sahihi na wakweli?

    Habarini, Tusimamie ukweli kutoka moyoni katika hili. Asanteni!!
  8. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baba Levo akinukisha, ataka kura zihesabiwe upya

    Baba Levo agoma, anataka kura zihesabiwe upya Soma pia: Baba Levo achukua fomu jimbo la Kigoma mjini kupitia CCM Chanzo: Kitenge updates
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mnamtumia Mungu kuhalalisha msemacho wakati nyie ndo wadhambi wakubwa

    Bahati mbaya Mungu haonekani face to face mana angemtandika mtu kibao. Hivi mnakumbuka kipindi cha jpm ndo kiliongoza kwa mauaji na kuteka watu na kuwafurusha wapinzani exile kama akina lisu na lema. Msesahau hilo. Mnakumbuka kuwa ndo kipindi wafanyabiashara walifunga maduka kariakoo na...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wagombea kugawa hela mbona inachukuliwa kawaida wakati NI rushwa ile

    Chama kisikae kimya kukemeea hii michezo wagombea unaambiwa usiku wanapita na kugawa 10000 kwa watu
  11. LiwaloNaliwe2025

    JamiiForums Tanzania Kama kijana unaejitafuta na unahisi umefikia wakati wa kuoa, hizi hapa ni aina za wanawake wetu Tanzania

    WANAOPENDA SANA MAHABA Kuna jamiii ziliwafundisha/zinafundisha wanawake au watoto wa kike kumlea mme, hapa wapo kutoka mikoa ya Tanga, Tabora, Pwani na baadhi ya maeneo mwambao wote wa pwani ya bahari ya hindi Jamii ya watu hawa wamefundwa haswa kulea mme ukioa huko kwenye hiyo mikoa utapewa...
  12. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Wananchi wa Butiama wamzomea Jumanne Sagini wakati anaomba kura za maoni. Hawataki hata kumsikia

    Wakuu, Yaani wananchi hawana mchezo sasa hivi wanaruka na kila mtu. Leo wameruka na Sagini Haijalishi wewe ni Waziri au Mbunge lakini wanaruka na wewe na hapa ni kwenye kura za maoni tu tunasubiri kuona kwenye kampeni itakuwaje.
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Myahudi au mwanamke au mbwa akipita karibu na muislamu wakati wa maombi, hayo maombi yatakatizwa

    Hapa naona imekatazwa mbwa au mwanamke au Myahudi asipitie karibu na muislamu wakati wa maombi, kwa hivyo wanawake au jamii ya Wayahudi wanachukuliwa kama nini kwenye uislamu, kuna sehemu nimesoma Mohamad aliagiza mbwa weusi wauawe. Book 2, Number 0704: Narrated Abdullah ibn Abbas: Ikrimah...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane

    Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane
  15. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Fanya zoezi hili kama unajihisi una tatizo la kumwaga haraka wakati wa tendo

    Hili ni moja ya zoezi dogo sana lakini ukilifanya mara kwa mara na ikawa mazoea huleta matokeo chanya, zoezi lenyewe:- Ukitaka kwenda haja ndogo yaani kukojoa kwanza usikojoe kwa kusimama fanya kuchuchumaa kisha wakati wa kumwaga mkojo usiutoe moja kwa moja hata kama umekubana kiasi gani fanya...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yawezekana kuna mstaafu anajilaumu kwanini alitoka kwa mujibu wa katiba wakati kumbe angeweza kubakia kinyume na katiba na kukawa shwari

    Nimewaza tu, huenda anajilaumu kwa kuwa alihofia kisicho hofiwa.
  17. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msemaji wa Polisi David Misime: Hatutawavumilia waliojipanga kuvuruga amani wakati wa uchaguzi mkuu 2025

    Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime, amesema jeshi hilo limekuwa na utaratibu wa kujiweka tayari kila Uchaguzi Mkuu unapokaribia, huku likiwajengea uwezo askari wake kuhakikisha nchi inabaki salama. DCP Misime ameyasema hayo leo Julai 30, 2025, jijini Dodoma, wakati wa...
  18. haszu

    JamiiForums Tanzania Kukumbatiwa wakati wa kulala ni miongoni mwa raha wanazokosa wanaume

    Wengi hudhan anaekumbatiwa ni mwanamke tu wakati wa kulala ila ukweli ni kua hakuna shida mwanaume kukumbatiwa wakati wa kulala. Unafeel confort and warm na pia inaongeza upendo na uaminifu, so msiogope kukumbatiwa wakati wa kulala na haiondoi uwanaume.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Video: Madaktari Wakiendelea na Upasuaji wakati wa Tetemeko Kubwa la ardhi Urusi

    Video ya kushangaza kutoka Petropavlovsk-Kamchatsky, Urusi, imeonyesha madaktari wakiendelea na upasuaji wa mgonjwa wakati tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 likitokea leo Julai 30, 2025 katika pwani ya mashariki mwa nchi hiyo Licha ya mtikisiko mkubwa uliosababisha tahadhari ya...
  20. Troublemaker

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Bata huendelea kuota manyoya mengine wakati akinyonyolewa

    Wakuu naomba kufahamu ukweli kuhusu ili. Ama ni imani tu tulionayo kutokana na kwamba bata huwa na manyoya mengi sana.
Back
Top Bottom