wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia wakati wa Kula chakula mkiwa jumuiya!

    MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI WA KULA CHAKULA MKIWA KWENYE JUMUIYA! Anaandika Robert Heriel. Kula chakula napo kunauungwana wake, ambao hauna budi kufuatwa, hasa ukiwa unakula watu zaidi ya mmoja, iwe ni kwenye familia, Ugenini,kwenye matukio Kama HARUSINI, misibani n.k. Kula kitasha inaweza...
  2. JamiiForums Tanzania Wazazi wapendeni na kuwajali watoto wenu ni ndugu zenu, marafiki na jamaa zenu wakati ambao wote uliokuwa nao watakuwa na wanao

    Natumai kazi zinaendelea! Niende kwenye mada moja kwa moja. Asilimia kubwa wakipata pesa uwekeza kwenye mapenzi na ndugu na marafiki Visa ni vingi tunaishi navyo watoto watavipata kupitia kwa ndugu, jamaa, jirani, marafiki wa wazazi , wanaona,watalirelate lakini mwisho wa siku mzazi atamlaumu...
  3. JamiiForums Tanzania Suluhisho la kupikiwa(kupata) chakula safi, kitamu na kwa wakati kwenye shuhuri yako ni hili

    Kwa Shuhuri yoyote iwe Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation na Chochote kile kitakachoitaji uwepo wa chakula kupikwa na mpishi. Mpishi lazima azingatie Usafi, Ubora na Ladha Nzuri Ya Chakula kwa Mteja wake Na Kubwa Zaidi Kwenda Na muda kweny Kupika Chakula, Hivyo chakula inabidi...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wakati wa kuomba msamaha kwa Zitto ili awasaidie, amewazidi sana maono

    Pamoja na madhaifu yake lakini kiukweli Zito Kabwe amedhiilisha ni kiongozi mwenye maono kuliko viongozi wote waliopo Chadema. Kila kinachotokea sasa Zitto alikiona muda mrefu nyuma na akawa anawakumbusha kuweka akiba ya maneno sababu yeye anamjua Mbowe kuliko nyinyi mnaomsoma mitandaoni. Sasa...
  5. JamiiForums Tanzania Wakati wa Awamu ya Tano tuliona Marais wengi sana wa Afrika wakija, ilikuwa mwanzo wa uimara?

    Tuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini. Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika. Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena. Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?
  6. JamiiForums Tanzania Nitumie App gani wakati wa kupiga picha?

    Wakuu nitumie App gani inayoweza kutoa background ya picha wakati wa kupiga picha?
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Jaji Mkuu anatumia hii sehemu ambayo Rais ndo huwa anatumia wakati wa hotuba?

    Habari za leo ndugu, jamaa na marafiki. Leo nimewaza nimeona ni vema niwashirikishe na nyie.. hapo aliposimama Jaji Mkuu binafsi huwa namuonaga Rais wa nchi peke yake, hata Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika wa Bunge na Katibu Mkuu kiongozi kwa upande wangu sijawahi kuwaona hapo (sijui...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka sasa Mbowe kuachana na mikutano ya Rais Samia

    Kwa uamuzi huu wa Spika kuhusu kuendelea kwa Halima na wenzake 18 kuwa wabunge ni dhahiri dhahiri Samia na serikali yake hawaheshimu kabisa katiba iliyopo. Tumeshudia na kusikia Jaji Mkuu Prof. Juma akiamuru mahakama kutopingana na serikali vilevile tumemsikia Spika wa Bunge akisisitiza utiifu...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Nilipokuwa mdogo niliona viongozi wakifurahi katika shughuli za kitaifa, kumbe wanafurahia posho sio uzalendo

    Aisee nilikuwa sipo sahihi, nilidhani viongozi wanapenda nchi yao Hadi nikawa inspired, toka nipo msingi shule tunaitwa na walimu tushiriki shughuli za viongozi, mama anawaandalia mihogo asubuhi nyumbani muende uwanjani kushiriki. Nilichogundua kumbe wakubwa wanalipwa posho kubwa sana kushiriki...
  10. JamiiForums Tanzania Vijana mnaishije huko mtaani wakati hamna ajira wala hamjajiajiri?

    Jamani hali ya ajira si shwari, kuna watu wamesugua benchi miaka zaidi ya mitatu achilia mbali wale junior jobless, huku hawana ajira wala hawajajiajiri😓😓😓 Inasikitisha sana hii hali ndani ya nchi yetu. Hebu tujuzane, ni mbinu gani mnaitumia kuendelea ku-survive?
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali inahangaika juu ya Panya Road wakati dawa yake ni Makonda

    Serikali inahangaika juu ya Panya road wakati dawa yake ipo. Kwanini msimchukue huyu jamaa awasaidie hiyo kazi ya kutimua hao panya road. Nmemaliza.
  12. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwandishi wa Habari afariki baada ya kujifungua

    Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mbeya (MBPC) kimepata pigo baada ya kuondokewa na mwanachama wake wa muda mrefu, Hannerole Mrosso aliyefariki baada ya kujifungua katika Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya kitengo cha Wazazi Meta Jijini Mbeya tarehe Mei 13, 2022. Akitoa taarifa mume wa...
  13. JamiiForums Tanzania Hiki ni kiti cha dhahabu alichokalia Malkia Victoria wakati anaapishwa

    Ilibidi miguu ya kiti itengenezwe mifupi kwasababu Malkia Victoria alikua mwanamke mfupi kwa umbo, wasingeweza kuweka miguu ya kiti mirefu na kumuacha Malkia akining’inia. Baada ya Victoria alitawala mtoto wake Edward, nae alipokewa na mtoto wake George V aliyerithiwa na mtoto wake Edward ambae...
  14. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kwa Chama Cha walimu Tanzania (CWT) kupunguza Makato kutoka 2% Hadi 0.5% ili kumuunga mkono mama

    Tayari lile jambo letu limekuwa 23.3% Kama tujuavyo mshahara unavyopanda na Makato, Kodi, bima, n.k nayo yanapanda. Kwakuwa CWT inajiweza na Ina wanachama wengi (pengine kuliko Chama chochote Cha wafanyakazi) hapa nchini, Basi nao wapunguze asilimia 1.5 Ibaki 0.5% Ili kusudi nyongeza hii...
  15. JamiiForums Tanzania NI wakati Sasa wa CHADEMA kuwaomba Fatuma Karume au Maria Sarungi kuongoza BAWACHA

    Nachojua siasa za upinzani zinahitaji mtu asiyeyumba, Asiye na Tamaa na anayejitoa. Kwa harakati wanazofanya hasa kwa kujitoa kwao, Zilivyo logical naamini Kuna sehemu watakipeleka chama mbali. Pia Maria anaweza pia kuanzisha vipindi maalumu kwenye tv vya kuelezea Sera na malengo ya chademà...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Wakati huu ambapo Rais Samia anayasaka maridhiano na CHADEMA, Mdee na wenzake imekula kwao

    Samia hataki uhuni kwenye serikali yake. Anataka haki bin haki itendeke kwa watu, taasisi na vyama vya siasa. Sitegemei kuona sarakasi za kihuni za akina Mdee zikilelewa na kukumbatiwa na mahakama iliyojibebea umaarufu kwa kutenda haki ktk kesi ya aliyekuwa DC wa Hai Sabaya. Kwahiyo wale...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini kwenye mbegu wakati wa uwekezaji wa Kilimo

    Kwa nchi ya USA mbegu zina hati miliki na kilimo cha hapa ni lazima ununue mbegu kila msimu. Mbegu hizi ambazo wamezitengeneza na kuhakikisha mazao hayawi na mbegu ili waweze kuuza mbegu. Nimesikia kuna uwekezaji mkubwa wa kilimo unakuja kutoka USA. Nashauri sana kwenye mikataba hii msikubali...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nadhani ni wakati muafaka kwa Vijana kama Makonda na Sabaya kurudishwa kwenye System

    Hawa vijana walifanya kazi nzuri katika Awamu ya Tano, kwa hali ilivyo bado wanahitajika kuweza kumsaidia Rais Mama Samia pia. Maana atakavyo endelea kucheka na watu ndio watakavyozidi kumuharibia na kuja kuonekana si kitu 2025. Hivyo ni bora hii miamba irudi kazini kurudisha heshima na...
  19. JamiiForums Tanzania Msigwa karibu sana CCM wakati umewadia sasa. Zitto hamtawezana naye huko ACT Wazalendo

    Ni muda sasa chama chako hakina imani nawe. Naona hata Iringa tu hawawakukubali. Sababu hazinihusu. Ila karibu sana CCM huku nadhani utapata nafasi ya kuweza kufanya mambo yako vizuri.kwa uhuru. Chadema nadhani ni kama wamekuchoka pia kutokana na matamko yako. Umekuwa one man arm...
  20. JamiiForums Tanzania Anachotakiwa kufanya kiongozi wakati wa Crisis

    Wakati wa “Crisis” watu husubiria kusikia kiongozi anasema nini Tarehe 4 mwezi wa tatu mwaka 1933, aliapishwa Rais wa 32 wa Marekani... ...Franklin D. Roosevelt baada ya kumshinda mpinzani wake wa karibu Herbert Hoover. Roosevelt alichukua hatamu katikati ya kipindi kigumu sana cha uchumi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…