wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hance Mtanashati

    Wazazi tubadilike, tuache kuwapa watoto majina ya kizamani. Kuna majina yamepitwa na wakati

    Kuna majina kwa sasa hayafai kuwapa watoto maana yameshapitwa na wakati. Embu jaribu kufikiria unakutana na mtoto wa mwaka mmoja anaitwa Mwanne, Tatu, Yona, Bartholomew, Juma,Shabani ,Hamisi,Isaya ,Jumanne, Wengine ndio hao akina Selemani ,Sikudhani, Rajabu, Paulo, Fatuma ,Ashura,Rehema, Pius...
  2. msuyaeric

    Wakati siku za kutoa ripoti zinakaribia

    Jaji Chande na tume yako tunataka kusikia haya kwa ufasaha kabisa!.. 1. Nani alifadhili machafuko yale? Nani alipokea hela za Open Society kufanya vurugu zile? 2. Nani ndani ya CHADEMA alipanga vurugu zile na mapinduzi ya serikali? 3. Nani aliruhusu JWTZ watoke kambibi Lugalo na kuungana na...
  3. M

    Ni kwanini wakati huu serikali ya Iran imelazimika kupandisha mishahara ghafla kwa asilimia 60% ?

    Nini kio nyuma ya pazia ? Serikali ya Iran imetangaza hatua kubwa ya kuongeza mishahara. Waziri wa Kazi, Ahmad Midari, amethibitisha kuidhinishwa kwa ongezeko la asilimia 60 ya mshahara wa chini wa kitaifa. Kuanzia sasa, malipo ya mwezi yanapanda kutoka dola 75 (shilingi 190,000) hadi...
  4. a sinner saved by Christ

    Wakati mwingine sio wenye mbio ndio washindao katika michezo ya mashindano

    Mhu 9:11 Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo"", wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote...
  5. Yoda

    Mgambo wa maadili wa Sharia wavamia lodge kutandika watu wakati wa Eid nchini Nigeria

    Mgambo wa maadili wa Sharia katika Jimbo la Katsina, Nigeria wakiwa na viboko na marungu wamevamia lodge mojawapo jimboni humo na kuanza kutandika wateja. Majimbo 12 kati ya 36 ya Nigeria yana utawala wa Sharia wa Kiislamu ambapo huwa na mgambo waitwao Hisba kuhakisha Sheria ya Kiislamu...
  6. A

    KERO Nakerwa na Kampuni hii kuni-SMS kila wiki kutaka kununua mkopo wangu wa HESLB wakati mimi siwajui

    Juzi kati niliona kuna Mdau amelalamika kuwa kuna kampuni imekuwa ikimtumia ujumbe na wakati mwingine kumpigia kwamba wanataka kununua mkopo wake uliosalia kutoka Bosi ya Mikopoy a Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), sasa nami nimeona niweke hapa kero yangu inayoendana na hiyo. Kuna hii kampuni...
  7. Wakili wa shetani

    Wakati wa Ramadhan na Kwaresma watu wanaongezeka au wanapungua uzito?

    Nimekua najiuliza sana. Watakaobainika wameongezeka uzito warudie funga.
  8. E

    Wakati Dunia ikipambana na soko la mafuta, huu ulikuwa ni wakati wa Tanzania kunufaika na utajiri wa gesi asilia

    Wakati huu ambao vita vinaendelea nchini Iran inayoshambuliwa na Marekani na Israel, kumekuwa na ongezeko la bei za mafuta na huenda ongezeko hilo likaendelea maadam vita bado vinaendelea. Mara tu mashambulizi yalipoanza mwishoni Februari hadi mapema Machi 2026 bei ya mafuta ilipanda kwa...
  9. Stunnaman008

    Msemaji wa IRGC: Uzalishaji wa makombora unaendelea hata wakati wa vita

    Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran amesema: "Hakuna wasiwasi katika uwanja wa makombora kwa sababu tunazalisha makombora hata wakati wa vita, jambo ambalo linashangaza, na hakuna tatizo maalumu katika suala la hifadhi ya makombora yetu." Brigedia Jenerali Ali...
  10. J

    Je wakati Yesu anazaliwa shetani alikuwa amefungwa?

    Je wakati Yesu anazaliwa shetani alikuwa amefungwa? Kulingana na Mathayo 12:29, je, Yesu alikuwa amemfunga shetani wakati wa kuzaliwa kwake? Ili kupata jibu, ni vizuri turejee Mathayo 12:29: “Ama awezaje mtu kuingia ndani ya nyumba ya mtu mwenye nguvu na kuviteka vyombo vyake, asipomfunga...
  11. A

    KERO Wanafunzi wa UDOM tukibaki hosteli wakati wa likizo tunalipishwa japo tumeshalipa hela ya makazi

    Wanafunzi wa UDOM tunalipishwa hela ya Makazi tunapobaki wakati wa likizo ingawa tunakuwa tushalipa hela ya makazi (accommodation fees) ya mwaka mzima kwenye direct cost. Sasa swali ni je kama tunalipa hela ya makazi ya Mwaka mzima kwanini tulipishwe wakati walikizo? Au hii likizo haupo kwenye...
  12. KakaKiiza

    Kwanini Israel haiwapendi wakristo wakati wenyewe wanaipenda Israel?

    Nimeshindwa kuelewa Wakristu wengi hata baadhi ya madhehebu wamekuwa wakinasibisha Israel kama njia yakwenda kwa Mungu hadi wengine Wameweka Bendera za Israel katika makanisa yao wengine wanatembe na bendera katika magari yao! Swali nini kinawafanya waipende Israel wakati wayahudi walimtesa...
  13. The Dictator

    Waislamu duniani wawacharukia viongozi wa falme za kiarabu baada ya kuonekana kutokuzingatia mfungo wa Ramadhan

    Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) amempokea Mfalme wa Jordan jijini Dubai, katika mkutano uliowahusisha pia viongozi waandamizi Mohammed bin Rashid na Mansour bin Zayed. Mazungumzo yao yalijikita zaidi katika hali tete ya kiusalama inayozidi kuzorota katika ukanda wa Mashariki ya Kati...
  14. Sifi Leo

    BODIgad wa Magufuli uliyetamka no comment USIDHANIe hakuna lijalo jipange wakati WA bwana ni sahihi

    Tumekuona baada ya miaka 5, tumekusikia nadhani UNADHANIA aliyekuhoji no dampa, Tafakari chukua hatua NAKUHAKIKISHIA Iko siku utajibu ilo kwa kiufasaha
  15. M

    Michezo ya akili: Wakati uvumi wa kifo cha Netanyahu ukienea, Israel imefanikiwa kuwaua Katibu wa Baraza la Usalama la Taifa la Iran na mkuu wa Basij

    Uvumi wa kifo cha Netanyahu ulipoanza, Israel waliona taarifa hizo zinaweza kutumika kwenye vita. hawakupoteza muda, waligeuza uvumi huo kuwa silaha, kama msemo wa Wazungu unavyosema “ukipewa malimao, tengeneza juice ya lemonade.” Kwa ustadi wa hali ya juu, walitumia taarifa hizo kama chambo na...
  16. Richard

    Korea Kaskazini yatupa makombora 10 ya "Ballistic" kujipima uwezo wakati huu wa vita ya Mashariki ya Kati

    Vikosi vya Marekani na Korea Kusini vikiwa katika matayarisho ya mazoezi ya pamoja ya kuvuka mto katika wilaya ya YeonCheon. Picha na Reuters. Siku ya Jumamosi ilopita Korea Kaskazini ilitupa makombora yapatayo 10 ya Ballistic katika kutunisha musuli khasa katika kipndi hichi cha mgogoro...
  17. A

    KERO Uhamiaji wameondoa uwezekano wa kuangalia ombi la passport kwenye website yao?

    Kuna option ilikuwepo kwenye website ya uhamiaji wakati mtu akiwa ameomba passport anaweza fatilia kuona ombi lake limefikia wapi, lakini kwa sasa kwenye website hiyo ya uhamiaji wameitoa hiyo option, so imekua vigumu mtu kujua ombi la passport limefikia wapi.
  18. N

    Serikali, alikeni Emirates, Qatar Airways waweke temporary Hub JNIA wakati huu wa machafuko

    Ushauri wa bure kwa serikali, Ndege nyingi za mashirika ya Uarabuni zimepaki na zinakula hasara kutokana na vita vinavyoendelea, kwa nini msiondoe kodi zenu zenye utitiri mwingi na transit visa fees kisha kualika makampuni haya yaweke hub ya muda hapa Julius Nyerere International Airport? Tuna...
  19. Pascal Mayalla

    Mwaka Mmoja wa Bodi ya Ithbati Waandishi wa Habari: JAB Yafanya Makubwa, Yasajili Waandishi Zaidi ya 3,000 Wakati Enzi za Maelezo, Hawakufika 1,000!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo. Mwezi huu wa March, mwaka 2026, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari nchini Tanzania, JAB, imetimiza mwaka mmoja tangu kuzinduliwa kwake, ambapo Bodi ilizinduliwa rasmi tarehe 3 March, mwaka 2025, hivyo kufikia tarehe...
  20. M

    Mechi kati ya TRA United na Simba SC yaahirishwa hadi wakati mwingine kutokana na mvua

    Kutokana na Mvua kubwa kunyesha, Mechi ya Simba na Tabora iliyokuwa ichezwe leo, 14 Machi 2026 imeahirishwa hadi itakapopangiwa ratiba na bodi ya ligi Hayo yamesababishwa na uwanja kujaa maji na mpira kushindwa kudunda Uamuzi huo umetolewa na Mechi Kamishna baada ya vikao vya pande zote 2
Back
Top Bottom