wakali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wazungu wengi wenye gundu la mahusiano nchi zao wakija bongo huokota kirahisi watoto wakali

    Niliwahi kuingia kwenye mtandao wa reddit, kuna hawa wazungu ambao wana magundu, madomo zenge, n.k yani huko kwao wanapata wakati mgumu sana kupata wapenzi. Hii si kwa wanaume tu hata wanawake hata wanaokaribia kuwa mabibi wakija huku ni kuokota tu. Hawa jamaa huwa wanaenda nchi za asia na...
  2. K

    Wakali wa uchambuzi wa siasa za kimataifa! IBRAHIM RAHABI vs JOSEPH KENEDY

    Namkubali sana Ibrahim Rahabi akianza kuchambua sibanduki kwenye tv mpaka nachelewa kazini,,,Dogo Joseph Kenedy nae anatisha yuko full magazine,,Je,Wewe unaonaje!?
  3. Huyu msanii Appy ni moja ya vocalist wakali sana wa kike, ni vile tu hana platform ya kumtrendisha

    Nimegundua miaka hii tunasikiliza mziki mbovu kuliko wazee wetu. Tunasikiliza mziki kutokana na umaarufu wa mwanamuziki na si talent yake. Na kama tujuavyo, umaarufu ni kujitangaza tu. Huyu msanii ni mkali sana. Vocals zake ni za kipekee sana.
  4. M

    Kwanini 99% ya wanaofuga nyoka na wanyama wengine wakali huishia kuuliwa nao?

    Miaka mitatu nyuma nilishuhudia Mfuga Wanyama Mmoja maeneo ya Pwani akiuwawa (akipoteza) Maisha kwa Kuuliwa na Simba aliyekuwa akimfuga na waliyezoeana na Kushibana kabisa. Hivyo hivyo zaidi ya mara Nne nimewahi Kusikia Watu Wanne tena Wataalam kabisa wa Kufuga Nyoka (Mijoka) na ambao...
  5. Tujikumbushe Walimu wa sekondari waliokuwa wakali sana kiasi cha kuwa maarufu hadi shule nyingine

    Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini; 1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari...
  6. USHAURI: Jiajiri kutokana na taaluma yako badala ya kulalamika ajira hamna

    Tutafute pesa Kwa maarifa yetu. 👇👇👇 Badala ya kujificha na kulalamika kuhusu ajira fungueni centers/madarasa/ ofisi Mikoani, Wilayani na hasa mikoa yenye taasisi za elimu ya juu ama vyuo vikuu, kuna fursa kubwa sana sana. Tuokoe taifa. Ni hayo tu.
  7. Mika Mwamba ndiye Producer mwenye uwezo mkubwa wa kutengeneza beats kali kuwahi kutokea kwenye historia ya Bongofleva

    Jina lake ni Miikka Kari, Hapo kwenye Kari alibadili iwe kwa kiswahili na tafsiri yake ni Mwamba, hivyo aliamua kujiita Miikka Mwamba ila wengi tukaizoea Mika Mwamba Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu: Tamara + ni wewe - Hard Mad Eno maiki - Ziggy Dee...
  8. Taja wimbo mmoja wa hawa wasanii wakali wa R&B

    Nimejikuta nawakumbuka tu. Hao ni wakali wa R&B US, dada anajua kuchana akishika Mic. Tupia nyimbo yao moja twende sawa.
  9. J

    Komredi Kinana: Wabunge wa CCM kuweni Wakali kwa Serikali ili iweze kuwatumikia Wananchi kikamilifu

    Komredi Kinana amewataka Wabunge wa CCM kuwa Wakali kwa Serikali I'll matarajio ya Wananchi yafikiwe Kinana amesema yeye ni muumini wa siasa za kukosoa na kukemea lakini ni lazima Wabunge hao wawe Wakali Kwenye mambo ya msingi na siyo kufanya mbwembwe tu Kinana amesema Wabunge wasimwachie...
  10. Ile Ivory Coast ya kina Drogba, Kolo Toure, Didier Zokora na wakali wengine ilituhujumu waafrika.

    Wakuu nimetafakari kwa makini na kujiuliza maswali mengi sana ila binafsi nimeona ni hujuma tu hakuna sababu nyingine. Haiwezekani timu iliyokuwa na wakali wote waliokuwa wanavuma kwenye timu zao za Ulaya ishindwe kufanya la maana kwenye world cup au mashindano mengine makubwa. Hii Ivory Coast...
  11. Tafuta bar nzuri yenye watoto wakali ule Raha

    Kuna baadhi ya bar mameneja wanajua kuchagua bana. Na hapa nshakula wawili. Hawajijui. Nimekula watoto wa jikoni Hadi cashier. Kondomu ndio silaha namba Moja. Acheni bana Kuna Watoto wazuri hapa Duniani. Bia Tamu bila mtoto mkali anakuletea bia na unajua mbususu yake. Hapo Raha inazidi...
  12. N

    La Wydad Simba day halitawezekana, leteni wengine wakali ndani ya top 20 za CAF

    Yes mmetuma barua ya maombi tarehe 8 /08 waje simba day lakini haihitaji kuwa rocket scientist with PhD kujua kwamba hilo haliwezekani kwani majamaa wana super cup vs Berkane kama sikosei ni tarehe 11/08 Ligi ya Misri ndiyo inaelekea kuisha sidhani kama kuna team itapatikana huko maana lazima...
  13. Sababu za kisayansi kwanini Mwanaume anayevaa vizuri hung'oa wanawake wengi wakali kuliko mwenye gari

    When I was a lil bow wow (a very young boy) I was thinking just like you. Nilikuwa nafikiri kwamba ukitaka kung'oa mademu wakali lazima umiliki gari. So tangu enzi hizo dream yangu kuu ilikuwaga nikija kupata mkwanja basi kitu cha KWANZA kununua nitanunua gari ili niwa vutie mademu. But...
  14. Simba Sports Club Kuweni na mkakati wakuakikisha mnasajili wachezaji wakali!

    Simba Sports Club tumepigwa mweleka mkubwa kuanzia Ngao hadi FA sasa siwakati wakucheza na Yanga pigeni vichwa kwakutafuta wachezaji wazuri na vijana ili Msimu ujao muwe na nafasi nzuri ya kuchukua ubingwa vinginevyo mtakuwa mnawachosha funs wenu kwani wao wanategemea matokeo mazuri na sivinginevyo.
  15. Sijui kwanini sipendwi na mademu wakali

    Mi naona kama nina gundu. Sijui kwa nini, sipendwi na mademu wakali. Najaribu sana kutengeneza mazingira ya mimi pia kupendwa lakini wapiiiiiiiiiii nakutana na mademu tu wa kawaida kabisa. Kuna wenzangu unakuta wanapata sana zali la mentali, mimi najiuliza nakosea wapi? Shida nini? Naumia sana...
  16. Tuma picha wakali wa Location wakwambie Hapo ni wapi

    Naanza mimi. Niambieni hapa ni wapi😃😃
  17. M

    Malawi kuna watoto wakali sana.

  18. Mkija huku Mmelewa, Mnatongoza hovyo, mnatubambikia Bili za Maji na Kutuomba Rushwa mtang'atwa sana tu na Mbwa wetu Wakali

    Wasoma mita wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) wamelalamikia kitendo cha baadhi ya watu kuwanyanyasa kwa kuwafungulia mbwa na kuwafukuza wakati wakitekeleza majukumu yao ya kuandaa ankara za maji. Chanzo: ITV Tanzania Na nimeshanunua Mbwa wengine jana.
  19. Wakali wa Music Naomba Kujua Huu ni Wimbo Gani Wakuu...?

    Heshima kwenu wakuu...? Naomba msaada wa kujua huu Wimbo niliuskia kama miaka mitatu nyuma wakuu. Huu Wimbo ni Wimbo wa South Africa kama skosei, upo kimajonzi flani hivi, natumai kuna wadau ambao ni music addicted wanaweza kutupa jina la Wimbo au walioimba Wimbo huu. Natanguliza shukran...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…