Piga hiyo siku za KAZI 0657 250 080. Saa 2 Asubuhi Hadi 11 jioni. Leta mrejesho ukifanikiwaKwa wakazi wa Arusha napenda kufahamu wakala wa mabati ya ALAF anapatikana wapi Arusha mjini na je wanauza mabati kwa urefu ninaohitaji au zimeshakatwa katika urefu wa mita tatu?
Naomba kufahamishwa.