wajumbe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Nitatoa majina ya wajumbe wa Bodi Saa 2:30 Usiku

    Mo Dewji: Nitatoa taarifa kuhusu Wajumbe wa Bodi ya Simba Sports Club kutoka upande wa Mwekezaji, leo saa mbili na nusu usiku. Unahisi jina gani halitokosekana? ===== Kutoka kwa Ahmed Aliy Msemaji wa Simaba: Tajiri yupo kazini, Leo saa 2:30 Usiku anatoa taarifa kuhusu Uteuzi wa Wajumbe wa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo yangu wajumbe wanaofaa kumsaidia Mo Dewji kwenye Bodi ili kurejesha heshima yake iliyopotea

    Wa kwanza niteue mimi, nimeanza kushabikia, kushangilia na kuwa member wa Simba tangu mwaka 1989.Simba inamfunga Yanga bao 2 kwa 1 kwa bao la marehemu John Makelele zigzag huku beki Fred Felix Minziro Majeshi Baba Kataraia akimzaba makofi niko uwanjani, Simba anakosa ubingwa vs Stella niko...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Boom: Wajumbe wote wa Bodi ya Simba upande wa Mo Dewji wajiuzulu

    Shaffih anatupa za ndaaani kabisa, anasema Wajumbe wa Bodi ya Simba wamejiuzuru. Nini maoni yako kuhusu move hii kama itakuwa na ukweli PIA SOMA - Tetesi: - Simba inatarajia kumrejesha tena Barbara Gonzalez kwenye Bodi
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wazidi kuwakataa wabunge 19 waliopo Bungeni. Tundu Lissu akomaa na vita ya Rushwa, wajumbe wamuunga mkono kwa kishindo

    Baadhi ya mambo yaliyojitokeza kwenye majadiliano ya CHADEMA ni pamoja na kupenyezwa kwa hoja ya kuwasamehe wabunge 19 warejee kwenye chama. Wajumbe kwa kauli moja wamewakataa wabunge hao na kudai waliona wao ni muhimu kuliko chama waende kwa aliyewapeleka bungeni. Hoja ya rushwa pia ilitikisa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Lissu kwenda kwa Wajumbe kamati kuu huu hapa

    Kutoka Chadema Hq. Ameandika Tundu Lissu. Wajumbe wa Kamati Kuu salaam. Nimepokea barua hiyo kutoka viongozi wetu wa Njombe. Barua yenyewe inajieleza na mnaweza kuisoma na kuielewa wote. Pamoja na kwamba haijatumwa kwa wajumbe wote wa Kamati Kuu, sidhani kama ni sawa sawa kwangu kuikalia kimya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Njombe awashukuru Wajumbe kwa kumuamini miaka mitano tena

    Njombe, Tanzania CHADEMA MKOA WA NJOMBE WAMALIZA UCHAGUZI Mwenyekiti wa CHADEMA aliyechaguliwa tena kwa miaka mingine 5 kamanda Rose Mayemba awashukuru kwa kumuamini na kumchagua tena kuwa mwenyekiti wa mkoa. Miaka mitano iliyopita CHADEMA iliweza kusimama imara wakati mgumu wa mikutano na...
  7. F

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ole Ngurumwa: Wajumbe wa Tume ya Taifa ya uchaguzi wajiuzulu ili kupisha wajumbe wapya wa Tume Huru ya Taifa ya uchaguzi

    Source: Clouds FM Power Breakfast. Akihojiwa asubuhi hii ya leo kupitia Clouds Fm Power Breakfast Mwanasheria Onesmo Ole Ngurumwa amesema Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi sio huru iwapo wajumbe na makamishina ni walewale. Ameshauri wajumbe wa Tume wa zamani wajiuzulu ili kupisha wajumbe wapya...
  8. JamiiForums Tanzania Netanyahu aweweseka wakati akiwadanganya wajumbe wa Congress

    Ili kubadili mwelekeo wa Marekani dhidi ya Israel washawishi wa kiyahudi Marekani wamepeleka kikundi cha wajumbe wa Congress mjini Jerusalem kuzungumza na waziri mkuu wa nchi hiyo,Benjamin Netanyahu. Katika mazungumzo hayo Netanyahu amewambia wajumbe hao kuwa ushindi wa Israel huko Gaza umebaki...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye awateua Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Machi 21, 2024

    UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) Tarehe 21 Machi, 2024 Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Nape Moses Nnauye (Mb) kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 7 (3) cha Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ya mwaka 2003...
  10. JamiiForums Tanzania Wajumbe wa kamati ya LAAC wafika Chato kwenye kaburi la Hayati Magufuli

    Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC)wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Mheshimiwa Stanslaus Mabula wamefika Chato nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe na kufanya maombi mafupi katika kaburi lake.
  11. JamiiForums Tanzania Rais Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu za pole kutoka kwa viongozi na taasisi mbalimbali baada ya kufiwa na Baba yake Hayati Ali Hassan Mwinyi

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Migombani kutoka kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali John Jacob Mkunda kufuatia kifo cha Baba Mzazi, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Nape na Mwigulu waliwahi kumpongeza Nchimbi kwenye mitandao wakati ni wajumbe wa vikao vilivyompita Nchimbi?

    NIMEEJIULIZA swali Nape na Mwigulu ni Wajumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) kikao kilichompitisha Nchimbi kuwa Katibu Mkuu, Swali je kwanini Nape na Nchimbi walijitokeza tena kwenye mitandao kumpongeza hii ina maana gani?
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hofu: Mwenyekiti wa Kamati ya Katiba na Sheria aliwazuia Wajumbe kumpigia Makofi Mnyika

    Joseph Mhagama ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Katiba ya Bunge, akiongoza vikao vya kupokea maoni juu ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi , amewazuia wadau kumpigia makofi , Katibu Mkuu wa Chadema alipokuwa anawasiliaha Nondo kabambe mbele ya Kamati hiyo . Yaani Mhagama roho...
  14. JamiiForums Tanzania Askofu Ruwaichi: Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi kuteuliwa na Rais wanakosa Uhuru

    Akiwasilisha maoni mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu na Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa na Serikali Bungeni, Askofu Mkuu wa Jimbo la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Askofu Jude Thaddaeus Ruwai'chi amesema Uhuru wa Wajumbe hao unapaswa kutiliwa maanani kwasababu Uteuzi wao unatoka kwa...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bob Chacha Wangwe atangaza kugombea ubunge Tarime Mjini, asema 'ana soda' kwa ajili ya wajumbe!

    Rushwa imekita mizizi katika jamii. Bob Chacha Wangwe, baada ya kutangaza kwamba atagombea ubunge Tarime Mjini mwaka 2025. Amemueleza Mwenyekiti wa Chadema Wilaya kwamba "ana soda kidogo kwa ajili ya wajumbe" . Kwa maoni yangu, naona hiyo ni rushwa kwa kuwa hiyo soda inatolewa kwa wajumbe baada...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inadaiwa, Mbunge wa Busega Bwana Simoni Songe amewahonga wajumbe 800 kila mmoja elfu thelathini kama ushawishi wa kuja kuchaguliwa

    Kuna Madai ya Mbunge wa Jimbo la Busega bwana Simoni Songe hivi karibuni mwezi December mwaka 2023 aliwaita wajumbe wa CCM 800 na kuwahonga kila mmoja elfu thelathini alitumia kama million25 kwamba kiongozi anaenda Bungeni anapewa posho ya Kuja kuwahonga walipa kodi lakini vyombo vya dola...
  17. JamiiForums Tanzania Kuwa makini na maoni ya wajumbe JF, changanya na zako

    Kwa uchache sana nataka kutoa tahadhari kwenu kuhusu ushauri unaotolewa humu Jukwaa la Mapenzi. Wajumbe wanatoa ushauri mwingi sana, lakini uchukue kwa tahadhari huku ukichanganya na akili zako. Ukiuchukua kama ulivyo unaweza kuharibikiwa vibaya sana. Jitegemee zaidi kwenye maamuzi ya mwisho...
  18. JamiiForums Tanzania MWABUKUSI atoa neno juu ya Wajumbe Chipukizi CCM "Wametutawala wao wanataka na watoto wao watutawale"

    Afla za uchaguzi wa tisa wa Chipukizi Taifa zilizofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Jijini Dodoma, zimeibua maswali mengi baada ya watoto walioshinda vinyanganyiro hivyo kuwa watoto wa viongozi tu kwa asilimia kubwa, ikilinganishwa na idadi ya watoto walioko Tanzania. Katika vinyanganyiro...
  19. JamiiForums Tanzania Wajumbe wa kamati kuu hili lenu, kabla hamjatoka Dodoma

    1. Mpeni maua yake Dr Samia anajitahidi sana kuifanya CCM iendelee kuwa Chama cha kutumainiwa. 2. Tunaelekea uchaguzi mwakani, ile ya kufikilia (kujua kusoma na kuandika) ni sifa pekee ya kumpa mtu uongozi ikataeni Dunia imebadilika sana. viongozi waandaliwe kwa umakini, watayalishwe wenye...
  20. JamiiForums Tanzania Wajumbe wa 300 UN walazimika kutazama video za HAMAS, nafikiri sasa makelele yatapungua, kichapo kiendele

    Wajumbe 300 wa Umoja wa Mataifa wamelazimika kutazama unyama uliofanywa na HAMAS na kilichosababisha Gaza ichezee kichapo, ni video zilizokua zinachukuliwa na HAMAS wenyewe kwa walivyo wapumbavu, inapaswa zisambazwe kote kote duniani, ili makelele yapungue na kuipa Israel fursa ya kuendeleza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…