Netanyahu aweweseka wakati akiwadanganya wajumbe wa Congress

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,183
10,913
Ili kubadili mwelekeo wa Marekani dhidi ya Israel washawishi wa kiyahudi Marekani wamepeleka kikundi cha wajumbe wa Congress mjini Jerusalem kuzungumza na waziri mkuu wa nchi hiyo,Benjamin Netanyahu.

Katika mazungumzo hayo Netanyahu amewambia wajumbe hao kuwa ushindi wa Israel huko Gaza umebaki wiki kama tatu tu mbele na utapatikana kwa kuingiza vikosi vya IDF eneo la Rafah ili kuwapta viongozi wa Hamas.

Akawaambia wajumbe hao kwamba jeshi la Israel tayari limeshamuua Hamas namba 3 na namba 4 kati ya 10.Karibuni hivi itawaua namba 2 na moja.

Kwa kutamka hayo ni wazi kuwa Netanyahu anaweweseka kutokana na ugumu wa kupigana na Hamas na amesahau kuwa malengo ya uvamizi wake kwa Gaza ilikuwa ni kuwarudisha mateka nyumbani na kuwamaliza Hamas wote eneo hili.

Kuua namba moja mpaka kumi ya Hamas haikuwa miongoni mwa malengo makuu na kwamba kuua viongozi hao hakutamaliza Hamas na wala si mara ya mwanzo katika historia ya vita vyake na makundi kama hayo huko nyuma ambapo haikuwezekana kuwamaliza kabisa.

Wafuatiliaji wa mienendo ya kivita wanaamini kuwa viongozi hao wa Hamas hawapo wote Rafah na kwamba wameshatawanyikia maeneo mengine ya Gaza kama walivyopenya wapiganaji kadhaa kutoka kusini na kuingia maeneo tofauti ya jimbo hilo ambayo Israel ilikwishachoka kuyapiga na kuondoka.

Hali hiyo inafanya vita hivyo visiwe na ratiba ya kumalizika kwa wiki au miezi ya karibuni ijayo.

Silaha pekee ya matumaini anayotumia Israel kwa sasa ni kutumia chakula kama silaha ya kivita lakini kwa silaha haijawezekana kuwasambaratisha wapiganaji hao.

Israel has ‘no choice’ but Rafah offensive, Netanyahu tells US members of Congress

Ukiwa umeshashudia vita Kwa macho ama kushiriki moja kwa moja na sio videoni! Utaelewa ugumu na urahisi wa vita adui akiwa amejichanganya na watoto ama wanawake!!
Kama vita ni vigumu bora uache tu au uondoke kimya kimya.
Kule Niger Ufaransa aliona hawezi kuwashinda vijana waliochukua madaraka.Akaamua kuondoka kurudi nyumbani .
 
Katika usalama wa mtu mmoja mmoja kukimbia pambano ni moja ya njia sahihi! Ila ni ngumu kwa maslahi ya taifa haswa adui akiwa ana madhara yakujirudiarudia!
 
Israel hapo haamini UN ,ana wasiwasi nao, hata haamini USA, wanajifunza kutokana na makosa, 1973 kwenye Yom kepper war, Israel walipigwa vibaya sana na jeshi la Misri mpaka waka retreat kwa mara ya kwanza ili wajipange zaidi, kilichosababisha wapigwe ni waziri mkuu Golda Meir kusubiri kibari cha USA ili aingie vitani, Mossad walionya mapema na kumwambia Golda Meir jeshi lianze kazi ya kushambulia Misiri kabla wao hawajashambuliwa
 
M
Ili kubadili mwelekeo wa Marekani dhidi ya Israel washawishi wa kiyahudi Marekani wamepeleka kikundi cha wajumbe wa Congress mjini Jerusalem kuzungumza na waziri mkuu wa nchi hiyo,Benjamin Netanyahu.

Katika mazungumzo hayo Netanyahu amewambia wajumbe hao kuwa ushindi wa Israel huko Gaza umebaki wiki kama tatu tu mbele na utapatikana kwa kuingiza vikosi vya IDF eneo la Rafah ili kuwapta viongozi wa Hamas.

Akawaambia wajumbe hao kwamba jeshi la Israel tayari limeshamuua Hamas namba 3 na namba 4 kati ya 10.Karibuni hivi itawaua namba 2 na moja.

Kwa kutamka hayo ni wazi kuwa Netanyahu anaweweseka kutokana na ugumu wa kupigana na Hamas na amesahau kuwa malengo ya uvamizi wake kwa Gaza ilikuwa ni kuwarudisha mateka nyumbani na kuwamaliza Hamas wote eneo hili.

Kuua namba moja mpaka kumi ya Hamas haikuwa miongoni mwa malengo makuu na kwamba kuua viongozi hao hakutamaliza Hamas na wala si mara ya mwanzo katika historia ya vita vyake na makundi kama hayo huko nyuma ambapo haikuwezekana kuwamaliza kabisa.

Wafuatiliaji wa mienendo ya kivita wanaamini kuwa viongozi hao wa Hamas hawapo wote Rafah na kwamba wameshatawanyikia maeneo mengine ya Gaza kama walivyopenya wapiganaji kadhaa kutoka kusini na kuingia maeneo tofauti ya jimbo hilo ambayo Israel ilikwishachoka kuyapiga na kuondoka.

Hali hiyo inafanya vita hivyo visiwe na ratiba ya kumalizika kwa wiki au miezi ya karibuni ijayo.

Silaha pekee ya matumaini anayotumia Israel kwa sasa ni kutumia chakula kama silaha ya kivita lakini kwa silaha haijawezekana kuwasambaratisha wapiganaji hao.

Israel has ‘no choice’ but Rafah offensive, Netanyahu tells US members of Congress

Muislam ktk vita hashindwi wala hapotezi kitu. Akiua kwake faida au akiuliwa kheri kwake. Vikiwa vita vya kupigania haki kama vya sasa huko Gaza
 
Netanyahu hua ana anakifafa huyu anaweza kuanguka kutoa haja kubwa huku akitoa mapovu
 
Katika usalama wa mtu mmoja mmoja kukimbia pambano ni moja ya njia sahihi! Ila ni ngumu kwa maslahi ya taifa haswa adui akiwa ana madhara yakujirudiarudia!
Ndio maana Hamas hawawezi kukimbia wakaacha wanauliwa kama kuku na kuwekewa kuta baina ya nyumba za familia.
 
Kama vita ni vigumu bora uache tu au uondoke kimya kimya.
Kule Niger Ufaransa aliona hawezi kuwashinda vijana waliochukua madaraka.Akaamua kuondoka kurudi nyumbani .
Kule Africa magharibi anabadili style tu soon utasikia mapinduzi na vibaraka kuwekwa
 
Netanyahau ni kiongozi wa hovyo sana kuwahi kutokea tangu taifa la Israel lilipoundwa upya miaka 77 iliyopita. Ni mbaguzi na mwenye dharau za kijinga sana. Kiongozi mmoja mazuri ambaye Israkle iliwahi kuwa naye ni Yitzhak Rabin, lakini wafuasi wa Netanyahu wanaopendelea ubaguzi na utawala wa mabavu wakamwua
 
Back
Top Bottom