Takwimu zinaonyesha uzazi kupungua sana miongoni mwa wazungu walioko Ulaya, America, Canada na Australia. Wengi hawataki kuzaa au wakizaa ni katoto kamoja au viwili wengine hawataki sababu wamejitumbukiza ndoa za jinsia moja.
Ieleweke kuwa wazungu ndio wenye DNA yenye. watu wenye akili mno...
Habari!
Neno mjinga halina uhusiano na matusi. Ni mtu asiyejua kitu kuhusu jambo husika.
Kwahiyo kwakuwa Watanzania wengi hawajui yanayoendelea katika nchi yao kutokana na kukosekana kwa uwazi ndani ya shughuli za kiserikali basi ni vyema tutumie msamiati huu wa WAJINGA.
Walipopiga hesabu na...
Kwa Bahati Mbaya Sana watanzania hawana muda na Vitu Vya Msingi. Kwa sasa hivi wanawaza Kibeti kwenye match Za World Cup kuliko mambo ya msingi ya Taifa Lao. Leo ukienda vijiweni story kubwa Itakuwa jinsi Richarlison de Andrade alivyoipatia Brazili Magoli kwenye mtanange wake na Serbia jana...
Serikali hii iliingia kwa mbwembwe mara chanjo ikadunda! Mara kufungua nchi na safari kibao lakini hamna la maana linaloonekana kwenye maisha halisi!
Kurudisha wezi na wababaishaji kama akina Makamba! Mara Royal tour ujinga huu wa ajabu kabisa usio na tija kwa taifa letu!
Bila kujipanga...
Hii kitu nimeiona hasa kwa wanaume ambao ni wakimya/wapole, mara nyingi huwa hawana bahati ya kupata wanawake wazuri, huwa wanawapata wale machakaramu ambao huwafanya kama wajinga. Japo jamaa huwa wanawapenda sana wake zao.
Nishashuhudia kuna wengine wanavumilia na kuamua kuacha wake zao...
Hi!
Mwanamke hata kutumia fedha ambazo amezizalisha kwenye biashara yake anaona hasara
Mwanamke hata kutumia mshahara wake kununua mahitaji yake anaona hasara.
Cha ajabu ukimtoa out na kumwambia awe free kuagiza chochote unaweza kuona anaagiza kuku nusu wa sh. 10000, juice ya sh. 5000.
Hii...
Katika watu wajinga, nafikiri wanaoamini habari za kichawi wanaongoza. Nimekuja kugundua kuwa mambo mengi yanayoaminika kutokana na uchawi, yanaaminika hivyo sababu ya watu kuwa wajinga. Nitoe mifano.
1. Kuna mtu alikuwa anapata kinyesi cheusi. sasa sababu ya ujinga akawa anaamini amerogwa...
Anaandika, Robert Heriel, mwanasheria.
Wewe kama huna cha kurithi kwenu usidhani kila mtu kwao yupo kama wewe.
Vijana wa siku hizi sijui akili wamepeleka wapi. Sio ajabu Faizafoxy anasema; "huko shule mlienda kusomea ujinga",
Kwa kweli wanashangaza. Kama mnashindwa kuelewa mambo madogo kama...
Ndugu zangu mchana kutwa sikuingia humu jukwaani kwa kuwa nilikuwa katika mapambano ya maisha kama kijana, ndugu zangu nimeiona na kushtuka Sana video inayomuonesha mh Mbowe akitutukana watanzania kuwa sisi ni wajinga, nimesikitika sana ndugu zangu kwa dharau zake Mbowe kwetu watanzania.
Ndugu...
TANZANIA UKITAKA KUTAJIRIKA WEKEZA KWA WAJINGA NA MASIKINI.
Anaandika Robert Heriel,
Mtibeli.
Taikon Leo sina mengi maneno. Leo ni Kwa wale wanaopenda kuwa na pesa lakini hawaelewi wazipataje. Taikon sio mchoyo wa maarifa hilo hata ninyi ni mashahidi.
Haya nilisema sina maneno mengi, turudi...
Utafiti Marekani ya 73 kati ya 143 zenye uwezekano wa kuwa na Rais mwanamke.
Hii ilijidhihirisha pale tuliona Trump mwenye sera Tata akinyakua kiti dhidi ya Hilary Clinton (Mwanamke).
Ni vema tunapoamua kujifunza Kwa wakubwa Hawa basi tujifunze Kila kitu.
Vitabu vya torati navyo haviko kimya...
Kuondoa ujinga ni dhana Pana, haimaanishi kujua kusoma na kuandika tu ndio kuondoa ujinga. Moja kati ya fursa tuliyoipata katika awamu ya tano, ni kujua kwamba, kama taifa, tuna kundi kubwa sana la wajinga, ambalo, limekaa pale, linasubiri mtu alitumie tu, na litampa uhalali wa kutenda maovu...
Kuna msemo unasema kwamba usimuamushe aliyelala ukimuasha utalala wewe.
Na hawa watanzania waliolala leo hii hawajui haki zao ipo siku wataamka. Hawatataka upuuzi. Hawatataka ujinga unaoendele sasa hivi. Maana wanasisa wanaotafuna kodi zao wanaona wao ni wajinga.
Maisha yamekuwa magumu. Bidhaa...
FACT OF LIFE. Hawa Jamaa wamejizima data vichwani lakini ndio maisha yanaenda hivyo, watukane, wakejeli, wakashfu lakini mara leo wameingia mkataba huu mara kesho ule.
Ndivyo dunia ya kibepari ilivyo sio kwamba hawana akili timamu, wanazo. Wameamua tu kuzima data. Wakati mwingine ukijifanya una...
Nimewaza sana hivi sisi watanzania ni wajinga kiasi hiki ,Tunakatwa kodi na Tozo ,tunaishi maisha magumu ili kulisha Wanasiasa ?
Ni takribani miaka 2 sasa tangu wabunge wa CHADEMA wanao daiwa kuingia bungeni kinyume na utaaratibu kuwepo bungeni .
Pesa zetu zinapigwa CHADEMA wamechukua zaidi ya...
Sijui ni kitu gani kinawafanya muone Mbowe jinsi mnavyomuona kwamba ni Malaika, sasa mnaamini kabisa ule Mkutano Mlimani ulikuwa real ? Kwa nini hamuulizi maswali ?
Iweje waliofukuzwa Ubunge warudi Bungeni wakati Mbowe yuko karibu sana na Raisi Samia na hata anakwenda kumtembelea muda wowote...
Rais Samia ndio hana nafasi kabisa ya kushinda uchaguzi. Maana kwa muda mfupi tu amedhibitisha ni wa rangi gani. Na baada ya miaka miwili atawauza Watanzania kabiasa na rasilimali zao.
Wabunge wa CCM wenyewe ndio hawatarudi karibu 80% maana aliyewabeba kuwaweka mjengoni alishatangulia mbele za...
Mara nyingi mtu akipata Mafanikio kidogo tu anaanza dharau na kuwaona ambao hawajafanikiwa kuwa ni wajinga
Kwanza vijana wa Tz wanapambana sana sema sera Mbovu ndo zinawarudisha nyuma .
Mtu anaishi Maisha yake hajakuomba chakula wala unga then unamuita Mjinga huu Ni upuuzi .
Mtu unasikia...
Habari!
Mwishoni mwa mwezi April serikali na wadau wa Usafirishaji na Usafiri walifanya kikao kujadili gharama za Usafirishaji na kufikia makubaliano ya nauli mpya ambazo zingeanza kutumika katikati ya mwezi Mei.
Leo asubuhi nasikia mafuta yamepanda na kuuzwa elfu 3 na ushehe kwa petroli na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.