Kabla sijaandika lolote kuhusiana na hii mada, niseme tu tuvumiliane kwa matumizi ya neno "wapumbavu " kwani hilo si tusi na hata Baba wa Taifa alikuwa akilitumia inapobidi.
Tukirudi kwenye mada, kuna Taifa fulani huko kusini mwa bara la Afrika limedhihirisha pasipo shaka kuwa, watu wajinga...
Kwa kifupi tu, sie wanasimba kwa nini tunakuwa wajinga kiasi hiki? Huyu Mohamed Dewji alinunua hisa 49%kwa bilioni 20 shilingi za kitanzania. Hadi leo hakuzilipa.Kinachoendelea ni kuchagua wanachama 800 kuwaweka ukumbi wa kisasa wa mikutano wa Jakaya Kikwete,na vibaraka wake kuanza kutoa maneno...
Mara ooh Samia katoa bilioni kadhaa kwa ajili ya jambo fulani ama ooh Samia kakubali mkoa fulani upewe pesa zile-mimi Jitombashisho nasema tuondoleeni huo upuuzi wenu Samia hana hizo pesa.
Pesa ya Watanzania ya kodi ajabu mnammlikisha mtu kana kwamba zake huo ni uzwazwa na upunguani tena mkome...
Amesikika Samia Suluhu Hassan akisema hatuna rais mwanamke. Akiendelea kasema rais mwanamke tutamweka 2025.
Amesema huyu tunayemwona sasa kaingia kwa kudra za Mola tu.
Ni wazi kuwa mheshimiwa huyu kesha nogewa kama mwonja asali vile. Tamaa yake iko sasa kwenye kuendelea kuwa rais 2025. Hii...
Kumezuka kamjadala uchwala toka kwa waandishi uchwala kueneza habari za kipuuzi kuwa kocha nabi kapewa mechi 2, wapuuzi hawa wanajitahidi kupandikiza hiyo propaganda ili kumuondelea utulivu na kulivuruga benchi la ufundi, hakuna kikao chochote kilichojadili kitu Kama icho nikiwa mmoja wa wat u...
Idiots, dunderheads,imbeciles yaani tushatoka kwenye ujinga wa lopolopo lakini kuna majinga social media yanadai mwijaku na Nugaz wawekwe team ya usemaji kwenye chama letu pendwa la simba
sasa mimi nashauri kwamba ikiwezekana simba iende hata zimbabwe kuchukua msemaji asiyejua kiswahili kabisa...
Ktk kipidi cha ITV Dk 45, mambo yabwagwa hadharani.
Hivi punde akihojiwa ktk kipidi hicho, Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muunganao wa Tanzania Mheshimiwa Dr Tulia Ackson, amedai mshahara wa Mbunge ni milioni 4.6 tu. Anakatwa Kodi Tsh 1500,000 na kubakiwa na Tsh 3100,000.
Ameendelea kudai...
Video imebeba ujumbe wote.
Hapa chini akimjibu Spika na barua yake ya wito kumtaka atokee mbele ya kamati ya maadili, kinga na haki ya Bunge la JMT...
Amesema, atakwenda Dodoma kesho J'3 tarehe 23/8/2021 kama barua inavyosema.
Aidha kasema haogopi chochote, hayumbi ktk misimamo yake bila...
Kuna kitu kimoja ambacho nakichukia kupita kiasi katika maisha yangu ya U-Tanzania. Hiki ni kauli za Polisi au wanasiasa pale ambapo wanajaribu kuficha au kupotosha ukweli ambao ukiwekwa wazi wananchi wataona wanavyokiuka haki za msingi za Watanzania, wanavyokandamiza demokrasia au hata...
Katika hili lililo mezani ( nililolileta ) leo GENTAMYCINE nitakuwa Msomaji zaidi wa 'Comments' pamoja na 'Intellectual Arguments' zenu ili nami pia Kichwa changu na Ubongo wangu uimarike kwa uelewa wa Mambo makubwa, mazito na muhimu kama haya.
Nataka hasa 'Critical Anaysis' zenu hapa.
Hakika Mzee wetu Lowassa alikua sahihi sana kisema kipaumbele chake ni ELIMU, ELIMU, ELIMU
Rais Samia unakazi sana kuongoza vichwa vya namna hii.
Mtu unamuuliza nipe sababu za kukataa chanjo anakwambia mbona chanjo ya malaria na UKIMWI wazungu bado hawajaigundua, hivi hizi ni akili za...
Samahani kwa kichwa ambacho kina ukakasi kama utakua umeudhika naomba unywe maji ukae pembeni na glasi ya maji baridi upunguze hasira
Bara hili la watu weusi ni kama lina laana vile inshort watu weusi kama wana laana vile achilia mbali bara hili kuna watu wa carribean countries kama cuba,haiti...
Hii siyo hadithi ambayo nimejitungia, bali nimemnukuu Waziri Mwigulu Nchemba, wakati akizungumza kwenye uzinduzi wa benki mpya biashara Tanzania (TCB) siku 2 zilizopita, eti serikali yake ina mpango wa kutujaza wananchi shilingi trillion. 5 mifukoni mwetu, katika mzunguko wa pesa katika bajeti...
Tunategemea Wabunge wawe watetezi wa wananchi kwenye masuala mbalimbali kurahisisha maisha yetu badala yake wao ndio wamekuwa wawakilishi wa serikali kutugandamiza.
Wabunge wameridhia serikali kupunguza kodi kwenye bia na kuongeza kodi kwenye mafuta ya petrol, hawaoni kuwa ni mzigo kwa...
Nikikumbukaga kauli za Magufuli hasa ile ya kusema nchi hii imechezewa sana huwa napata hudhuni sana kwa nini watanzania wengi ni wajinga hawana upeo wa kuchanganua mambo.
Magufuli akatuonesha wazi wazi kuwa nchi hii inachezewa kwa yeye kwenda kujijengea uwanja wa ndege wa kimataifa kijijini...
Specifically naongea na wanaodai kwamba hakuna uhuru wa kufanya mikutano ya kisiasa. Rais kasema hajazuia mikutano yenu ya wanachama wenu ndani ya chama. Wabunge wafanye kwenye maeneo yao pia.
Marekani wametoka kwenye uchaguzi juzi kati, je? Bado wanaendelea na mikutano ya siasa?
Tunataka...
Tazama mwenyewe picha ..
Sehemu ya kuweka ukuta refa anakubalije mechi ianze wakati ukuta bado anaelekeza pa kukaa..
Tazama morrison alipo.. tazama refa alipo na anafanya nini huyo refa
Mwigulu Nchemba, ambaye siku zote ametueleza kwamba yeye ni mchumi mbobezi aliefaulu degree yake ya uchumi pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa daraja la kwanza, anakuja kutufafanulia Watanzania kwamba serikali imefanya ufikirio saa katika suala la kodi ya laini ya simu ili isiwaumize...
Hivi kwa mfano;
Ikabainika kwamba kula vyakula bila kumenya ndiyo chanzo cha umri mrefu duniani itakuwaje!
Ujue ukitafakari sayansi ya watu wa zamani kuishi miaka mia 600 au mia 400!
Unashindwa kabisa kuelewa siri imefichwa wapi hadi sahivi watu waitafte 100 kwa mbinde!
Mi nazani siri hii...
Inawezekana ni kweli kwamba Watanzania ni wajinga na hawatunzi kumbukumbu kutokana na ujinga wao , lakini siamini kama watu hawa ni mbumbumbu kiasi cha kudanganywa kibwege namna hii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.