wajinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Askofu Gwajima: Silaha kubwa ya Wajinga ni kujipendekeza, umenielewa?

    https://www.youtube.com/watch?v=ewCmyEF74AE
  2. Nimegundua Watanzania wengi ni wapole kwa Sababu ya umaskini, ujinga na maradhi

    Hamjambo Wote! Mimi Niko fresh Kabisa, nashukuru Mungu anasaidia. Kwenye Mada. Nilikuwa nafuatilia kwa ukaribu Kabisa Sababu ya upole au tuite Ulofa kama alivyosemaga Hayyati Benjamin Mkapa. Nikagundua kuwa Watanzania wengi upole wao( Ulofa) sio tabia wanaoipenda au kujivunia nayo na Wala sio...
  3. D

    Je, wajua kwanini mwaka mpya huwa ni tarehe 1 january na siku ya wajinga ni tarehe 1 Aprili?

    Kabla ya mwaka 1582, jamii nyingi zilikuwa zinaadhimisha mwaka mpya tarehee 1 Aprili. Kumbuka karne hiyo papa alikuwa na nguvu kubwa ya kuamua chochote. Mnamo mwaka 1582, papa Gregory XIII akaamua kubadilisha kwamba mwaka mpya utasheherekewa inapofika tarehe 1 Januari. Kuna watu hawakukubaliana...
  4. Leo ni siku ya wajinga duniani

    Leo ni siku ya wajinga duniani Aprili Mosi... Usiamini chochote na usimwamini mtu yeyote. Kama siku nyingine yoyote. 🤪
  5. Tarehe 1 Aprili ni siku ya wajinga au ya waongo?

    Nashangaa bado kuna watu wanaiita tarehe 1 Aprili, "Fools' day," au siku ya wajinga. Siku hii ingefaa zaidi kuitwa siku ya waongo kwa sababu watu wengi wanaongea uongo ifikapo Aprili Mosi. Kama umekuwa ukiitumia tarehe 1 Aprili kusema au kuandika habari za uongo basi ujue baba yako ni...
  6. R

    Mikusanyiko mikubwa ya WANANCHI katika ziara ya chedema ya NO REFORMS NO ELECTION inaashiria nini? Kuna kitu hawaridhiki na CCM, siyo wajinga

    Kuna kitu kinawasumbua, Kuna kitu hawaridhiki nacho watanzania ndiyo maana wanakusanyika wakiamini drive aliyo nayo Lisu and chadema as a whole can make a difference kwa hicho kinachowasumbua! Wanajua ubaya wa CCM , wanajua mapungufu ya CCM, lakini bado wana UOGA, wana uoga wa kusema wakiogopa...
  7. Mapatano ya kukaa mezani kila ukiharibu na kufanya maovu ni kama kuwachukulia wajinga

    Tokea kipindi cha mkapa mpaka leo tumekuwa kuwa ni watulivu na wastaimivu ambayo upande wapili ni kwamba hawa watu ni wajinga na waoga. Leo nimekumbuka kipindi cha uchaguzi visiwani znz Marehemu Seif Sharif aliposhinda ilawale ccm wakataaa kukubari wazi mpaka walipo kuja kubembeleza mzee...
  8. K

    Manunuzi ya umeme wa Ethiopia ni wizi tusiwe wajinga!

    Ni wizi na kutafuta njia za kuiba tu. Umeme wa kusini mwa Tanzania unakuaje mbali kuliko umeme wa Ethiopia? Lakini pili kuna bomba la gas toka mtwara kwanini wasipeleke bomba kaskazini la gas halafu Dar wakatumia umeme wa bwawa!? Ukweli ndugu zangu ni mazingira ya wizi kwa watoto na ndugu wa...
  9. Maamuzi ya wajinga yanapotia watu hasara

    Kila ulifanyalo Jaribu kuwaza ni athari gani utaleta,ikiwa ni negative basi fikiria mara mbili. 1.Watu wamesafiri kutoka mbali kwaajili ya hii kitu. 2.watu wamekodi usafiri na nyumba za kulala wageni Kwa starehe ya saa moja na nusu. 3.Mtu kakopa pesa anunue kifurushi ili aoneshe mpira kwenye...
  10. We shabiki wa Simba unaemtukana Chasambi unakumbuka issue ya Gerrad 2014?

    Wanajukwaa la Sport habar, Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika? Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious? Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
  11. We shabiki wa Simba unaemtukana Chasambi unakumbuka issue ya Gerrad 2014?

    Wanajukwaa la Sport habar, Nimewaza tu hivi Mashabiki wa Simba haya Matatizo ni Kwa sababu ya Umaskin au Ujinga tuliona nao wa kukosa Elimu na kukosa kustaarabika? Hivi Mchezaji anafanya kosa bado Match 10+ mnaenda kumshambulia Kiasi Kile serious? Nani analikumbuka Kosa la Gerrad 2014 Tena...
  12. Refa aliecheza mechi ya simba aondolewe achunguzwe...Tff msibebe wajinga kama hawa mtasababisha fujo

    Niliwahi sema aliesema mpira wa tanza kichwa cha mwendawazimu hakukosea kabisa. Yaan maamuzi ya kijinga ya kipuuzi kabisaa Goli la simba offside kabisa hakuna goli kama lille hata kama mhamala wa simu umesoma. Amejizalilisha sana refa na wenzie Kaongeza dk 10 Unachezesha dk 13 Kwenye nchi za...
  13. K

    Hivi viongozi wanaamua kutengeneza taifa la wajinga?

    kwa yanayoendelea Tanzania yanasikitisha sana,tena ukitegemea wanayoyapromote ni viongozi walioko selikarini pamoja na chama cha CCM Ukiangalia waasisi wa hiki chama walikuwa watu makini sana kuwatengeneza vijana ambao ndiyo viongozi wa sasa, lakini wenyewe wamegeuka kuwa waharibifu kwa vijana...
  14. Donald Trump ni Rafiki wa kweli wa Afrika, wajinga na wanufaika wa misaada pekee watalaumu maamuzi yake

    Je sisi ni raia wa Marekani ? Je tunalipa kodi au tozo Marekani? Je tunawafanyia nini cha Maana Marekani tustahili misaada ? Kwa Nchi za Afrika hasa Tanzania mna Madini ya aina mbali mbali ,Ardhi ,Bahari ,Maziwa na mito , vivutio vya kitalii ni ujinga kulilia misaada. Nadhani Africa tumepewa...
  15. Watanzania wengi ni wajinga, mtu anapokubali kuwa raia wa Tanzania halafu ana kipaji badala ya kufurahia wao wanachukia.

    Miaka 2 nyuma niliandika sana mitandaoni kuwa serikali impe uraia Mayele . Mayele ni hazina. Kuna wachezaji majuzi wamepewa uraia kuna watu wanakwazika. Hii ni roho ya kichawi. Tanzania ina mapori mengi hayana watu. Tukigawa kwa square meter bado kila Mtanzania ataweza kumiliki eneo kubwa la...
  16. Wazee wetu hawakuwa wajinga kututafutia wake wa kuoa! Wasukuma tulibezwa sana kuhusu hili yamkini waliona mbali.

    Amani iwe nanyi nyote (BabaParoko) Enzi hizo hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa kawaida kabisa Mzee wa kisukuma kwenda kumtafutia kijana wake binti wa kuoa. Mara zote walikuwa hawakosei mfano ni babu yangu kuwatafutia baba zangu wote wanawake wa kuoa na akalifanikisha wote akiwamo na baba...
  17. Vikao vya watu wenye akili na vya wajinga utofauti wake

    Watu wenye akili utawatambua tu namna walivyo serious kwenye mambo ya msingi yanayohusu nchi. Humu kugonga meza hovyo hovyo kama wendawazimu walio changanyikiwa huwezi kuta hawa watu wanafanya. Makelele ya kijinga yasiyo na tija huwezi kuyasikia humu. Vituko vya kijinga ni ngumu...
  18. Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  19. K

    TCRA pigeni faini Mpesa na Airtel kwa kushindwa kutoa huduma kwa wateja tangua juzi. Wananchi wanashindwa kuburudika na sikukuu

    Wadau mitandao ya Airtel na Voda ina sumbua wateja sababu haiwezi kupokea pesa kutika Bank nk au kutuma pesa Matokeo yake wananchi wanakula sikukuu kwa shida. TCRA piga fain au fungueni Hawa jamaa kwa siku tatu Hadi waingeze ubora na umakini. Vitendo wanavyofanya wanmzarau Rais Samia?.Mbona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…