wajibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kuzembea wajibu wa matunzo makusudi kunaweza kuvunja Ndoa

    Maana ya Talaka Sheria inayosimamia masuala ya talaka ni sheria ya Ndoa ya mwaka 1971. Na kwa mujibu wa sheria hiyo, “Talaka ni ruhusa ya kisheria ambayo mume au mke hupewa wakati anapomwacha mwenzie”. Chombo chenye mamlaka ya kutoa talaka Chombo pekee chenye uwezo wa kuvunja ndoa ni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni aina ya mtu ama ndio wajibu wa kiongozi mkuu kusema na kusema kila uchao?

    Wakuu, Hadi anatia huruma, haki ya Babu, na Bibi! Yaani toka ashike uongozi zimefika hotuba zaidi ya Mia nne (ambazo ni rasmi) na bado kwa muda uliobaki sijui zitafikia ngapi! Jamani hivi ni yeye ana enjoy pia kama ilivyokuwa kwa Mwenda zake, maana kwa yule alivyokuwa akipenda kuongea...
  3. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Baada ya Korea Kaskazini kurusha kombora, Korea Kusini wajibu lakini kombora lashindwa kupaa

    Marekani na Korea Kusini warusha makombora kuijibu Korea Kaskazini Korea Kusini na jeshi la Marekani wamerusha kombora baharini, Seoul inasema, ni hatua ya kujibu Korea Kaskazini kurusha kombora juu ya Japan. Makombora hayo yalirushwa katika Bahari ya Mashariki - pia inajulikana kama Bahari ya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kusimama na Catherine Ruge ni Wajibu

    Familia za wahanga wa mauaji ya Tarime kwa hakika zimekosewa sana. Hivi ndivyo ilivyo kwa vifo vyote vya makusudi vinavyotekelezwa na vyombo vya dola kinyume cha sheria. Wito huu ni kwa wapenda haki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na wapenda amani wote. Catherine Ruge anapambana. Kwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Vyama vya Siasa havijui au vimesahau wajibu wao?

    Vyama vya siasa si ajira kwamba ni mahali pa kwenda kujipatia riziki. Vyama vya siasa vina wajibu. Wajibu wake si mdogo. Siasa ni kama mchezo wa mpira kuchukua na kuzitumia lose balls zote Ili kujipatia magoli. Kumekuja kukapita mambo ya tozo. Kumekuja panya road. Kunafukuta ya bima ya afya...
  6. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa kutoa ajira kwa watu wenye ulemavu

    Ni takwa la kisheria kwamba kila mwajiri katika sekta binafsi au sekta za umma kutoa ajira kwa watu wenye ulemavu pale ambapo mtu huyo mwenye ulemavu ameomba nafasi hiyo na ana vigezo vinavyohitajika katika kazi husika sawa na watu wengine wasio na ulemavu. Kila Mwajiri mwenye uwezo wa kuajiri...
  7. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa serikali za mitaa kuwalinda watu wenye ulemavu

    Baada ya kuangalia wajibu wa ndugu kwa watu wenye ulemavu katika mada iliyopita. Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu. Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda na kukuza haki na ustawi wa watu wenye ulemavu katika eneo lake. Jukumu hili...
  8. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa ndugu kutoa msaada wa kijamii kwa watu wenye ulemavu

    Ndugu wana wajibu wa kutoa msaada wa kijamii kwa watu wenye ulemavu. Kama kuna ndugu zaidi ya mmoja wa mtu mwenye ulemavu, ndugu hao kwa kushirikiana pamoja wanatakiwa kutoa msaada wa kijamii kwa mtu huyo mwenye ulemavu. Mfano: makazi, chakula, elimu, afya, maji au mavazi nk. kama miongoni mwa...
  9. NetMaster

    JamiiForums Tanzania kwenu baadhi ya watanzania vichwa panzi, Msaada kutoka kwa ndugu sio wajibu, akikusaidia ni bahati wala sio lazima, acha lawama asipokusaidia

    Kuna kusaidia wanafamilia hii inaeleweka inabidi ujitoe, lakini sasa kuna hawa ndugu nao huwa wanajikuta sawa na familia tena akilini mwao wanajipa hadhi ya lazima wasaidiwe, Huwa naona kuna baadhi ya koo na makabila yani wakiona ndugu yao katoboa basi wanachofikiria ni kwamba ni lazima ndugu...
  10. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Serikali Ina Wajibu wa Kuhakikisha Raia Wake Hawadhulumiwi Maisha au Mali Zao

    Moja ya majukumu makubwa kabisa ya serikali ni kuwalinda watu wake dhidi ya changamoto zote za kiusalama na kuwahakikishia amani na utulivu. Jukumu la Serikali si tu kulinda watu wake kutokana na mashambulizi ya nje, lakini pia kuwalinda dhidi ya changamoto zote za kiusalama zinazoweza...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kutosheka katika sex ni dhana na wajibu binafsi, tegemezi au shirikishi? Na mwenye vigezo na ufahamu ni nani?

    Salaam wanajukwaa Naomba ufikirie, ujitazame, ujipime na usome hadi mwisho penye mapungufu jazia, penye kosa kosoa, na maoni au mtazamo wako ni muhimu. Hili neno kuridhika katika sex ni jukumu la kila mshiriki? na ili mtu aridhike ni dhana tegemezi au shirikishi? Mwenye kipimo Cha mridhiko ni...
  12. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Intern at WAJIBU – Institute of Public Accountability 2 posts

    WAJIBU – Institute of Public Accountability is a local based think- tank institution which was founded with the purpose of promoting public accountability in Tanzania. WAJIBU aims to empower citizens, firstly to understand and appreciate the concept of transparency, accountability and good...
  13. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC02 Dini inapogeuka kichaka cha kujificha kwa watawala wasiotimiza wajibu wao kwa wananchi

    UTANGULIZI. Nafungua kamusi yangu ya kiswahili na Kutambua kuwa Neno "DINI" ni neno la kiarabu lenye maana ya jumla ya imani ya binadamu pamoja na mafundisho wanayotoa kuhusu yale ambayo wanayazingatia ama kuyasadiki, yaani mambo ya roho, kama vile kuhusiana na Mungu, maisha na uumbaji (...
  14. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa Serikali za mitaa kuwalinda watu wenye ulemavu

    WAJIBU WA SERIKALI ZA MITAA KUWALINDA WATU WENYE ULEMAVU. Leo napenda kuelezea wajibu wa serikali za mitaa katika kuwalinda watu wenye ulemavu. Mamlaka ya serikali za mitaa ina wajibu wa kulinda na kukuza haki na ustawi wa watu wenye ulemavu katika eneo lake. Jukumu hili linatekelezwa na...
  15. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Putin awajibu maadui zake kuhusu yeye kupiga picha kifua wazi

    Salama wandugu kwa kweli adui akiwa na chuki na mtu hachoki fitina Sasa viongozi wa magharibi baada ya kuishiwa hoja wamsema vibaya Raisi Putin tabia ya kupiga picha kifua wazi na yeye Putin awajibu kwamba wao hawana umbile la kuacha kifua wazi kwani wamevimbiana ovyo ovyo kwa ajili ya mapombe...
  16. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Haki na wajibu kwa wafanyakazi wa kazi za ndani

    HAKI NA WAJIBU KWA WAFANYAKAZI WA KAZI ZA NDANI. [PLEASE USIACHE KUSOMA HAPA] Kazi za ndandani ni kazi zinazofanywa ndani au nje ya nyumba. Mfano: usafi wa nyumba, kufua, kupika, kulea watoto, kutunza mifugo nk. Mfanyakazi wa kazi za ndani ni mtu yeyote anayefanya kazi za ndani, ndani ya...
  17. Kichwamoto

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wajibu kila mmoja kujiandaa kujiridhisha na sex na si vinginevyo

    Shoo Shoo Kali ni Kali ! Kwa ufupi tu unapotaka kula njaa ni yako na kushiba ni jambo binafsi na kuridhika na msosi ni jambo binafsi hasa ladha ya ulimi wako, ubora wa meno, test ya chumvi, potion size etc, uwezo wa tumbo, mazoea, na etc. Hii ni akili kubwa tu karibu kwa misumari, mateke...
  18. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Ni nini wajibu wa Mabalozi wa Nchi na Waziri wa Mambo ya Nje?

    Kwa sasa nchi inapitia kwenye wakati mgumu kutokana na kupanda kwa gharama za maisha, mfumuko wa bei na milipuko ya magonjwa. Kiongozi mkuu wa nchi kila mara yuko nje ya ofisi. America, Zanzibar, Uganda nk. Je, kazi za mabalozi ni zipi? Je, safari hizo zina tija kwa taifa?
  19. M

    JamiiForums Tanzania Walimu na Wazazi wa Shule za Makongo Juu ( zamani Londa Secondary ) na Tegeta Secondary timizeni Wajibu wenu wa Kimaadili kwa hawa Wanafunzi

    Mabinti wa Shule ya Makongo Juu Secondary ( zamani Londa Secondary ) kama Wewe ni Mzazi au Mdau tu wa Maadili na Maendeleo ya Elimu ukibahatika kukutana Barabarani kuanzia Saa 9 Alasiri wanapotoka unaweza ama ukalia kwa Uchungu au hata Hasira Kukupanda na ukawachapa na Kuwaadhibu vikali...
  20. Rwaz

    JamiiForums Tanzania Anayejua vyema haki na wajibu katika kuandamana anisaidie

    Nimekuwa nikiskia kuandamana ni haki ya kikatiba. Lakini duniani kote kuandamana ni ugomvi wa wazi kati ya serkali na waandamanaji kias kwamba ni kama uasi. Hadi kutangaziana ubabe. Mtaalam wa sheria na siasa za uongozi na utawala anisaidie kujua dhana ya kuandamana ni wakati gani inakuwa...
Back
Top Bottom