wajibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kufuta ni wajibu wa nani haswa; me au ke?!!!!

    Au Kila mtu ajihudumie mwenyewe?!!! Na vipi kitmabaa, kila mmoja na chake au kimoja hiccho hicho?!!! Tupieni maujuzi kwa mustakabali mwema wa taifa letu wadau.
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 James: Mlitaka Mbowe aseme nini wakati wajibu wake alishaamaliza

    Mtoto wa Freeman Mbowe, Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), James Mbowe,amesema anamuuga mkono Freeman Mbowe, kwa kitendo chake cha kutotoa maoni yake juu ya yanayoendelea ndani ya CHADEMA Pamoja na Kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu. James, ameyasema...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Manabii, mitume, maaskofu, wachungaji msikilizeni huyu mjue wajibu wenu kwenye siasa

    CCM inaongoza kwa kufanya siasa makanisani, lakini Kanisa likikemea mambo ya hovyo yanayofanywa na CCM kwenye siasa, CCM husema tusichanganye siasa na dini! Kwa CCM viongozi wa kanisa wanapoisifia huwa si kuchanganya siasa na dini, ila CCM wakikosolewa ndiyo huwa siasa imechanganywa na dini...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo hutokea pale Mwanaume anaposhindwa kutekeleza wajibu wake ipasavyo

    Wewe jifanye hamnazo, kunywa mapombe yako hadi visunguraz kula hizo bangi na viroba vyake. Jitoe akili unavyoweza, zaa na kuzalisha, kimbia familia na kutelekeza watoto lakini ujue haya ndio huja kutokea baadae. Weka feminism system au endeleza masculinity but ikiwa Mwanaume atakosa kutimiza...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa Mamlaka kudhibiti uhalifu wa vikundi vinavyojifanya Washirika wa CCM na kuumiza watu

    Vikundi vinavyojifanya washirika wa CCM na kushiriki katika vitendo vya uhalifu dhidi ya jamii visipodhibitiwa na polisi, wasilaumu jamii itakapochukua hatua za kujilinda. Kila jambo lina kikomo chake.
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Gwajima aelimishwe juu ya wajibu wa Jeshi la polisi wa kulinda usalama wa raia, mali na makazi na sio ujenzi wa barabara au uchimbaji visima vya maji

    Afundishwe vyema pia kwamba hakuna namna nchi inaweza kuacha jambo muhimu sana kama la ulinzi wa Taifa, watu, mali na makazi yao likafanywa na makampuni binafsi ya ulinzi, kwasababu tu eti jeshi la polisi liko na shughuli au tenda nyingi za ujenzi wa barabara na uchimbaji visima vya maji...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mdau: Wimbi la Wagombea wapya limechochewa na viongozi wanaomaliza muda wao kushindwa kutimiza wajibu

    Mdau wa siasa na mkazi wa Dar es Salaam, Ramadhan Mashauri, amesema idadi kubwa ya watu wanaojitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi za uongozi, ikiwemo ubunge, inatokana na viongozi wengi wanaomaliza muda wao kushindwa kuzitendea haki nafasi zao wakati wa utumishi wao. Ameeleza kuwa hali...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sio dili, ni wajibu...

    Mzazi kumsomesha mtoto haipaswi kuwa uwekezaji unaosubiri faida siku moja. Watoto hawazaliwi kama mikataba ya kurejesha mkopo. Wanahitaji malezi bora, elimu na upendo—si kwa sababu watatulipa kesho, bali kwa sababu ni jukumu letu leo. Mzazi anapaswa kutoa elimu bila masharti, na kulea bila...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mawakili wajibu hoja kwamba wametumwa na Yanga!! Watangaza kuwashitaki TFF na BMT Mahakamani

    Wakili msomi mwandamizi Alloyce Komba ambaye ni momoja kati ya Mawakili Watano ambao waliungana kupeleka barua Baraza la Michezo Tanzania kuomba kusitishwa kwa mchakato wa uchaguzi wa TFF ameibuka na hoja nyingine ya kikanuni akidai kwamba Mgombea pekee wa urais aliyepitishwa amepitishwa nje ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kikwete, kwa heshima na taadhima hujatimiza wajibu wako kama Mzee wa Taifa, Rais Mstaafu kumshauri Rais wetu

    Nadhani ni wajibu wako mkubwa , tena wa heshima kumhsauri Rais wetu unapoona kuwa kuna kitu hakiendi vizuri. Washauri wake wengine wanaangalia inclination yake na wao wanapitiliza humo humo. Hawawezi kumwambia ukweli kuwa hili achana nalo, halitaleta afya kwa Taifa. Wanaogpa kumkasirisha...
  11. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Ni nini na lini hatima ya wasiojulikana na utekaji, nani anapaswa kuwajibika katika wajibu wake... Wananchi wanahaja ya kupata ufafanuzi yakinifu

    Serikali kwa maana ya kwamba viongozi husika (Raia nambari 1 hadi 10) wanawajibu wa kuleta majibu yenye mashiko juu ya maswali haya. Niliwahi kuona mbele ya muda exactly nini kitatokea na kikaja kutokea na nikaandika; "Thread 'Hukumu ngumu(bias) katika mashtaka mepesi' Hukumu ngumu(bias)...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa Mihimili ni Katiba: Kuilinda, Kuiheshimu, Kuitetea na Kuitekeleza Kwa Kuheshimiana!. Je Bunge Lifanye Minimum Reforms Kabla Kuvunjwa Au ?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo nikijkita kwenye kumpongeza Spika wa Bunge, Dr Tulia Akson kwa kukumbushia majukumu na wajibu wa mihimili ni kwa Katiba ya JMT : Kuilinda, Kuiheshimu, Kuitetea na Kuitekeleza Kwa Kuheshimiana na sio kwa mihimili kujinyenyekeza kwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kuna watu hawajatimiza wajibu wao

    Kila mmoja atimize wajibu wake. Kila mpenda demokrasia, Amani, Haki, Usawa, upendo etc etc tc ambao ni wajibu namba moja , atimize wajibu wake. Kila kundi litimize wajibu wake! Nawaakia siku njema yenye Haki na amani
  14. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tohara kwa watoto wa kiume inavyo wajibu atheists kuhusu " The Problem of evil"

    ATHEISTS wana sema 👇👇👇👇 " Kama kweli Mungu anatupenda Sisi viumbe wake kwanini ameruhusu maumivu kwenye maisha ya watu? " KUHUSU TOHARA : Hakuna asie jua kwamba TOHARA ni suala lenye maumivu makali sana kwa watoto wa kiume. Licha ya kuwekewa ganzi etc lakini still bado TOHARA ina maumivu...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wabongo wanapenda kukusakizia uwapiganie haki zao. Yakikukuta wanakuacha! Ukisusa wanakulalamikia kwa Jambo ambalo ni wajibu wao kujipigania wenyewe!

    Mpo Salama! Kwa kweli inaumiza Sana! Nitakuwa mkweli na mwaminifu. Nitatenda haki kwa pande zote. Nimefuatilia kwa kipindi kirefu sasa. Nimegundua Wabongo wengi wanatabia mbaya Sana. Kwanza, wanapenda kufanyiwa mambo ambayo ni wajibu wao kuyafanya. Niliwapa stori iliyonitokea mwaka 2018...
  16. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Chama cha darasa la 7 sio rahisi wajibu hoja ?

    Mmejionea wenyewe kiranja wao alichoongea Leo . Tatizo ni Elimu , chama cha darasa la Saba.
  17. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania Unajua kama raia una wajibu kwenye ulinzi wa uhuru, mamlaka na umoja wa Taifa? Timiza nafasi yako

    Wewe kama raia una wajibu wa kuhakikisha unadumisha uhuru,amani na umoja katika nafasi mbalimbali ili kuimarisha huduma za kijamii na kiuchumi. Kama raia unatakiwa kudumisha uhuru,amani,umoja na kulinda rasilimali za nchi Ikiwa raia hatalinda hatotekeleza wajibu huo basi anaweza kushtakiwa...
  18. Jumer athuman

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa Afisa Tawala katika taasisi ni upi?

    Habari, naomben kujua wajibu au kazi za afisa katika taasisi.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Padre Silvio, Mwalimu wa Malezi Seminary: Kanisa Lina Wajibu Wa Kuionya Na Kuishauri Serikali. Serikali Haina Mamlaka Kuwanyamazisha Viongozi wa Dini.

    Anaandika Padre Silvio Mnyifuna,Mwl na mlezi wa Mafinga seminari KADIRI YA SHERIA ZA KANISA KATOLIKI KIONGOZI WA DINI ANA HAKI NA WAJIBU UPI KUHUSIANA NA SERIKALI YA NCHI KATIKA KUSHAURI NA KUONYA ? . Sheria za Kanisa Katoliki (yaani Codex Iuris Canonici – CIC) zinatoa mwongozo mahususi kuhusu...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mazingira ya ajali ya Mkurugenzi wa TANESCO hata katika picha yanatia shaka sana. Polisi wajibu haya maswali

    Tanzania lazima tujenge utamaduni wa kuhoji, sio kukubali kila tunachoambiwa, na Polisi au hata na serikali. Niliposikia juu ya hii ajali kwanza nilihoji ikiwa ajali ilitokea saa nane usiku na Mkurugenzi na dereva wote wamekufa, Polisi walijuaje dereva alikuwa anamkwepa mtu wa baiskeli? Sasa...
Back
Top Bottom