wajasiriamali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Atakayenisaidia kufungua microfinance ya kukopesha wajasiriamali nitampa pesa

    Hi ladies & gentlemen! Vipi hii kitu inahitaji mtaji kiasi gani, na mizunguko yake ikoje mpaka kukamilika? Aliye tayari aje pm tuyajenge?
  2. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fahamu mambo yanayofanya Wajasiriamali/Wafanyabiashara wadogo wadogo washindwe kufikia malengo

    Karibuni tena wapendwa kujifunza tena kupitia JAMIIFORUMS. Na leo tutapata wakati mzuri wa kujifunza juu ya mambo ambayo baadhi ya wajasiriamali/wafanyabiashara wanayakosea na hivo kushindwa kufikia malengo yao. Mjasiriamali ni nani? Ni mtu yeyote yule anayujishughulisha na kazi mbalimbali kwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania TBS yatoa mafunzo kwa wajasiriamali wa bidhaa za korosho (wasindikaji na wafungashaji) - Mkoani Lindi

    TBS YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WA BIDHAA ZA KOROSHO (WASINDIKAJI NA WAFUNGASHAJI) - MKOANI LINDI Na Mwandishi wetu Mkoani Lindi; Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Taasisi zingine za serikali leo Tarehe 13 Septemba, 2021 wanatoa mafunzo kwa Wajasiriamali wapatao 40 ni...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Lindi: Wajasiriamali mkoani wapata mwamko wa kuthibitisha ubora wa bidhaa zao TBS

    WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI MKOANI LINDI WAPATA MWAMKO WA KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA ZAO MARA BAADA YA KUPATA ELIMU KUTOKA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) Na Mwandishi Wetu, Lindi WAFANYABIASHARA na wajasiriamali mkoani Lindi wamepata mwamko wa kuthibitisha ubora wa bidhaa zao pamoja...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewajengea uwezo Wasindikaji na Wajasiriamali Mtwara kuhusu viwango katika bidhaa zao

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewajengea uwezo Wasindikaji na Wajasiriamali Mtwara kuhusu viwango katika bidhaa zao Na Mwandishi wetu Mtwara Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa mafunzo kwa Wajasiriamali na Wasindikaji wa korosho mkoani Mtwara ili kuwajengea uelewa kuhusu viwango...
  6. J

    JamiiForums Tanzania TBS: Wafanyabiashara na wajasiriamali jitokezeni kuthibitisha ubora wa bidhaa mnazozalisha

    TBS: WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI JITOKEZENI KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA MNAZOZALISHA Na Mwandishi Mwanza WAFANYABIASHARA na wajasiriamali wa mikoa ya kanda ya ziwa wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupata huduma katika Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa ajili ya kuthibitisha ubora wa...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Jumamosi ya Usafi: Kuna uonevu kwa wafanyabiashara na wajasiriamali

    Wakuu salaam! Kama ambavyo iliasisiwa na Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dr JPM kwamba kila siku ya Jumamosi ya mwisho wa mwezi itumiwe na wananchi kwa ajili ya kufanya usafi katika maeneo yao yanayowazunguka. Awali siku hii ya usafi ilizingatiwa na kupewa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania TBS wafanya zoezi la ukaguzi na kutoa elimu kwa wajasiriamali juu wa kuthibitisha ubora wa bidhaa zao

    Wakaguzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakikagua baadhi ya maduka ya vyakula na vipodozi pamoja na viwanda vya wajasiriamali wilayani Liwale mkoani Lindi. TBS imeanza kampeni ya kutoa elimu kwa wajasiriamali na wenye viwanda juu ya umuhimu wa kupata alama ya ubora sambamba na kukagua na...
  9. Itug

    JamiiForums Tanzania Unahitaji mtaji wa kuanza biashara: Mtaji wa biashara kwa wajasiriamali wadogo

    Biashara (kuuza na kununua au kubadilishana bidhaa) imedumu duniani tangu enzi za kuumbwa kwa dunia. Kazi hii imekuwa ikifanywa na watu wa kila aina. Hapo awali biashara ilifanyika kwa kubadilishana bidhaa (barter). Mwalimu wa sayansi ya jamii (Anthropology) Prof. Chapurukha Kusimba kutoka chuo...
  10. Mangole Valles Michael

    JamiiForums Tanzania Wakuu nahitaji kujua eneo lenye wajasiriamali wadogo wadogo wengi

    Wakuu habarini za leo, nahitaji kufaham kiji-senta kilicho changamka au mji mdogo ambao unawajasilia Mali wadogo wadogo wanao uza chakula, chips, wamama wanye magenge ya vyakula. Ki miji hicho kiwe kinajiendesha kibiashara kila siku kisiwe watu wake wanasubiri mavuno ili wafanye biashara. Kama...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kimei ashauri kuanzishwa kwa mfuko wa wajasiriamali

    Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt. Charles Stephen Kimei akizungumza na Azam TV ameeleza umuhimu wa serikali kuanzisha mfuko maalum wa kuwawezesha wajasiriamali na wafanyabiashara wa kati kwa mikopo ya masharti nafuu, riba ndogo na ujuzi katika kuendesha na kusimamia biashara zao au kuziongezea...
  12. Sharose Enterprise

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani

    Je, kwa muda mrefu unasumbuka namna bora ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani biashara yako? Kama ndio basi nina jambo jema kwaajili yako. Biashara yoyote ili itambulike kisheria lazima iwe na vibali vyote vitakavyo muwezesha kufanya biashara yake. 1. TIN ya biashara 2...
  13. NDORANGA

    JamiiForums Tanzania Mungu wa uchumi mioyoni mwa wajasiriamali

    "Asubuhi panda mbegu zako ,Wala jioni usizuie mkono wako ,kwa maana wewe hujui ni zipi zitakazofanikiwa,Kama ni hii au hii ,au zote zitafaa sawasawa"mhubiri11:6 salute!! Waswahili walisema maisha ni hatua na Kila hatua DUA,wazungu wanasema "don't give up keep on grinding...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa wajasiriamali Magufuli bus terminal safarini Chato kwa baiskeli ili kumuenzi hayati JPM kwa msaada wake kwa wajasiriamali wadogo

    Ameamua kuendesha baiskeli toka Dar mpaka Chato. Huu ni uzalendo wa kweli.
  15. Digital base

    JamiiForums Tanzania Vijana 10 wajasiriamali tuungane kwa kuunda kikundi kimoja cha uzalishaji

    Habari ya leo wakuu, Nna wazo moja ambalo tunaweza kushirikiana vijana 10 WAJASIRIAMALI tunaojihusisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali. Pia ni muhimu tusajili kikundi chetu ili kiweze kutambulika na bidhaa zetu tunazozalisha zitambulike. Lengo la kuungana 1.Kushughulikia vibali vyote...
  16. Samedi Amba

    JamiiForums Tanzania Tony Elumelu Foundation (TEF Connect) imefungua dirisha la usajili kwa wajasiriamali

    Habari za muda wadau na wanajamvi, Tony Elumelu ni mwana wa afrika, mjasiriamali, mpambanaji na mkarimu pia. Alianzisha foundation ya Tony Elumelu, mnamo mwaka 2010. Nia ilikuwa ni Mnamo mwaka 2015, mlango ulifunguliwa kwa ajili ya kuwafadhili wajasiriamali barani Afrika, kupitia kampuni ya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Viwanda na Biashara, Geofrey Mwambe atembelea Maonesho ya Wajasiriamali na kukagua bidhaa

    Waziri wa viwanda na biashara Mhe. Mwambe ametembelea maonesho ya bidhaa za wajasiriamali katika viwanja vya saba saba jijini Dar es Salaam. Mwambe amekagua bidhaa za wajasiriamali hao na kuwataka waendelee kujikita kwenye ubora na viwango ili waweze kupata masoko ya uhakika. Maonesho hayo...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Arusha yaokoa shilingi milioni 195.6 za wajasiriamali waliokuwa wamedhurumiwa

  19. ubongokid

    JamiiForums Tanzania GE2020 Siasa za uchaguzi na fursa kwa wajasiriamali

    Habari za wakati huu, Kwanza nianze kwa kuwapa pole wale ambao katika kipindi hiki cha COVID wamejikuta katika wakati mgumu kwa sababu moja ama nyingine katika biashara zao na maisha kwa ujumla na kwa wale ambao wameifariki dunia katika kipindi hiki wapumzike kwa amani. Nirudi kwenye mada kwa...
  20. Avada

    JamiiForums Tanzania Je, Unahitaji Website: Ofa Maalum ya Website kwa Wajasiriamali wadogo 50% OFF?

    Top Quality Website & Hosting Package - 50% Off! We're pleased to offer our Top Quality Website & Hosting Package to new and small businesses at Over 50% OFF our regular prices for either a new or re-designed websites. With the current 2019 tight economy we recognize that many businesses need to...
Back
Top Bottom