Wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo mkoani Arusha wamemshukuru Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuhimiza sera na kuweka mazingira wezeshi ya kufanyia biashara nchini.
Wafanyabiashara hao wamesema kuwa...
Leo nataka nikushirikishe siri ambayo inawasaidia wajasiriamali wengi wanaouza nguo na viatu dukani..."
Kuna mtu niliwahi kumshauri, alikuwa na duka zuri sana la nguo na viatu mjini. Lakini alikuwa analalamika:
"Wapita njia ni wachache sana. Watu hawaji dukani kama zamani!"
Nikamuuliza...
Katika jamii zetu, kuna dhana potofu kwamba "siasa si yetu"—kwamba wale waliopo kwenye biashara au waliojiajiri hawaathiriki moja kwa moja na mwelekeo wa uongozi wa nchi. Wafanyabiashara wengi hujikita katika harakati za kutafuta kipato wakiamini kuwa siasa ni jambo la wanasiasa pekee, na hivyo...
Wakati wimbi la mikopo ya kausha damu likiendelea kutikisa nchini, wajasiriamali wilayani Serengeti mkoani Mara wametakiwa kuchangamkia fursa ya mikopo nafuu ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri.
Hayo yamesema na Mwenyekiti Wa UVCCM Mkoa Wa Mara, Mary Joseph wakati akizungumza na...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema mwaka huu wanawake wameitika kwa kushiriki katika makongamano ya wanawake yaliyofanyika sehemu mbalimbali nchini.
“Hii inaonesha kuwa wanawake wameitika… hatukuwa na makongamano ya kuongea-ongea...
Habari za jioni jamii forum
Kazi ni maisha,kila hatua na kila siku tunahitaji ubunifu mpya kwenye mishe zetu ikiwa ni njia ya kujikwamua na kuuacha umaskini haswa Kwa sisi watu wa kipato cha chini.
Lakini je,tuna elimu ya kutosha Kwa tuyafanyayo,au tunayoyaanzisha?
Au ni tamaa na kuiga tu...
Hizi ndo hints;
1. Wengi wao wanahali mbaya
2. Wengi wao hawana ela
3. Wengi wao huwa wanahisi wanataka kuibiwa muda wote ingawa hawana cha kuibiwa
4. Wengi wao ni walalamishi.
5. Wengi wao mpaka anunue kwako ujue wamekosa mwingine, yaani wamehangaika Sana. MTU yupo radhi aagize kitu china ili...
Mashine hii portable itakusaidia kufungua au kurahisisha biashara yako ya unga wa lishe, sembe, dona n.k
Inatumia umeme wa nyumbani tu na ina uwezo wa kusaga kilo 300 kwa saa na kukoboa kilo 200 kwa saa.
Complete na mota na kila kitu bei ni million 2 tu.
Tupigie 0636751473
Mbezi mwisho (mbezi...
Wajasiriamali wadogo waliopewa eneo la gati la maji nje ya soko la Kachoma, Kata ya Chemchem Manispaa ya Tabora ili wafanyie biashara zao kwa muda huku serikali ikiwatafutia maeneo mapya na sahihi ya kufanyia biashara, wamelalamikia kuvunjwa kwa vibanda vyao usiku wa manane pasi na kutafutiwa...
Hapa dukani kwetu tuna binti mmoja ambaye mwaka jana alipata ujauzito. Ulipofika muda wa kujifungua tulimpa likizo ya miezi 3 ambapo pia tuliendelea kumlipa. Mwezi huu wa kwanza tarehe 1 alirudi tena kazini ila akiwa na mtoto wake. Binafsi nilidhani baada ya miezi 3 angeweza kurudi na kuchapa...
Wajasiriamali wanaofanya biashara pembezoni mwa msikiti wa Mtoro wameitaka serikali kuingilia kati mgogoro unaoendelea kati yao na uongozi wa msikiti huo ambapo umewataka wafanyabiashara kuondoka eneo la barabara ambalo wanafanyia biashara kabla na baada ya matengenezo ya barabara.
Akizungumza...
Je, wewe ni mjasiriamali na unajiuliza ni vipi utaongeza ubora wa bidhaa zako na kuongeza mauzo. Leo Digital Sprayer tunalo jibu la maswali yako. Tumekuletea huduma ya uchapaji(printing) na ubunifu(design) wa label za bidhaa za aina zote kwa gharama nafuu na ubora wa hali ya juu.
LABEL NI...
Ukiachana na hii video..,
1. Kuna video moja niliona njemba zinakanda unga wa ngano kwa kurukiarukia tena peku.
2. Nimewahi kushuhudia jirani yangu (mpangaji mwenzangu) akitumia chupi kama chujio cha chai. Alikua ni mama ntilie pale mtaani kila asubuhi alikua anaenda kuuza uji, chai na...
WAKINA MAMA WAJASIRIAMALI WA DODOMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA FURSA ZA KIUCHUMI
▪️Wajipanga kujiimarisha kiuchumi kwa fursa za kiuchumi kwa fursa zilizopo Dodoma.
▪️Wajipanga kujenga Maduka ya kibiashara na eneo maalum la uwekezaji
▪️Wampa tuzo Mbunge Mavunde kwa mchango wake kwa wakinamama...
Dar es Salaam,
Benki ya Biashara Tanzania (TCB), yazindua bidhaa ya LIPA POPOTE ili kurahisisha miamala kwa wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs) na wamiliki wa biashara Benki ya Biashara Tanzania (TCB) inajivunia kutangaza uzinduzi wa bidhaa ya LIPA POPOTE, suluhisho la malipo lililobuniwa...
NAIBU WAZIRI KIGAHE: WAJASIRIAMALI WAPEWE ELIMU YA KURASIMISHA BIASHARA
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe amezitaka mamlaka za Serikali zinazosimamia sekta ya biashara nchini kutoa huduma bora na kuwalea wajasiriamali ili waweze kufanya uzalishaji wenye tija na kuongeza...
Habari wakuu,
Nina wazo la 'win/win situation' inawezekana wewe ni mjasiriamali uko kwenye kundi hili:-
Muuza genge
Muuza mishikaki/ nyama mapande
Muuza matunda
Mama ntilie
Mtembeza karanga, soda, biskuti n.k
Chinga wa nguo
Muuza nyanya, vitunguu n.k sokoni
Muuza vyombo kwa kutembeza
Unachoma...
Vikundi nane vya Wajasiriamali kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa vimenufaika na mtaji wezeshi kutoka Benki ya CRDB kiasi cha shilingi milioni 101.6 kwa ajili ya kuimarisha biashara zao na kukuza mitaji.
Hafla ya kukabidhi hundi hiyo imefanyika leo Septemba 18,2024 sambamba na ufunguzi wa...
Katika jitihada za kuimarisha ushirikiano baina ya taasisi za kifedha na mihimili ya Serikali, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB), Bw. Adam Mihayo, amemtembelea na kuzungumza na Spika wa Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Tulia Ackson.
Bw. Mihayo ameambatana na Mkurugenzi wa...
MBUNGE TAUHIDA GALLOS: WAJASIRIAMALI SHIRIKIANENI NA KUBUNI MBINU
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi Mhe.Tauhida Gallos amewataka wajasiriamali kushirikiana na kubuni mbinu mbalimbali zitakayoweza kuwaletea maendeleo katika familia zao.
Mhe. Tauhida ameyasema hayo huko Mazizini mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.