Tunakumbushana tu ukubwa wa CCM maana vijana wa siku hizi wengi ni wasahaulifu.
Unapoteuliwa kuwatumikia wananchi basi uwe mzalendo wa kweli na utoe utumishi badala ya kutumia muda mwingi kujipigia promo na kuchafua watu wengine kana kwamba wewe ndio CCM peke yako.
Hebu muangaliwe...
Mmoja wa watuhumiwa wa kesi inayowakabili viongozi wa Chadema Mchungaji Peter Msigwa amesema katika mkutano wa kufunga kampeni za uchaguzi wa Mbunge wa Kinondoni katika viwanja vya Buibui alikuwepo pia Naibu Waziri wa TAMISEMI Mh Mwita Waitara.
Baada ya kumalizika mkutano huo viongozi hao wa...
Anasema hakuna mwenye mamlaka ya kuwasemea waliokatwa wajisemehe wenyewe.
Anasema wabunge wanaongelea mambo wasiyoyajua uko mtaani hali ni tofauti kabisa.
Mimi nimejiuliza hivi mbunge ni nani mpaka azuiliwe kuongea mambo yanayoendelea jimboni kwake je sio mwakilishi ya waliokatwa ni mwakilishi...
Watanzania tutazame picha linalolechezwa la kuumalizia mbali upinzani. Ukiangalia wafuatao wamejiuzulu uanachama wao bila sababu mujarabu na chaguzi za wabunge na madiwani zimerudiwa. Akina Mwita Waitara wa jimbo la Ukonga, mbunge wa Monduli, mbunge wa Kinondoni, mbunge wa Liwale.
Hii inatupa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.