Tetesi: Mwita Waitara aitwa kamati ya maadili CCM Tarime

Musachawenyu

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
279
Reaction score
521
Siku ya leo Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mheshimiwa Mwita Mwikwabe Waitara ameitwa kwenye kamati ya madili ya Chama wilaya kuhojiwa juu ya tuhuma zinazomkabili.

Miongoni mwa tuhuma hizo ni;

1. Kuandaa na kulipa genge la vijana kumzomea Mwenyekiti wa CCM Wilaya akiwa katika majukumu ya kikazi.

2. Kuidharau Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tarime na Musoma na kusema angekuwa na uwezo angezifuta. Jambo ambalo ni kinyume na katiba ya Chama Cha Mapinduzi na dharau kwa mamlaka ilizoziweka hizo kamati za siasa madarakani.

3. Kuandaa magenge ya wahuni kufanya fujo iwapo atashindwa kura za maoni au endapo jina lake litakatwa katika majina matatu yanayopaswa kurejeshwa na kamati kuu.

Na mengine ambayo sijapata kuyajua.
 
Attachments

  • Screenshot_20250617_120449_Gallery.jpg
    Screenshot_20250617_120449_Gallery.jpg
    352.8 KB · Views: 25
Siku ya leo Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mheshimiwa Mwita Mwikwabe Waitara ameitwa kwenye kamati ya madili ya Chama wilaya kuhojiwa juu ya tuhuma zinazomkabili.

Miongoni mwa tuhuma hizo ni;

1. Kuandaa na kulipa genge la vijana kumzomea Mwenyekiti wa CCM Wilaya akiwa katika majukumu ya kikazi.

2. Kuidharau Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tarime na Musoma na kusema angekuwa na uwezo angezifuta. Jambo ambalo ni kinyume na katiba ya Chama Cha Mapinduzi na dharau kwa mamlaka ilizoziweka hizo kamati za siasa madarakani.

3. Kuandaa magenge ya wahuni kufanya fujo iwapo atashindwa kura za maoni au endapo jina lake litakatwa katika majina matatu yanayopaswa kurejeshwa na kamati kuu.

Na mengine ambayo sijapata kuyajua.
Huyu mpumbavu afutwe uanachama kabisa
 
Afukuzwe TU Kwa I alisema Lissue anamakosa
 
Huyu harudi tena
 
Haya watatu huyu sasa.....

Gwaji
Mpina
Mwita...

Wataisha wote mmae
 
Seven down more to go
Gwaj
Waitara
Mpina
Ubungo
Nape
Makamba
Mrisho
Aisee hivi viti vyote anazoa CHAUMMA
 
Siku ya leo Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mheshimiwa Mwita Mwikwabe Waitara ameitwa kwenye kamati ya madili ya Chama wilaya kuhojiwa juu ya tuhuma zinazomkabili.

Miongoni mwa tuhuma hizo ni;

1. Kuandaa na kulipa genge la vijana kumzomea Mwenyekiti wa CCM Wilaya akiwa katika majukumu ya kikazi.

2. Kuidharau Kamati ya Siasa ya Wilaya ya Tarime na Musoma na kusema angekuwa na uwezo angezifuta. Jambo ambalo ni kinyume na katiba ya Chama Cha Mapinduzi na dharau kwa mamlaka ilizoziweka hizo kamati za siasa madarakani.

3. Kuandaa magenge ya wahuni kufanya fujo iwapo atashindwa kura za maoni au endapo jina lake litakatwa katika majina matatu yanayopaswa kurejeshwa na kamati kuu.

Na mengine ambayo sijapata kuyajua.
Waitara arudi tu upinzani CCM hakumfai
 
Ale jeuri yake
 
Mwita waitara namfahamu . Hawezi kuishi bila madaraka
 
Back
Top Bottom