Wana Tarime waja na Operatio Tokomeza Waitara Tarime (TOWATA)

Wana Tarime waja na Operatio Tokomeza Waitara Tarime (TOWATA)

Emilio Mzena

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2023
Posts
267
Reaction score
636
Mbunge wa Tarime, Mh. Waitara ni miongoni mwa wanadamu wanaopitia magumu sana jimboni kwake.

Waitara hakubaliki sio na wana CCM wala Wapinzani.

Na sasa wameanzisha mpango kazi wa kumuondo ndani ya chama chake asigombee tena ubunge.

kwa ushauri huyu pamoja na Gambo watafute kazi nyingine za kufanya
IMG_5285.jpeg
 
Back
Top Bottom