waitara

  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mwita Waitara na wengine mtaoenguliwa kwa majungu na CCM 2025, andaeni mkakati wa kuhamia Umoja Party na mtarudi bungeni

    Muanze mapema kabisa kuandaa mikakati ya maana kujiunga Umoja party na baada ya kuenguliwa mkigombea mtarudi bungeni kwa urahisi mno. Picha ipo wazi kabisa maana kila mtanzania mzalendo hawezi kuunga mkono haya yanayoendelea sasa.
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tuna wakati mgumu Tarime, Mwita Waitara ameahidi kutushughulikia tena tusipate hata Diwani kisa tumefurahi alivyotenguliwa

    Sikilizeni makamanda wenzangu, amesema anafuatilia tunavyomnanga sasa tutakoma huko Tarime.
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wana Chadema chuki dhidi ya Waitara zitawasaidia nini? Kuisambaratisha ngome yenu tarime isiwe nongwa, kama katoswa muacheni kivyake.

    Hizi ni siasa za kitoto kabisa. Maana kama mtu alikuwa Chadema na akawahama na kwenda Ccm kisha kusambaratisha ngome yenu ya Tarime kuna ubaya? Kaachwa na rais wa JMT kuteuliwa mnabaki kueneza chuki na kebehi dhidi yake huko Twita na sehemu mbali mbali za mitandao ya kijamii. Huu ni ubwege wa...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Waitara: Nilipata wimbi la nne, kwasababu nilikuwa nimechanja niliendelea vizuri

    Naibu waziri Mwita Waitara akiwa Azam amesema alipata Covid ya wimbi la nne na kupona. Waitara amesema kwa kuwa alikuwa amechanja alipata dawa kidogo na kupona. Pia Waitara ameongelea mabasi ya mikoani kupandisha nauli na kusema sio nguvu ya soda na wako tayari kwa Januari na kipindi cha watoto...
  5. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara amshukia Askofu Gwajima, amtaka aache siasa kwenye mambo ya afya za wananchi au ajivue ubunge kama hakubaliani na serikali

    Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara: Huwezi kushindana na wakenya kwa bandari ya Dar es Salaam, option ni kwenda Bagamoyo

    Mwita Waitara: Ukitaka kushindana na watu wa Mombasa, bandari ya Mombasa ni kubwa kwelikweli, unganisha zote hapa Tanzania hatuwafikii kwa ukubwa wa eneo hata mizigo inayotua pale. Hata kama tumeongeza Mtwara bado hapa hatuwezi kutanua zaidi, tunataka tuweke utaratibu wa bandari ambao...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Waitara: Duniani kote watakwambia tunapata hasara kwa sababu ndege sio faida moja kwa moja

    Leo Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara alikuwa kwenye kipindi cha 'Morning Trumpet' cha Azam TV na amegusia mambo mbalimbali ikiwemo hasara ATCL, ujenzi bandari ya Bagamoyo, ujenzi reli ya SGR na uagizaji wa mabehewa pia ujenzi bwawa la Nyerere === Mtangazaji: Umezungumza kuhusu...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Waitara awatumbua wafanyakazi wawili wa TPA kwa kushindwa kutoa taarifa ya ubovu wa meli ya MV Mbeya II tangu 2020

    Naibu waziri wa ujenzi Mwita Waitara amewasimamisha kazi Watumishi wawili wa mamlaka ya bandari kufuatia kitendo cha watendaji hao kuficha taarifa za ubovu wa meli mpya iliyopokelewa mwaka jana. Mwita amesema watumishi hao walikuwa wanaogopa nini kuieleza Serikali ubovu wa meli mpya hali...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Mwita Waitara atolewe kwenye Unaibu Waziri

    Ifike mahali wanaoteua wateue watu makini wakulisaidia Taifa si kuteua tu almradi. Binadamu Wana tabia zinazoonyesha kwa macho ya nyama na azifichiki. Tabia ya ulevi uliopitiliza haijifichi na mtu wa aina hii nivigumu kumpa watu awaongoze. Alichofanya Waitara Bungeni leo chakushindwa kutaja...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara apokelewa na maelfu ya wapiga kura wake, hii ni uthibitisho kuwa aliiangusha ngome ya CHADEMA Tarime

    Mbunge wa tarime vijijini na naibu waziri wa ujenzi amelakiwa na wapiga kura wake huku wakisema ni mbunge wa kuigwa na kutiliwa mfano, tofauti na mtangulizi wake aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema. Hii ni uthibitisho kuwa ushawishi wake na nguvu zake kisiasa ziliisambaratisha ngome...
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara: Jembe lililopindua meza kibabe, CHADEMA hawatasahau

    Aliposema anaenda kugombea jimbo la Tarime vijijini wanachama na wafuasi wa Chadema walimbeza, wengi walisema ni mlevi na anakwenda kupoteza ubunge. Lakini hii yote ilikuwa ni sababu Mwita Waitara alikuwa ametoa siri nzito juu ya namna Kamanda Mbowe alivyotafuna zaidi ya bil 9 mali ya chama...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mchango wa CHADEMA: Mawaziri Prof Kitila, Silinde, Dr Mollel, Waitara, Katambi na Gekul yule Shonza amefeli!

    Kiukweli Chadema wana mchango wa kutosha katika serikali yetu na hasa katika level ya uwaziri. Mawaziri wafuatao wamewahi kutumika pale Ufipa katika level tofauti za uongozi kwa nyakati tofauti tofauti. 1. Prof Kitila Mkumbo 2. Mh Pauline Gekui 3. Mh Patrobas Katambi 4. Dr Godwin Mollel 5...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Pamoja na yote CCM imshukuru Mbowe kwa kuwatengenezea viongozi akina Shonza, Profesa Kitila, Dkt. Mollel, Katambi, Waitara nk

    Baniani mbaya kiatu chake kizuri na usione vyaelea vimeundwa. Unapoona mtu anatoka kwenye chama kidogo kama Chadema na kwenda chama dola na moja kwa moja anapata uteuzi wa Rais basi elewa chama alichotoka kimemjenga akajengeka. Binafsi huwa simfagilii Mbowe lakini kitu kimoja huwa nakikubali...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Heche aifuta CCM Tarime, hakuna namna Waitara anaweza kuwa Mbunge wa Tarime Vijijini, atavuna alichopanda

    Hii hapa ndio hali halisi kwenye mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Tarafa, Sirari
  15. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwita Waitara achukua fomu kuomba ridhaa CCM kuwania Ubunge Tarime Vijijini

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI), Mwita Waitara amechukua fomu kuomba Chama Cha Mapinduzi- CCM kimpitishe kuwania Ubunge Tarime Vijijini Mkoa wa Mara. Mwita Waitara 2015 alikuwa Mbunge wa Ukonga kupitia CHADEMA kabla ya kuhamia CCM na kutetea kiti chake...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwita Waitara: Nafasi zenyewe chache Ubunge wa nini?

    Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara ameuliza " nafasi zenyewe ni chache ubunge wa nini?" East Africa Radio My take; CCM ni chama kikubwa nadhani Waitara alisahau. Maendeleo hayana vyama!
  17. N

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara ana kikao na viongozi wa kata kijijini Kangariani muda huu

    Muda huu ninaoandika taarifa hii, Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mh. Mwita Mwikabe Waitara akishirikiana na Mwenyekiti wa CCM Tarime, Ndugu Daudi Marwa Ngicho wamewaita viongozi wa kata ambao ni Mwenyekiti, Katibu na Mwenezi na wanafanya kikao kijiji cha Kangariani, ambako ndiko nyumbani kwao na...
  18. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwita Waitara na mwenzake watoa milioni 30 kwa viongozi UVCCM Tarime kuwasaidia kushinda kura za maoni, hali zao ni mbaya

    MWENYEKITI UVCCM TARIME APEWA MILIONI 30 KUFANYA ZIARA KUMBEBA MWITA WAITARA NA GERALD MARTIN KUELEKEA KURA ZA MAONI TARIME MJINI NA VIJIJINI Uongozi wa UVCCM Tarime umeamua kuchukua mkondo wa kuegemea kwa watia nia, na tayari wameunda timu yao wanayoiita chaguo la vijana kuelekea mchakato wa...
  19. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara, pamoja na kuunga mkono juhudi barabara jimboni kwako ni mahandaki matupu

    Wakuu heshima ziwe kwenu. Huyu mwamba alikuwa mbunge wa upinzani . Aliyechaguliwa na kuaminiwa na watu wa jimboni mwake wakiwemo wale wa kanda maalumu ambao ni wengi jimboni humo. Alichaguliwa kwa sababu watu waliamini kwenye mabadiliko ya kweli sio ya ki propaganda. Wapo walioumizwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara athibitisha taarifa za kuumwa, amelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa, hajui ni ugonjwa gani

    Taarifa zimesambaa kupitia mtandao wa Twitter kuwa Waitara amelazwa jijini Dodoma ambapo imedaiwa anaugua maradhi ya Corona. Wacha tusubiri lakini hii ya kulazwa labda inaweza kuwa ni kweli, ila kuhusu aina ya ugonjwa, muda utathibitisha. --- UPDATE--- Mheshimiwa Mwita Waitara amethibitisha...
Back
Top Bottom