Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Suleman Bungara, 'Bwege' amesema kuwa kitendo cha kufunga makanisa au kushambuliwa kwa viongozi wa dini hiyo kitendo hicho wangefanyiwa dini ya Kiislam kusingekalika
Bwege akizungumza na MwanaHALISI Digital alisema kuwa kitendo cha kufungia kingefanywa kwa...
Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema
Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.
Sasa...
Nauliza tu. Maana kuna vijana waliozaliwa 90 na baada ya kuzaliwa wakasikia Alqaida na wengine huko mashariki ya kati wakaaza kuwasema vibaya waislam na kuanza kuona kama ndio tatizo.
Wengi hawataki kusoma historia. Wanashinda ktk social media na kuanza kukoments.
Sasa tujiulize marekani nao ni...
1. Wasomi pale jalalani kupitia umoja wao (UDASA) wamefanya sherehe ya kuuaga mwaka 2025 vichakani pamoja na kuwa na majengo na kumbi za maana hapo hapo jalalani.
2. Vinywaji (visivyo vilevi) vilikua adimu.
3. Waislamu waitwa kucheza nyimbo ya taarabu. Toka lini taarabu NI nyimbo ya kiislamu...
Njia sahihi na salama kabisa ya kurejesha utulivu nchini ni kutafuta mlipo jikwaa nakuondoa hicho kizingiti kilicho fanya mjikwae ,
Kuendelea kudhani kwamba amani na upendo wa taifa vitarejea kwa kuendelea kutafuta vilaza wa kuendelea kulisema na kulishambulia kanisa ni kujidanganya na...
Ndugu zangu Habari !!
Bado tunaendelea na Mapambano ya kuhakikisha Hawa Wauaji walotuua hawatutawali.
Hatupo kimya, Ni Mbinu tu tumebadilisha
Je Mnajua kwann Chawa wa CCM wanajifanya suala hili liloamuriwa na Mahakama ni kama hawalioni?? Hawalipi Uzito?.
Miaka yote , CCM na magengen Yao...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Usiombe uwe bachela ni kazi si kidogo aisee
Jana kama mnavyojua ilikuwa ni Christmas hivyo asubuhi nimeenda zangu kanisani kama kawaida Kisha kwenye saa sita nikarudi zangu home nikiwa na mawazo nikale wapi maana magenge yote yalikuwa...
Yule sheikh aliyevimbiwa ubwabwa na kuwataka waislam wasile chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya sikukuu ya Christmas pia awashauri wasitumie kalenda ya wakristo.
Nchi nyingi duniani zikiwemo nchi za kiislam zinatumia kalenda ya Gregory na wala hawajawahi kusema ni haramu, inakuwaje chakula kwa...
Tarehe 14 Desemba 2025, inaripotiwa kutokea shambulio la kigaidi katika jiji la Sydney, Australia.
Kwa mujibu wa taarifa zinazosambaa, washambuliaji waliwasili katika fukwe za Bondi Beach na kufyatua risasi kwa watu wa jamii ya Kiyahudi waliokuwa wakisherehekea Hanukkah, sikukuu ya kidini ya...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Hawa wahindi wa imam Hussein dhehebu ambalo kiongozi wake ni ayatollah wanajielewa sana hawa jamaa
Kwanza hawakubali kujenga nyumba pasipo kuwawekea majiran zao Bomba la maji kwa nje
Wanachimba kisima then wanatoa maji bure kabisa
Mimi...
Hamjambo!
1. Waislam ni kama Kaini kwa ndugu yake Habil. Wanaona wivu na kuwa na hasira na maendeleo ya Wakristo.
2. Mimi kwa upande wa Baba ni Waislam. Mara yangu ya Kwanza kuingia msikitini nilishangaa Sana. Waislam wengi hawajaujenga uislam kama taasisi.
3. Unaweza kuingia msikitini Siku...
Huyu Sheikh amempinga Dkt. Kitima kuwa uhai wa watu si bora kuliko mali, laiti zingechomwa mali za wakatoliki wasingesikia matamko kutoka TEC, ila kwa sababu mali zilizochomwa ni za Waislamu na Wakristo wa madhehebu mengine ndio maana matamko.
Ameongeza kuwa kama mali za Wakatoliki...
Wakristo wa Jamiiforums Assalam Aleikum, msimu wa Christmas Mubarak unakaribia, INSHALLAH tutaalikana na kuufinya pamoja wali mchafu kama ilivyokuwa Eid kwa miaka mingi sana.
Iko hivi! Mimi ni Mwislam nina macho, nina akili nina masikio!
Kuna mashekhe Ubwabwa wamepewa kazi kuijibu TEC ili kubadilisha upepo uonekane ni mgogoro wa kidini!
Iko hivi Dini yetu ya kiislam ni dini ya HAKI NA UTU.
Tunatambua madhira yote yaliyotokea na dunia nzima imeshuhudia!
Ni kipofu...
Leo wameibuka mashehe ubwabwa na kuleta hoja za ovyo ati TEC ni wabaguzi walifanya wakanyimwa mahakama ya kadhi
Kikwete, Mwinyi wote walikuwa waislam ila upumbavu wa Mahakama ya kadhi waliukataa
Sasa sisi waislam wenye akili tunahoji mbona huyo kipenzi chao Samia yupo madarakani mwaka wa 11...
Asalam Alyekum..
Naona wameibuka mashehe ubwabwa wanaotumiwa ili kujaribu kupinga dhuruma na mauaji ya Raia
TEC walimtoa tamko la kisomi kabisa
Hawa mashehe badala wawajibu wao wanapandikiza chuki
Hivi hii Taasisi ya BAKWATA inayoshindwa kuweka mawakili kuwatetea mashehe wanaosota gerezani...
Wahadhiri wa Kiislam kwa pamoja wamesema Maandamano wakati wa uchaguzi yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka HAKI, we cannot accept this
Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC).
Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini yoyote, sasa hawa BAKWATA na wengine hawawezi kuzungumza yao bila kuishambulia TEC.
Nitarudi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.