Ndugu zangu
Ni muda mzuri wa viongozi wa dini zote kuwa Magwajima, wasambaze kirusi kwa waumini wote kwa kuwaambia ukweli kuhusu Dhuluma za CCM
Tukifanya hivi kwa mwezi mmoja tu, tunaindoa CCM katika uso wa Tanzania
Jumapili njema
Niliwahi kuishi upareni nikakuta ndani ya familia kuna wakristo na waislam wanaishi vizuri tu.
Nikaenda Zanzibar nikajiita Karim, nikapata wanawake wazuri sana, ila Walipogundua nina jina la kigalatiana walianza kunibagua japo kiuhalisia siendi msikitini wala kanisani
Jijini Dar es salaam...
Wakati wa mahakama ya kadhi
Swala la OIC wakati kuna Vatican hapa
Swala la masheikh na kesi. Wao wanataka waislam wawapigie kelele ktk harakati zao ?
Nimemsikia Lema leo akiwalaumu waislam hawatoi tamko ktk swala la no reform no election kwa sababu Rais muislam.
Swali lini CHADEMA imewapigia...
video inaonesha Islamic scholar ( mwanazuoni )mkubwa akikataza waislamu kujifunza logic and philosophy maana wakizijua wanauacha uislamu.
shehe anasema uislamu hauna mantiki, tazama video mwenyewe
shehe huyu ndie Imam wa msikiti mkuu Jeddah kwa zaidi ya miaka 20
Taifa letu linapitia nyakati ngumu za ugandamizaji wa haki, demokrasia na uhuru wa maoni.
Mambo haya hayakuanza ghafla bali yamekuwa yakizidi kuongezeka na kuota mizizi.
Leo mtu anayeikosoa Serikali au Rais, kutekwa, kupotezwa, kuuawa au hata kubambikiwa kesi mbaya, imekuwa ni jambo la...
Utakuta muislam licha ya mvua kubwa kunyesha lkn utamkuta anaenda uwanjani kushabikia Simba ay Yanga ikicheza.
Matokeo yake pesa zake zinapotea, anapata homa kutokana na mvua na pengine hio timu yake inafungwa.
Kinyume chake kukaa dakika 5 kusikiliza mawaidha, kuingia msikitini kuswali...
habari wadau,
miaka ya 1980s mwishoni katika kata ya Yombo vituka iliyopo wilaya ya temeke vilipimwa viwanja vingi sana, ambavyo wananchi walipewa na kuuziwa na manispaa ya temeke.
katika viwanja hivyo waislamu walipewa eneo kubwa la kujenga shule.
Wakatoliki na wao walipewa eneo kubwa la...
Kwa uchunguzi wangu wa haraka haraka nimegungua hilo.
Mchele au wali na ngano huwa vinatumika sana maeneo yenye Waislam wengi. Kwa Afrika, Kaskazini mwa Afrika mchele na Ngano huwa vinaliwa sana eneo hilo. Eneo la Kaskazini lina Waislam wengi. Ukija kusini mwa Equator kuna Wakristo wengi, Eneo...
Waafrika hao ndivyo walivyoelewa na siyo kwamba wao ndiyo wako sahihi kwa walivyoelewa hakuna Mwafrika mwenye akili aliye muislam au mkristo wote wanaoishi humo ni MATAHIRA kwani wanaishi kwa hofu ya moto kwa mambo ya kuhadithiwa na watu waliowatawala na wasiyokuwa na utu
Allah Akbar !!.
Jambo Moja ninalowakubali WAISLAM ni Imani na Misimamo mikali.
Quran tukufu inakata Uonevu na Dhuluma Kwa namna yoyote.
Kama Mzee Kibao alikua Kiongozi Mkubwa wa CHADEMA, na Muislam mwenzenu, vipi kuhusu Raia wa kawaida kabisaa ambaye ni Muislam na ni Mfuasi wa kawaida wa...
Mtume ﷺ alisema:
"Ole wake mtu anayesema uongo ili kuwachekesha watu. Ole wake! Ole wake!"
(Sunan Abu Dawood, 4990; Tirmidhi, 2315)
2. Mtume ﷺ alisema:
“Muumini anaweza kuwa na sifa yoyote ile, isipokuwa uongo na hiyana.”
(Musnad Ahmad, 5492)
3. Mtume ﷺ alisema:
“Hakika uongo hupelekea uovu...
Asalaam Aleykhum Warahmatullah wabarakatul
Sheikh wangu Dr. Sulle unatudanganya sana na kupotezea Waislam mwelekeo wa kupata Elimu sahihi hasa ILMU DUN'YA
Umesema kuwa jina la jiji kubwa Marekani LOS ANGELES limetokana na neno LOST ANGELS ndio maana kunq madhambi sana Marekani, kitu ambacho ni...
Kila ukigeuka huku unakuta waislam wanafuturishwa. Na huku wanasema kesho watafututisha.
Ni kama mashindano fulani hivi au kuna maagizo kutoka ngazi za juu kila taasisi ifuturushe?
Nakuja kwa upande wa waislamu, mko happy kufuturishwa? Je nyinyi ni wahitaji? Kwa nini ufuturishwe?
Mbaya zaidi...
Kutokana na malalamiko ya wanawake kunyanyaswa kingono wakati wa utekelezaji wa ibada ya Tawaf huko mji mtakatifu wa Waislam wa Makkah, Waislam wametoa wito wa eneo hilo kutenganishwa ili pawe na sehemu ya Waislam wanawake peke yao na waislam wanaume peke yao ili kuzuia unyanyasaji kingono...
Ndio, maana kimaana ya kugha ya kiswahili 'kafiri' ni mtu asiyeamini.
Na hii ipo hasa kwenye hizi dini kubwa mbili duniani.
Eti we muislam,mtu ambaye hakuzuii kujifuza dini yako,hakuzuii kufanya ibada,pengine mtu huyo ni mfanyakazi wako/boss wako/mama/baba yako n.k. je ukafiri wake ni upi ikiwa...
Siku tqjiri wa kanisa alipoudhuria ibada za katikati ya wiki, akaudhuria na mkesha wa maombi makali japo masaa matatu mchungaji alipagawa. Akawa anamtambulisha mara kumikumi.
Hii inaonekana matajiri wa kikristo hawategemewi kuwa siriasi na ibada kihivyo. Ndio maana hata mimi nikashangaa kuona...
Yani wanaanza mfungo, mara ttiiii, nyuzi karibia laki 😂😂
Mishe mishe zao mwezi huu mnaona kama zinawakera?
Anyway maisha yaendelee, mwanadamu ni zaidi ya dini ndio maana imemshinda.
Katika onyesho la kushangaza la kutovumiliana kidini, Wahindu wenye itikadi kali nchini India walibomoa nyumba ya raia wa Kiislamu kwa madai ya kuimba "Pakistan Zindabad" wakati wa mechi ya kriketi kati ya Pakistan na India.
Kwa mujibu wa ripoti za vyombo vya habari nchini humo, tukio hilo...
Wale wanaofunga mnapaswa kuelewa kuwa si kila mtu anafunga, hivyo haipaswi kuwa ni sababu ya kuwahukumu wengine, kuwaita majina ya hovyo au kuwalazimisha dini nyingine au watu wengine kufuata mtindo wa maisha wa kufunga.
. Jambo la msingi katika jamii zenye mchanganyiko wa imani. Ramadhan ni...
1. Maisha ya Waislamu Baada ya Kufa
Kwa mujibu wa Qur'an na Hadithi, Waislamu waumini wenye matendo mema wanapokufa hupata neema katika hatua zifuatazo:
a) Kaburi na Barzakh
Waislamu waumini hupokea bishara njema ya Pepo wakati wa kufa:
Qur'an 41:30-31
“Hakika wale waliosema: Mola wetu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.