Leo wameibuka mashehe ubwabwa na kuleta hoja za ovyo ati TEC ni wabaguzi walifanya wakanyimwa mahakama ya kadhi
Kikwete, Mwinyi wote walikuwa waislam ila upumbavu wa Mahakama ya kadhi waliukataa
Sasa sisi waislam wenye akili tunahoji mbona huyo kipenzi chao Samia yupo madarakani mwaka wa 11...
Asalam Alyekum..
Naona wameibuka mashehe ubwabwa wanaotumiwa ili kujaribu kupinga dhuruma na mauaji ya Raia
TEC walimtoa tamko la kisomi kabisa
Hawa mashehe badala wawajibu wao wanapandikiza chuki
Hivi hii Taasisi ya BAKWATA inayoshindwa kuweka mawakili kuwatetea mashehe wanaosota gerezani...
Wahadhiri wa Kiislam kwa pamoja wamesema Maandamano wakati wa uchaguzi yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka HAKI, we cannot accept this
Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC).
Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini yoyote, sasa hawa BAKWATA na wengine hawawezi kuzungumza yao bila kuishambulia TEC.
Nitarudi na...
Japo wamejitahidi kujitoa ufahamu, Baraza la Waislam Tanzania (BAKWATA) ni chawa aliyejigeuza au kugeuzwa taulo la kufutia damu za watanzania.
Ni aibu na udhalili sina mfano. BAKWATA unaweza kuiita Baraza la Kuu Watawala Taahira kufutia damu za watanganyika.
Naamini Samia angekuwa si...
Asalaam Aleykhum Warahmatulaah
Ndugu zangu, hasa Waislam wallah huyu Sheikh huwa ana Mawaidha ambayo yanaweza kukupa maswali mengi lakini mengi yaukweli ndani yake kwa kulingania na yaliyoandikwa katika Qur'an
LEO HII, Amesema kuwa endapo Viongozi wa Dini ya Kiislam watawataka Waumin wakutane...
Kabla hamjaandamana hiyo tarehe 29 Oktoba waulizeni kwanza wananchi wa Zanzibar 2001 kilitokea nini kwao ?
Pia waulizeni waislam wa mwembechai kilicho watokea.
Hivyo kama unatokea kwenye maandamano ya tarehe 29 Oktoba nakuambia mapema kabisa kuwa tayari kwa matokeo yoyote.
Usiandamane kwa...
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.
Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
Kwa mtazamo wa Wayahudi (Uyahudi):
1. Mungu kwa Wayahudi ni nani?
Wayahudi wanamwamini Mungu mmoja aliye wa milele, asiyeonekana, mwenye nguvu zote, aliyeumba ulimwengu. Anaitwa kwa majina kama:
YHWH (Yahweh) – Jina takatifu sana, huwa halitamkwi kwa sauti.
Elohim – Linamaanisha “Mungu” kwa...
GT
Heko na shukrani nyingi ziwafilie hawa viongozi wa Kikristo kukemea mauaji bila kuchoka. Wameokoa roho za watu wengi sana hasa kipindi hiki cha uchaguzi.
Bila makelele yao naamini hali ingekuwa mbaya sana kwa wanasiasa/wanaharakati mauaji yangekuwa mengi zaidi.
Sijajua wenzetu waislamu...
Inavyoonekana ni kwamba washirika wakubwa wa Mwalimu Nyerere katika harakati za kudai uhuru wa nchi hii walikuwa watu waliovaa balaghashia. Huenda hii ndiyo sababu ya Mwalimu Nyerere kuzoea kuvaa kofia aina hiyo muda mwingi. Pia haishangazi kuona Mwalimu Nyerere kuamua Kiswahili kiwe lugha ya...
Wako wapi Watoto wa Hayati Baba wa TAIFA, Mwl JKN?.
Wako wapi watoto wa Hayati Mkapa ? Mwanamapinduzi aliyechora ramani ya MapinduI ya kimaendeleo ya Taifa hili?.
Wako wapi Watoto wa Hayati Magufuli, Jembe lililofanya yasowezekana yakawezekana?.
Wako wapi??.
Sasa pimeni hili, Tazameni...
DAARUL MAARIFA DAY 2025
Mheshimiwa Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt Abubakar Zuber Bin Ally anawaalika Waislam wote kuhudhuria katika Maulid ya Daarul Maarif, itakayofanyika Viwanja vya Msikiti wa Mfalme Mohammad VI Bakwata Makao Makuu.
Mufti amewataka Mashekhe wote wa Mikoa, Wilaya, Kata...
Kisa cha Adam. Utangulizi 1
🧠 "Mbu" kama ufunguo wa Maarifa
Aya ya Qur'an ya Q2:26 haimtaji tu mbu kama kiumbe, bali inaunda mfano wa kipekee: kitu kidogo kinachoangaliwa na walioamini kama ishara ya haki, na na walio kufuru kama fumbo lenye kero. Hii ni changamoto ya kiakili—huwachuja wale...
Kichwa cha habari kinajotosheleza. Inakuwaje majini yanaswali na waislam kila swala lakini hawajitokezi kwenye sherehe za waislam au ni changa la macho?
Busara tuliyopewa na wazee wetu ni kutafakari zaidi yale yasiyosemwa kuliko yanayosemwa.
Haya yasiyosema yadikilizwe zaidi kama si kosa la jinai.
Kwani uongo unaporudiwa mara kwa mara huonekana ni Ukweli.
Tz kuna propaganda ya muda mrefu pale watu wanaobaguliwa kwa imani zao kuonekana ni...
Nimekuwa nikifuatilia na kusoma comments nyingi humu. Nimegundua kama kuna chuki au sijui ushindani au ujinga baina ya waislamu na wakristo.
Rejea matusi kama makobazi na wagalatia. Je tunaanza kuchukianana kugawanyika kwa dini bila kujua na kujijua? Je, kama taifa, hii inaonyesha nini?
Ajabu...
MwenyeziMungu NDIYE aliyeanzisha KWAYA KWA mara ya kwanza wakati wa Mfalme na Nabii Dawood.
Mwenyezi Mungu mwenyewe anapenda sana kuimba na muimbaji...
Sefania 3:17
BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia... Atakufurahia kwa kuimba.
KWa nini NDUGU zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.