Huyu Sheikh amempinga Dkt. Kitima kuwa uhai wa watu si bora kuliko mali, laiti zingechomwa mali za wakatoliki wasingesikia matamko kutoka TEC, ila kwa sababu mali zilizochomwa ni za Waislamu na Wakristo wa madhehebu mengine ndio maana matamko.
Ameongeza kuwa kama mali za Wakatoliki...
Sheikh anasema kwasababu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba siyo Mkatoliki zimeanza kuibuka fitina mbalimbali na kupigwa vita kutoka kwa Wakatoliki ili kumtoa kwenye reli
Hayo ndo madini ya wahadhiri wa Kiislamu wakidai kuwa Rais anapokuwa Muislam, wakatoliki hawapo tayari Makamu atoke nje ya Katoliki, au Makamu anapokuwa Muislam basi Rais asiwe Mkatoliki.
Wahadhiri wa Kiislam kwa pamoja wamesema Maandamano wakati wa uchaguzi yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka HAKI, we cannot accept this
Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC).
Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini yoyote, sasa hawa BAKWATA na wengine hawawezi kuzungumza yao bila kuishambulia TEC.
Nitarudi na...
Kuna maoni nilisoma mtu akishauri kuwa, Hawa Masheikh na Wanazuoni wanaojitokeza kushambulia TEC wanazidi kuharibu kwani wanaongea hisia badala ya Logics. Nimemsikiliza huyu Sheikh anasema kuwa Lissu alishambuliwa Dodoma, lakini TEC hawakutoa tamko lolote sababu Rais alikuwa Mkatoliki. Katika...
Wanachama wa Chama cha Wahadhiri wa Vyuo Vikuu (UASU) wameanza mgomo wao licha ya Hazina ya Taifa kutoa KSh. 2.5 bilioni kwa ajili ya utekelezaji wa awamu ya pili ya mkataba wa pamoja wa 2021–2025. Wahadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi (UoN) na Chuo Kikuu cha Maseno waligoma Septemba 17, 2025...
Kwa aina ya Watoto wa Shule za Sekondari na Vyuoni ninaowaona hapa / huku niliko walivyo Kiumbwaji na Mungu na Kiushawishi kuanzia leo GENTAMYCINE sitowalaumu tena Walimu au Wahadhiri wa Kiume wanaowatamani Kingono Wanafunzi ndani na nje ya Tanzania.
Haya Dada yangu Waziri mwana JamiiForums...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimetangaza kuwapandishwa vyeo wahadhiri wake watatu kutoka cheo cha Mhadhiri hadi Mhadhiri Mwandamizi.
Waliopandishwa ni: Dk. Mamta T. Pandey – Idara ya Sosholojia na Anthropolojia (COSS), Dk. Teresia E. Nkya – Idara ya Vimelea na Parasitolojia, Chuo cha Mbeya cha...
Mbunge wa Viti Maalumu, Thea Medard Ntara amesisitiza Serikali kuwalipa Watumishi wa Vyuo Vikuu wakiwemo wahadhiri madeni yao mbalimbali wanayodai kwa kudai wengi wao wanafanya kazi katika mazingira magumu na hawajitokezi kugoma au kuonesha utovu wa nidhamu.
Ikumbukwe Januari 2025 kuna...
Siku za nyuma, mwaka 2024, kulizuka mjadala mkubwa sana kwenye mitandao ya jamii hasa twitter. Mjadala huu ulihusu rushwa ya ngono vyuoni baada ya Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kukutwa na mwanafunzi hotelini. Sikubahatika kuiona hiyo video mpaka sasa lakini tukio hilo limeniwazisha na...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda akielezea mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, namna Serikali ilivyojipanga kutatua changamoto zilizopo katika Vyuo Vikuu vya umma Nchini, ameyasema hayo Morogoro, leo Agosti 4, 2024.
Rais Museveni ametoa agizo kwa serikali kuongeza mishahara ya walimu wanaofundisha programu za sayansi katika vyuo vikuu vya umma.
Agizo hili limetokana na taarifa iliyotolewa na Profesa Eli Katunguka, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kyambogo, ambaye alionyesha wasiwasi kuhusu changamoto...
Nilitegemea hawa wasomi wa ngazi za juu kujitokeza hadharani kutoa maoni yao kuhusu hiki kinachoendelea nchini, badala yake wanagugumia chini chini tu.
Sasa ikiwa hawa watu wenye jukumu la kubrush akili za vijana wetu wanakuwa waoga kiasi hiki, vipi hawa wasomi wanaoingia mtaani kama matokeo ya...
Wabunge wameibua hoja sita katika mjadala wa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka 2023/24. Hoja hizo ni miundombinu hatarishi shuleni na vyuoni, mwonekano mbaya wa vijana walioko vyuoni, kuongezeka kwa wanafunzi wanaoondolewa chuoni baada ya kufeli...
Katika Mjadala wa ClubHouse wa kuhusu mageuzi ya elimu nchini, uliiongozwa na Gerson Msigwa na Waziri wa Elimu akiwa mzungumzaji, nimependa mambo mengi waliyozungumza kuhusu umuhimu wa tafiti.
Katika hoja zilizotajwa kulikuwa na hoja ya kuwa na tafiti nyingi nchini, suala ambalo Waziri wa Elimu...
Nimemsoma mkuu wa chuo kikuu huria cha Tanzania, OUT akimuomba makamu wa Rais, Mh Mpango awaongezee wahadhiri wa vyuo vikuu muda wa kustaafu Kutoka miaka 60 ya sasa hadi miaka 70.
Kwa kuwa umri wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 65, kuna faida yoyote kuwaongezea umri wa kustaafu wahadhiri hao...
Hizi kazi za serikali ni kujuana tu na ukishapata hamna kazi inayofanywa huko na competence haiangaliwi kazini kwa sababu hakuna mtu wa kuwaangali ukilinganisha na private sector ambapo results oriented.
Utakuta mtu ni HR kwenye let say chuo kikuu Cha umma au chuo kama TIA lakini hajui lolote...
WAHADHIRI WA ELIMU YA JUU NA MATUMIZI MABAYA YA RATIBA ZA MASOMO.
UTANGULIZI;
Kwa kawaida, miaka ya masomo kwa elimu ya juu huwa ina mihula miwili yaani muhula wa kwanza na wa pili wa masomo. Wahadhiri wengi wamekuwa wakitumia vibaya muda uliowekwa wa masomo na hivyo kupelekea malimbikizi...
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimetangaza nafasi mbalimbali za wakufunzi. Shime kwa wale wenye vigezo, nia na raghba ya kufundisha vijana, tafadhali changamkieni fursa hizo.
Tangazo la ajira ni kama ifuatavyo:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.