waganga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Haya ni machache kati ya mengi niliyoyasikia au kuyaona kutoka kwa maustaz, wachungaji na waganga wa kienyeji. Je, na wewe ushashuhudia lipi?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu zangu katika nchi yetu kuna watu wamekuwa wakisabishiwa, au kusababisha wenyewe vifo vya ndugu zao bila wenyewe kujijua kutokana na imani zao, au mawazo yao. Hapo chini ni matukio mawili kati ya mengi ambayo nimeyashuhudia mimi mwenyewe. 1. Mnamo mwishoni...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Ambao hatujawahi kuchanjwa chale wala kwenda kwa waganga licha ya kuishi kwenye mazingira yenye uchawi sana tukutane hapa

    Swalama Wananzengo. Kila mtu anazaliwa na kinga yake ya kimwili na ya kiroho. Kinga nyingine tunaziongezea baada ya kuzaliwa kama kinga ya magonjwa ya surua, polio, kifua kikuu, dondakoo nk Wengine sasa huenda mbali zaidi kwa kuongeza kinga za kiroho kwa kuchanjwa chale na waganga, kumezeshwa...
  3. tpaul

    JamiiForums Tanzania Hasara za walimu na waganga wa kujitolea ni kubwa kuliko faida

    Serikali inapaswa kufikiria mara mbili kabla ya kutekeleza programu ya walimu na waganga wa kujitotea. Kwa mujibu wa utafiti wa haraka nilioufanya, nimebaini hasara zake ni kubwa mara 100 kuliko faida. Utafiti wangu umejikita katika hoja zifuarazo: Mosi, kwa mujibu wa muongozo uliotolewa na...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waganga wa Kienyeji Mkoani Rukwa: Mkoa wa Rukwa tunaonewa sana huku hakuna Uchawi kama tunavyochafuliwa

    "Yaani ukisema tu unatokea Mkoa wa Rukwa unaanza Kuogopwa na kuhisiwa vibaya. Sisi kama Waganga wa Kienyeji tunasema Watu wa Rukwa siyo Wachawi na ni Watu Wastaarabu mno kuliko Mikoa mingine ambayo ndiyo ina Uchawi mwingi kuliko hapa Kwetu" amesema Mmoja wa Waganga wa Kienyeji aliyewawakilisha...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, hawa Waganga wetu Wawili wa Congo DR watarejea Kwao kwa Kufeli Jana au tunaenda nao nchini Algeria?

    Najua mnae wa Kucheza Mechi zenu za Ndani tu ( NBC Premier League ) kutoka Kilosa Morogoro na mnae yule wa Kucheza Mechi zenu za Kimataifa tu atokaye Uvinza Mkoani Kigoma ila kwa kupenda Kwenu Ushirikina mlivyoenda Congo DR kucheza na TP Mazembe FC Wachezaji wenu Mayele na Moloko...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Video: Haya mambo ya siri kwa wataalam kwanini yanasambazwa kiholela hivi, vya huko huwaga ni siri inayobaki huko huko, si mambo ya kutangaza

    Nimeona kuna video inarekodi kijana amechanjiwa kinga huku mtaalam akiijaribu, ni aina ya kinga kwa huko Kongo lakini hata Kwa mikoa jirani hasa Kigoma wapo wataalam. kuna huyu mpuuzi yupo na simu anarekodi sasa video imevuja mitandaoni, alichofanya ni ujinga uliopitiliza, hata wazungu...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waganga wa jadi 10 wapelekwa Kigoma kupambana na Wachawi, DC aweka ngumu

    Wananchi wa Kijiji cha Sunuka, Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma wameshirikiana na Serikali ya Kijiji kuchukua Waganga wa Jadi zaidi ya 10 kutoka Sumbawanga ili kukagua wachawi waliomo ndani ya kijiji chao wakidai ndicho chanzo cha utitiri wa vifo vya vijana katika mazingira ya kutatanisha. Baadhi...
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Nyie mnaoenda kwa Waganga na kwa manabii , ili mtoboe niwaambie hamna kitu Mtapata .

    Tangu nijunge JF the home of Great thinkers wenye fikra pana . Niseme tu tunahitaji mikakati kuondoa dhana kuwa umasikini Ni laana .ili watu wasiende kutafta upako kwa manabii fake na kuroga . Mimi nataka niseme kuwa umasikini tumerithi Kama watu wengine wanavyorithi utajiri Wazazi Fahamu...
  9. Blue-ish

    JamiiForums Tanzania Waganga wa kienyeji acheni utapeli

    waganga wa kienyeji acheni utapeli
  10. K

    JamiiForums Tanzania Chama cha Waganga wa Tiba Asilia Simiyu, wakana chama chao kujaa makada wa CCM

    Mara baada ya kuibuka maneno mengi mitaani kuwa Chama cha Waganga wa Tiba Asilia na Tiba Mbadala Mkoa wa Simiyu kina makada wengi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwenyekiti wa umoja huo, Mayunga Kidoyai amefafanua kuwa taaluma yao au kazi ya mtu binafsi haiwezi kuingiliana na suala la kichama kwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Chama cha Waganga wa tiba asilia Mkoa wa Simiyu, kimegeuka chama cha kisiasa

    Chama cha waganga wa tiba asilia Mkoa wa Simiyu, Machi 12, 2023 kimefanya Uchaguzi Mkuu wa Viongozi wake, ambao watakiongoza chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano. Hata hivyo baada ya uchaguzi huo, swali kwa watu wengi limekuja Je? Chama hicho kimegeuka kuwa cha kisiasa? Tunajua kazi ya...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mbeya awataka Polisi kuwakamata Waganga wapiga ramli chonganishi

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Comrade Juma Zuberi Homera amewataka makamanda wa Polisi wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa na Songwe kushirikiana katika kuzuia na kudhibiti biashara haramu ya usafirishaji binadamu katika mikoa yao. Homera ameyasema hayo wakati akifungua...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Farhia Middley wa Redio One na ITV: Wanawake Wanaowaendea Wanaume wao kwa Waganga wa Kienyeji wako sahihi 100%

    "Huenda kutokana na Kumpenda na kutotaka Mumewe / Mpenziwe huyo asihangaike na Wanawake Wengine anaenda huko kwa Waganga wa Kienyeji Kumroga atulie nae tu na waweze Kulea Familia pamoja hivyo hata Mimi naungana nao kwenda huko" Chanzo Taarifa: Radio One Mazungumzo ya Familia leo Haya Wanaume...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kitu kiko Jikoni tayari kinapakuliwa wakati wowote hivyo tuwapigie Simu Waganga wetu wa Kienyeji watuokoe ili tusinyolewe mazima

    Huenda kuna Mtu ama Watanzania tukaenda nae pamoja Kuhamia nchini Burundi na Basi la Esther au tukajikita zaidi na Kilimo cha Mafuta ya Alizeti au Kufuga Kuku Mkoani Singida.
  15. F

    JamiiForums Tanzania Waganga wa kienyeji kutapeli na kuua watu mara kwa mara, kwanini serikali haiwachukulii hatua?

    Habari wadau. Binafsi najiuliza, kwanini waganga wa kienyeji wanaruhusiwa kutoa huduma zao huku ni matapeli? Mwalimu kauliwa Musoma na kuibiwa milion 9 na waganga wa kienyeji. Mwaka jana Moshi binti akishirikiana na waganga wa kienyeji walimuua mama nesi mstaafu baada ya kumtapeli mafao zaidi...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TMA yatabiri mvua za wastani lakini yatoa angalizo mvua kubwa ya vipindi vifupi katika msimu wa Machi-Mei 2023

    Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Ladislaus Chang’a ametangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za masika zinazoanza Machi mpaka Mei, 2023 ambazo zinatarajiwa kuwa za wastani huku baadhi ya mikoa kuwa wastani na juu ya wastani. MWENENDO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2022...
  17. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi kujifunza ushirikina kama utakuwa mfuasi wa waganga wakienyeji

    Ona mambo haya ni uchawi mtu tafadhari usijaribu utaenda kuangamia, mimi nakufunulia ila usiyafanye. Vipi unaweza ficha kivuli chako na mshirikina asikione kwa namna yeyote? kwa sababu wachawi wanapotaka kumloga mtu, huchukua na hushambulia kivuli chake. ( Hapa sizungumzii kivuli cha juani...
  18. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Kwa wale muendao kwa waganga wa kienyeji...

    👉Tambua ushaibiwa nyota yako. 👉 Umepoteza nuru yako binafsi. 👉 Umepoteza uwezo wako binafs. 👉 Hufanyi kitu bila kuwaza mashariti. 👉 Una mahamuzi sahihi kuhusu changamoto zinazokukabili. 👉 Tambua kivuli chako ndo nyota yako (kitaalamu) so kivuli chako kikifunikwa hapo huwezi fanikiwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kuwa CCM imesimika mizizi kiasi cha kutoachia dola. Bali hakuna upinzani madhubuti Zitto na Mbowe ni waganga njaa

    Hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida. Watu hawana hata uhakika wa kula. Leo hii nafaka zimepaa. Wananchi wanakosa hata pesa ya kupeleka shule na kununua sare. Maji mijini na vijijini yanapatikana kwa shida. CcM imefeli. Imefanikiwa kupandikiza mamluki ACT Wazalendo na CHADEMA.
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini nguvu za waganga wa kienyeji wengi wakianza ufuska/umalaya nguvu zao za tiba zinaisha?

    Wasalaam nyote, Tukubbali tukatae Rais Hassan. Anaupiga mwingi, 🙏🙏🙏🙏🙏 Niende kwenye mada moja kwa zote, katika harakati zangu za kuchangamana na watu mbalimbali sehemu nyingi katika mizunguko ya kikazi hasa ndani ya nchi si mara moja nimewasikia wakulungwa wakisema. Mganga wa kienyeji awaye...
Back
Top Bottom