Shalom shalom
Nenda moja kwa moja Kwenye mada
Kwamuda mrefu nimekua mkazi wa mbeya watu wa huku wengi wameshika dini sana ukiwaona kwa nje na hata kuongoza kuwa na manabii na mitume wengi kushinda hata Israel yenyewe taifa teule.
Watu wa huku wengi ni wakristo karibu asilimia 99 mchana wako...
Mganga wa tiba asilia wanataratibu zao za kuzikwa ikitokea amefariki dunia
● kaburi huchimbwa kama kisima namaanisha in circle form.
● huzikwa akiwa amekarishwa kwenye kiti chake cha uganga (Kigoda)
● It means kwamba jeneza lake litawekwa kwa kusimamishwa kama kabati
● kama alikuwa anamiliki...
Kuna mdau ni rafiki wa muda mrefu tangu tukiwa shule ya msingi.
elimu ipo, roho safi na kwa bahati nzuri alipata connection kuajiriwa moja ya shirika kubwa, so yupo vizuri financially.
Sasa tangu aoe hali imekuwa tete, nasema ni tete kwasababu sio kawaida mwanaume mwenzako kuja kukuomba...
Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha.
Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita , SACP. Safia Jongo amewaonya baadhi ya Waganga wa kienyeji ambao wamekuwa wakituhumiwa kuwatibu Wanawake kwa kuwarubuni na kufanya nao zinaa huku wakiwarekodi na kuwatishia kuziachia video hizo endapo wataachana, jambo ambalo ni kosa kwa mujibu wa sheria.
Hayo...
Kupitia post na mazungumzo na Mr IQ intelligence mshana Jr The platinum nimejifunza haya hapa.
01.Waganga wanafanya KAZI kwa kumuomba Mungu, na wewe usimuombe Mungu kupitia mganga(Muombe Mungu moja kwa moja utafamikiwa)
02.Sema sana ongea sana ila Usiombe yakukute.
03.kwenye maisha Kuna...
Kuna jirani nasikiaga ni mganga wa kienyeji, kila akienda huko ofisini kwake (Nadhani ni Manzese na Kariakoo) huwa anarudi na nyama za mbuzi, kondoo, kuku nk. (wanasema za wanyama alioletewa kwa ajili ya kafara na wateja wake) Siku zingine anagawa kwa jirani zake. Mganga mwenyewe bwana mdogo tu...
Hii tabia inaharibu sifa na wadhifa kwa binadamu hasa jinsia ya kike.
Embu pata picha hapo Mwanza maeneo ya Capri point, mdada mzuri jamii ya kisukuma, shepu imesimama halafu amewekwa chale eneo la paji la uso yaani katikati ya macho?
Hii inaharibu hdi soko lake.
Kule Bariadi, Itilima na...
Wanawake wamejawa na uovu mwingi kuliko wanaume na ndio vinara hata kwenye ushirikina hata kwenye maombezi wanawake huwa wanaoongoza kuanguka mapepo kutokana matendo yao yanavutia zaidi pepo wachafu , fanya tafiti wateja wakubwa wa waganga au hata manabii uchwara ni wanawake
Mwanasiasa wa Pakistan
Tengeneza makazi ya wazi na ya siri
Usile kizembe
Tembea na silaha za jadi na miliki kihalali silaha za kisasa
Tafuta waganga wenye uwezo wa Kuuwa mtu akikuumiza,kukusingizia kesi aliyekukamata hakimu aliyekuhukumu wakili anayetetea maovu usimuachie Mungu
Naamini wahanga wa sms za kugangwa mnazipata. Hawa waganga wa kienyeji nani anawapa namba za simu maana wanahisi kila mtu ni muumini wao wanatuma sms kila wakihisi umepata mshahara
Na mifano mingi nimeona mtu alikuwa vizuri baada ya mambo kwenda kinyuma ndio wanaongoza kuwa daftari la kuwai namba nyumba za ibada na wengine kuwa wapenzi wazuri wa ulonzi kila jambo.
Nenda misikitini au makanisani wamejazana wengi wanashida tuje huku kwenye giza kama wote.
Kuna watu na...
Mkoa wa Tabora umeanzisha oparesheni maalamu ya kukabiliana na ugonjwa wa mlipuko wa mpox kwa kuandaa vituo tengefu kwenye Hospitali za Wilaya zote za mkoa huo pamoja na vituo vya afya ili kuwahudumia kwa kina wagonjwa wa mlipuko huo endapo watabainika, huku wataalamu wa afya ngazi ya mkoa...
Mkuu wa idara ya Afya,Lishe na Ustawi Halmashauri ya Wilaya ya Meru Dkt. Evarist Chiweka ameongoza kikao kazi cha Waganga wafawidhi na waratibu wa Afya ngazi ya Halmashauri kujadili Taarifa ya utekelezaji Robo ya pili ya Mwaka 2024-2025.
Aidha Dkt. Chiweka katika kikao hiko amewataka Waganga...
Sasa nikajisemea haijalishi magumu haya nayopitia, sitaki niipoteze na nafsi yangu pia na labda familia yangu kwa ajili ya maisha mazuri.
Ushawahi kujiuliza baada ya kwenda kwa mganga ni ipi stori ya nyuma inabaki ambayo wewe haujui, nini kinabaki katika roho yako, nini kinafanyika katika nafsi...
Kila mtu kuna madhabahu yake anayotoa sadaka, wengine madhabahu zao ni bar, wengine kwenye vinena vya malaya, wengine kwa waganga, wengine ni kwenye perfumes za bei mbaya, wengine kwenye simu, wengine kwenye magari ya kifari.
Kule pesa yako nyingi iendako, ndiko kwenye madhabahu yako.
Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Ni Tofauti au Ndugu Wanaotumia Lugha Tofauti?
👇👇👇👇👇👇👇
https://www.jamiiforums.com/threads/waganga-wa-kienyeji-na-wachungaji-wa-maombi-binafsi-wajanja-wanaocheza-na-akili-za-wanawake.2314695/
atahari za kisaikolojia
hizi
mahusiano
matatizo y uzazi
matatizo ya akili
mbili
miujiza
moja
msongo wa mawazo
paranoia
sarafu
sarafu moja
suluhisho halisi
udanganyifu
utegemezi
wachungaji
waganga
wanawake
Katika dunia inayokumbwa na matatizo yasiyokwisha—mahusiano yaliyovunjika, matatizo ya kiuchumi, na ndoto zilizokwama—watu wamegawanyika katika makundi mawili. Wapo wanaotafuta suluhisho kwa kutumia akili, na wapo wanaokimbilia miujiza isiyo na msingi wowote wa kisayansi. Sehemu kubwa ya kundi...
Leo imethibitika huko Pangani kwenye mkutano wa Rais kuwa Injinia anashindaga huko kusaka waganga kwenye mechi za Simba vs Yanga, yaan waganga hao kazi yao ni kufifisha nyota ya wachezaji wa Simba na kuzipeleka kwao.
Ina maana kuwa timu hii ina mambo ya ulozi sana kiukweli.
Sio Pangani tu hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.