wafungwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    JamiiForums Tanzania Urusi kuwapa msamaha wafungwa watakaojitolea kwenda kufa Ukraine, hali mbaya

    Urusi inajaribu kila mbinu kuficha aibu inayotokana na mapigo wanayopata kutoka kwa kataifa kadogo saizi ya mkoa wao mmoja, inapanga kuwapa msamaha wafungwa watakaojitolea kwenda kufa Ukraine, pia walinzi wa kwenye mageti wenye uwezo wa kufyatua bunduki. ================== WASHINGTON (Reuters)...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Magereza mrekebishe tabia za wahalifu

    Rais Samia amelitaka jeshi la magereza kuwarekebisha tabia wahalifu walioko magerezani kwa kuwa sio wote walioko magereza ni wahalifu waliokubuhu. Ambapo amesema, kushindwa kuwarekebisha tabia kunawafanya wahalifu watende makosa zaidi mara baada ya kurudi uraiani kwa kuwa wanakuwa hawana namna...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Urusi ipo tayari kubadilishana wafungwa na Marekani

    Urusi imeonesha dalili za kuwa tayari kwa mazungumzo ya kubadilishana wafungwa siku moja baada ya Mahakama ya Urusi kumuhukumu mchezaji wa kikapu wa Marekani, Brittney Griner kifungo cha miaka tisa jela. Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesema wapo tayari kwa mazungumzo hayo kwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wafungwa wa kisiasa kutoka jimbo la Ukerewe washinda rufaa yao na kuachiwa huru

    28 July 2022 Ukerewe, Mwanza MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KTK KESI No. 171 OF 2021, YAWAACHIA HURU WANACHAMA WA CHADEMA Waliokuwa wagombea udiwani kupitia chama cha CHADEMA washinda rufaa yao na kuachiwa huru. Mzizi wa Hii kesi ilitokea wakati wa kurudisha fomu za udiwani, walipigwa risasi...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Misri imewaachia huru wafungwa 7 akiwemo mwandishi

    Misri imewaachia huru wafungwa saba wakiwemo mwandishi wa habari Hisham Fouad pamoja na mtafiti wa masuala ya binadamu (anthropology) Ahmed Samir ambao walikuwa wakishtakiwa na makosa yanayohusiana na ugaidi. Hatua hiyo imefanyika siku moja baada ya Serikali ya Rais Abdel Fattah el-Sissi kutoa...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Wadau wa Haki za binadamu watoa wito kwa wafungwa 9,000 kuachiwa huru Tigray

    Shirika la kutetea haki za binadamu nchini humo limetoa wito wa kuachiliwa mara moja kwa maelfu ya watu wa Tigray wanaozuiliwa katika kambi mbili katika eneo la kaskazini-mashariki la Afar tokea Desemba 2021 kinyume cha sheria. Inaelezwa kuwa ukosefu wa huduma za kimatibabu katika kambi hizo...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Ecuador: Wafungwa zaidi ya 40 wauawa kwenye ghasia

    Takriban wafungwa 43 wameuawa kufuatia ghasia kati ya magenge hasimu ya Los Lobos na R7 kwenye gereza la Santo Domingo. Ecuador inapambana na wimbi la ghasia zinazohusisha magenge ya uhalifu, na hivi karibuni imeshuhudia vurugu mbaya zaidi katika historia Mbali na vifo, Jeshi la Polisi limesema...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Mei 2022, Mahakama kuanza kupokea maoni ya wafungwa, mahabusu

    Kuanzia mwezi Mei, 2022, Mahakama itaanza utaratibu maalum wa kupokea maoni kwa wafungwa na mahabusu kwa kutumia mfumo wa dodoso kuhusu mwenendo wa utoaji haki. Akizungumza jana na waandishi wa habari kuhusu muendelezo wa huduma kwenye kituo cha kupokea maoni ya wateja wa mahakama, Mtendaji...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania Rais wa Misri atoa msamaha kwa mwanahabari na wafungwa 3,000

    Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi ametoa msamaha kwa mwanahabari aliyefungwa jela kwa madai ya “kusambaza habari za uongo”, msamaha ambao umeenda sambambana zaidi ya wafungwa 3,000. Mwandishi huyo Hossam Moniss alihukumiwa kifungo cha miaka minne jela Novemba kwa shtaka la kusambaza habari za...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Muungano 2022: Rais Samia asamehe wafungwa 3,826

    Katika kuadhimisha Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rais Samia Suluhu Hassan amewasamehe wafungwa wapatao 3,826 kwa masharti mbalimbali Msamaha huo utahusisha Wafungwa wanaotumikia adhabu kwa makosa ya usafirishaji wa Dawa za Kulevya ambao wamekaa gerezani kuanzia miaka 20 na...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sijakuelewa hapa unapotaka Kushauri na Kuamrisha kuwa Jina la Wafungwa libadilishwe na sasa wawe wanaitwa Wanafunzi

    Yaani Mtu Kaiba na Kaua au amesababisha Hatari Kubwa ama katika Jamii au Nchi halafu akihukumiwa na Mahakama kwenda Jela Kisheria asiitwe tena Mfungwa na sasa aitwe Mwanafunzi? Kwahiyo Mbakaji awe anaitwa Mwanafunzi Mbakaji, Muuaji nae awe anaitwa Mwanafunzi Muuaji huku Jambazi nae awe anaitwa...
  12. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini msitumie taasisi za kidini kumtetea mhalifu

    Hapo vipi! Jana nimesikia maombi ya viongozi wa dini kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kiukweli kinachoonekana hapo nikwamba baadhi ya viongozi wa dini ni wanasiasa wenye mrengo fulani, lakini namuona kiongozi mmoja wa dini ambaye ndio, aliyepanga huo makakati kwa lengo la kumuombea...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Wafungwa wenye uzoefu wa kijeshi kuachiwa ili wasaidie kupambania nchi yao

    Muendesha Mshataka Mkuu wa Serikali ya Ukraine ametangaza kuwaachia wafungwa wote wenye uzoefu wa kijeshi ili wasaidie kuipigania nchi yao Baadhi ya wafungwa wameshaanza kuachiwa. Ili kuweza kupambana na majeshi ya Urusi ambayo yameendelea kupiga nchi hiyo Aidha wanawake wa nchi hiyo wamesema...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wafungwa wapatao 130 watoroka jela nchini Ethiopia

    Takriban nusu ya wale waliotoroka kutoka jela nchini Ethiopia mapema asubuhi ya Jumatano bado hawajapatikana. Kwa jumla, wafungwa 130 walitoroka jela katika mji wa Nefas Mewcha katika eneo la Amhara. Walisaidiwa na wale wanaodai kuwa wanachama wa wanamgambo wa Fano ambao wamekuwa wakipigana...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Ethiopia yatoa msamaha kwa wafungwa wa upinzani

    Serikali ya Ethiopia imesema itawaachia Viongozi kadhaa wa Upinzani, ikiwa ni jitihada za kuleta maridhiano ya kitaifa na kuhamasisha amani. Imeelezwa, Viongozi wa Tigrayan People's Liberation Front (TPLF) watakuwa miongoni mwa waliopata Msamaha huo. Vikosi vya Serikali vimekuwa vikipigana na...
  16. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Ecuador: Wafungwa 68 wauawa katika mapigano ya magenge hasimu

    Takriban wafungwa 68 wameuawa kwenye mapigano mapya katika gereza la Ecuador. Ghasia katika gereza la Litoral katika mji wa Guayaquil inasemekana zilianza Ijumaa jioni. Ripoti zinasema Polisi ambao wameingia kwenye majengo ya magereza wamekuta bunduki na vilipuzi. Zaidi ya wafungwa 100...
  17. ba4

    JamiiForums Tanzania Kwanini magereza yote wafungwa huvaa rangi ya orange?

    Naona utaratibu wa magereza mengi hapa duniani wanavaa nguo za rangi ya orange, wenye maarifa mnaweza kunielewesha?
  18. chivala

    JamiiForums Tanzania Israel: Wafungwa wanne kati ya 6 waliotoroka wakamatwa tena

    Maafisa wa usalama wa Israel wasibitisha kuwakamata wafungwa wa 4 kati ya 6 hatari wa wanamgambo wa kipalestina waliotoroka kwenye gereza lenye ulinzi mkali la Gilboa.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleka: Freeman Mbowe amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa gerezani

    Nimeshtushwa na kusikitishwa sana, na hii taarifa kuwa mh. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kuwekwa 'Condemn'. Yaan kuwekwa katika gerezani kwa kuchanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Hii Ina leta maana kwamba wanamuandaa na kumtesa kisaikolojia kufanya ajiskie si chochote, na...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mbunge ataka wafungwa waende gerezani na magodoro

    Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Songwe Neema Gerald, amesema kuwa ili kuipunguzia serikali mzigo wa kununua magodoro kwa ajili ya wafungwa na mahabusu gerezani, basi ione haja ya wafungwa hao kuwa wanaenda na magodoro yao. Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Songwe Neema Gerald Mbunge huyo ametoa...
Back
Top Bottom