Rais wa Misri atoa msamaha kwa mwanahabari na wafungwa 3,000

BigTall

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
422
1,049
1024x576_cmsv2_66bef3c9-90ac-5343-90e4-504e403307ef-6665336.jpg

Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi ametoa msamaha kwa mwanahabari aliyefungwa jela kwa madai ya “kusambaza habari za uongo”, msamaha ambao umeenda sambambana zaidi ya wafungwa 3,000.

Mwandishi huyo Hossam Moniss alihukumiwa kifungo cha miaka minne jela Novemba kwa shtaka la kusambaza habari za uongo, shtaka linalotumiwa mara nyingi dhidi ya wapinzani nchini Misri.

Vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kusamehewa kwa Moniss jana Aprili 27, 2022 wakati wakili Tarek al-Awady na mjumbe wa kamati ya msamaha ya Rais iliyoundwa hivi karibuni, kuandika kwenye Twitter “hongera, Hossam Moniss amesamehewa.”

Wizara ya Mambo ya Ndani imesema baadae katika taarifa kwamba wafungwa 3,273 waliokutwa na hatia katika kesi za uhalifu wamepata msamaha wa Rais.

Moniss alikamatwa mwaka wa 2019 pamoja na baadhi ya wabunge wa upinzani waliokuwa wanajiandaa kugombea kwenye uchaguzi wa bunge mwaka wa 2020, chini ya kundi la ushirika “Hope Coalition”.


Source: Africanews

===================================

Over 3000 prisoners pardoned in Egypt

Egyptian President, Abdel Fattah al-Sissi has pardoned over 3000 prisoners, including journalist Hossam Moniss, who was jailed for "spreading false news", authorities said on Wednesday.

The pardon was on the anniversary of the "liberation of Sinai", a peninsula occupied by Israel between 1967 and 25 April 1982, the interior ministry said in a statement.

Mr Moniss, a figure of the Egyptian left, had been sentenced to four years in prison in November for "spreading false news", a charge regularly used against opponents in Egypt, according to human rights NGOs.

He was arrested in 2019 with other opponents who attempted to form an alliance under the name "Coalition of Hope" with an ambition to run for parliament in 2020.

A special court sentenced him and five other opponents -including former MP Ziad el-Elaimi, a figure in the 2011 popular revolution that toppled President Hosni Mubarak- to sentences ranging from three to five years in prison.

"Congratulations, Hossam Moniss has been pardoned," tweeted lawyer Tarek al-Awady.

The announcement comes three days after the release of 41 political prisoners on remand, including several figures from the 2011 revolt.

Other presidential pardons, traditionally granted to hundreds of prisoners for the end of the Muslim fasting month of Ramadan, could also be announced in early May.

Egypt has more than 60,000 prisoners of conscience, including "peaceful activists, human rights defenders, lawyers, academics and journalists detained solely for exercising their rights to freedom of expression, peaceful assembly and association", according to Amnesty International.
 
Back
Top Bottom