wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee, ambapo sherehe za Wafanyakazi yaani Mei mosi zinaratibiwa na kuandaliwa na Serikali na sio vyama vya wafanyakazi

    Kwenye picha hapo ni Viongozi wa Serikali eti wanakagua maandalizi ya uwanja kwa ajili ya mei mosi. Hizi kwa mchi zote Duniani hata kule Somalia ni sherehe za wafanya kazi tu. Bado unakuta wafanya kazi wana taguta mchawi wa masilahi yao? Hakuna Taifa isipo kuwa Tanzania ambako Sherehe za...
  2. JamiiForums Tanzania Nawatakia kila la heri wafanyakazi wote kuelekea siku yenu ya Mei Mosi

    WaTanzania wanajivunia weledi, umakini, uaminifu na uchapakazi wenu katika kuwatumikia bila kuchoka, bila kukata tamaa na bila upendeleo wala ubaguzi. Wanachi wanashauku na imani kubwa mno kwenu na wanategemea huduma bora zadi tuendako. Ustahimilivu wenu, subra na kujitolea kwenu kumewafanya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kitendo cha Halmashauri ya Tunduru kutuunga wafanyakazi wapya katika vyama vya wafanyakazi bila kutupa nafasi ya kuchagua si cha kiungwana

    Tungepewa uUhuru tuchague Kati ya TUGHE na TALGHU tujiunge na chama gani baada ya wote kutuelezea faida na maslahi tutakayopata endapo tutajiunga na chama husika. Lakini imekuwa tofauti tumejikuta tunakatwa hela kwenye mshahara na hatujui inaenda wapi. Tulipofuatilia ndipo tuligundua hilo...
  4. JamiiForums Tanzania Habari za hasubuhi wafanyakazi, wafanya biashara na wajasiliamali naomba anae jua biashara ya kujenga frem za kupangisha anipe maelekezo

    Wana JAMII FORUMS naomba anae jua biashara ya frem za kupangisha anipe maelekezo nahitaji kuwekeza kwenye hii sector
  5. JamiiForums Tanzania Habari za hasubuhi wafanyakazi, wafanya biashara na wajasiliamali naomba anae jua biashara ya kujenga frem za kupangisha anipe maelekezo

    Wana JAMII FORUM naomba anae jua biashara ya frem za kupangisha anipe maelekezo nahitaji kuwekeza kwenye hii sector
  6. JamiiForums Tanzania Hivi wafanyakazi wa sheli wana shida gani?

    Kuna hawa wadada wanafanya kazi sheri na vijana wakiume mda wote wana hasira huduma zao mbovu sana leo nimepitia pale sheri moja kufika nikamwambia niwekee mafuta ya kiasi fulani nikawa na scan nalipia kwa lipa namba nimelipa vizuri nikamwambia nishalipia kwa lipa namba Wakaanza kunifokea...
  7. JamiiForums Tanzania Migogoro ya wafanyakazi na waajiri makazini

    Wafanyakazi wengi hutaka maisha yao yafanane na ya waajiri wao baada ya kuanza kufanya kazi ndani ya muda mfupi. Waajiri kutaka maisha ya wafanyakazi wao kubakia yalivyo miaka na miaka. Hasa waajiri wa kutokea Asia.
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ifanyie maboresho mfumo wa kuajiri wafanyakazi wa TRA

    Ni muhimu kwa serikali ikafanya maboresho kwenye kuajiri wafanyakazi wa TRA hii itaongeza ufanisi Wapewe mikataba ya miaka 15 baada ya hapo waajiriwe wengine
  9. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati watanzania wafanyakazi wanaofilisi makampuni sekta binafsi

    Nimeona hili suala mtaani twitter na nimseoma comments zinasema ni MBET, nimesikitika sana, yani wafanyakazi wanaibia kampuni mpaka mtu anafunga kampuni na kuondoka? Nikikumbuka hivi ndivyo imalaseko, nakumatt na game na shoprite ilivyofunga, ukiwauliza wengi wanasema hawaoni faida ila bidhaa...
  10. JamiiForums Tanzania Tabia ya Hawa wafanyakazi wenzangu, inaninyima raha

    Habari, Hivi Watanzania huu mtindo wa kuomba lift kwenye gari za watu muda wote mmeutoa wapi? Walau mtu awe jirani yako umemkuta mbali huko kidogo ina make sense. Sasa ndugu zangu mtu kazini wanakuvizia kwenye parking inakera sana aisee. Tena zaidi mtu unamuuliza unaenda wapi badala akujibu na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Jedwali kamili la mishahara ya wafanyakazi wa TRA, Loooh !! 😋😋

  12. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 1,300 wa Voice of America wapewa likizo ya lazima baada ya maelekezo ya Rais Trump

    Zaidi ya Wafanyakazi 1,300 wa Voice of America wametakiwa kupumzika, maelekezo ambayo wamepewa ikiwa ni muda mfupi baada ya Serikali ya Marekani chini ya Rais Donald Trump kutoa maelekezo ya kusitishwa kwa ufadhili kwa Vyombo vya Habari ambavyo vinafadhiliwa na Serikali hiyo Mkurugenzi wa VoA...
  13. JamiiForums Tanzania Simbachawene alikiri 40% ya Watumishi wa Umma ni Wazembe, Wavivu, incompetents, kwanini Serikali iendelee kuwabeba?

    Huku mtaani kuna kundi la watu wengi hawana ajira na wamekuwa wakipambana juu chini kutafuta ajira wakiwemo Vijana. Wakati huohuo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene hivi karibuni alinukuliwa akisema kwa mujibu wa utafiti...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Malalamiko ya wafanyakazi wa Bandari waliosimamishwa kazi kwa tuhuma za kushindwa kukusanya tozo za wharfage katika bandari kavu

    Habari wanajamvi wote wa Jamii Forums, Naomba kushea nao maumivu waliyonayo baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wa Mamlaka ya BAndari Tanzania (TPA) ambao walikutwa na kadhia ya kusimamishwa kazi kwa tuhuma za kushindwa kukusanya tozo za wharfage katika bandari kavu. Wafanyakazi hawa...
  15. JamiiForums Tanzania Angalizo: Kuweni makini na wafanyakazi wa Kimalawi, wamekuwa wezi kila sehemu

    Angalizo tu HABARINI za asubuhi kwa ujumla Naamini wote mmeamka wazima WA afya Najua hili n kwa wote WANAHITAJI wafanyakazi WA nyumbani Lakini haswaa wale NDUGU ZANGU WA kawe mbezi beach makonde nk mnaoendaga pale kawe kutafuta wafanyakazi WA Malawi WA kuwasaidia nyumban Aka wanyasa Hawa watu...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Hivi wafanyakazi wa TRA nao wanakatwa PAYE kama kada nyingine?

    Maumivu ya kodi ya pay as you earn (PAYE) ni makali mno. Ila sipati shida kwa sababu wote wanapendekeza hiko kiwango cha kodi na ku approve haiwahusu. 🤣🤣🤣Raha sana hii nchi. Sasa wenzetu na mimi waliopo TRA nao wanakatwa? Au ndiyo wana compensate kwa bonus?
  17. N

    JamiiForums Tanzania NIDA Ubungo: Wafanyakazi wabuni biashara ya kukodisha Kanga kwa wanaofuata vitambulisho

    Ofisi ya Nida ubungo wameanzisha biashara nyuma ya zoezi la ugawaji wa vitambulisho linaloendelea. - Wafanyakazi wa getini wamekuwa wakitoza elfu moja moja ya kanga kwa wanawake ambao wamekuja wakiwa wamevaa suruali za jeans au nguo ya kata mikono. Unapofika tu getini kuuliza, kama umevaa...
  18. JamiiForums Tanzania Njia mpya ya kutafuta wafanyakazi au kutafuta kazi kwa wasio na sifa rasmi

    Wanajamvi.. nawasalimia sana. Katika kukabiliana na hali ngumu ya upatikanaji wa wafanyakazi hasa kada isiyo na qualifications maalum, au kwa wafanyakazi kupata kazi katikabsekta isiyo rasmi, tunawaletea app iitwayo servicehands. Hii ni app ambayo unawaunganisha waajiri na wale watafutao kazi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Trump kasema Balozi zote za Marekani zipunguze Wafanyakazi

    MAKING AMERICA GREAT AGAIN. Trump ameamua hakuna kulala mpaka kieleweke. Ikiwa bado suala la USAID linafukuta, Raisi wa Marekani Donald Trump amesema balozi zote za Marekani nchi mbalimbali zijiandae kupunguza wafanyakazi kwa asilimia 10. Hii ni inajumuisha wale wa marekani na waliojiriwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Trump anataka kufukuza wafanyakazi wote wa CIA ili aajiri upya!

    Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…