Matangazo ya walioshinda mamilioni kwa book!Mwanzon nilihisi n shida ya ajira ndio inafanya wanaongezeka wakamaria
Yaan hivi sasa hadi watu wa maofisini wanabet vibaya sana
Watu wakubwa unawakuta kwemye ma casino
Nini kinaendelea wapendwa....
Mikeka.com
Kazindeleeeeee