A
Anonymous
Guest
TECU imekuwa kama sehemu wa vigogo wa TANROADS kujinufaisha ndo maana miradi yote mipya wanafanya figisu ili isimamiwe na TECU ambayo inaleta conflict maana Client ndo huyo huyo Consultant.
Mameneja wa mikoa ndo wanaamua nani wampeleke mwenye miradi na wao ndo ma Project Manager wanalipwa ili hali hawamanahe miradi maana wana majukumu lukuki ofisini badala ya site.
Mameneja PE wanapata double payment kutoka TANROADS HQ na TECU sijui Wakaguzi wa Ndani wanafanya kazi gani! Mbaya zaidi wataalam walioajiriwa nje ya TANRO(outsourced) wana hali ngumu maana hawalipwi stahiki zao kwa miezi mingi mikoa mingine mpaka mwaka na wapi kwa mkataba hatujui haki zetu tutapataje pale mkataba ukiisha.
Ushauri:
Kama TECU inataka kuwa na ufanisi inatakiwa iwe subsidiary kama vile REA inavyojitegemea kutoka TANESCO na watumishi wake nchi nzima walipwe kutoka TECU HQ badala ya ilivyo sasa kila Meneja wa Mkoa analipa kwa muda wake.
Maana sasa hivi hata Chief Engineer wa TECU Eng. Mwandambo hata hajui watu walioajiriwa na TECU wanaishi je hata idadi yeye yupo geresha tu lakini wanaoamua ni PEs ambao ni wawakilishi wa Client (TANROADS), hata mikataba ya wafanyakazi iwe signed na Chief Eng wa TECU badala ya Mamemeja wa Mikoa.
Na wafanyakazi walio ndani ya TANROADS wanaofanya TECU watume msombi na kuwa interviewed from TECU HQ tofauti na sasa kila Meneja ana-asign watu wake (uchawa) na wakati mwingine kuwaacha wenye uwezo na uzoefu.
Kingine TECU iwe inasaini mkataba na TANROADS na bajeti km ilivyo kwa Mkandarasi maana sahivi Invoice za TECU hazilipwi na hakuna service contract ila kuna watu wanafaidika bila kufanya kazi