wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali ina taarifa kuwa Mabenki yanapunguza na kufukuza wafanyakazi?

    Waziri anayehusika na kazi anayo habari kuwa mamia ya wafanyakazi katika mabenki mbali mbali hapa nchini wamepoteza ajira kwa kufukuzwa? Walianza Access, Finca na sasa Stanchart na mengine binafsi isipokuwa yanayomilikiwa na serikali. Kibaya zaidi wafanyakazi wanalipwa mafao duni na wengine...
  2. FAIDA ZA EAC: Tanzania tunapokea wafanyakazi & wanafunzi wengi zaidi kutoka nchi wanachama kuliko nchi nyingine

    Niko napitia gazeti la The East African hapa ukurasa wa tatu wanasema Tanzania tunaomgoza kwa kuwakaribisha watu wa nchi wanachama kuja nchini mwetu KUISHI na KUFANYA KAZI. Kwa ufupi ni kwamba Tanzania tunaongoza kutoa vibali vya kazi na makazi katika EAC. Kenya wanafuatia wa tatu ni Burundi...
  3. L

    Chanjo ya COVID-19 kwa wafanyakazi wa Mashirika ya Kimataifa yaliyoko nchini iratibiwa na nani?

    Baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hasani kuruhusu chanjo ya COVID-19 nchini baada ya kushauriwa na watalaamu wetu, na kwamba mashirika ya kimataifa yalioko hapa nchini yanaruhusiwa kufanya chanjo hiyo kwa wafanyakazi wake. Sasa kitu ambacho sijakielewa/Sikifahamuni kuwa je ni hospitali gani...
  4. MUCE yawataka Wanafunzi na Wafanyakazi kuchukua tahadhari za Ugonjwa wa COVID-19

    Kutokana na mlipuko wa tatu wa Ugonjwa wa COVID19 kuripotiwa Mataifa Jirani, Chuo Kikuu Kishirikishi cha Elimu Mkwawa (MUCE) kimewataka Wanafunzi na Wafanyakazi wake kuchukua tahadhari Chuo hicho kimetoa rai ya uvaaji barakoa, unawaji mikono kwa maji tiririka, matumizi ya vitakasa mikono na...
  5. Tasnia ya habari imejaa wafanyakazi wasio na weledi

    Hello Wakuu, Leo katika pita pita zangu Nimepita katika Page ya Kituo kimoja cha Radio huko mtwara. Nimekutana na hii Habari iliyoandikwa na kupostiwa kwenye page yao kama nilivyo ambatabisha picha hapo chini. Kwa kweli Uandishi wa aina hii ni Aibu kwa tasnia ya Habari.
  6. Kesi ya Radio 5 na waliokuwa wafanyakazi wake kuunguruma tarehe 11 Juni, 2021

    MAHAKAMA Kuu masijala Ndogo ya kazi Kanda ya Arusha kesho June 11 inatarajia kusikiliza kesi ya msingi ya maombi ya wafanyakazi wapatao saba kuomba mahakama hiyo kukamata mali za kituo Cha Tan Communication Media inayo miliki kituo cha utangazaji cha Radio Five kilichopo Njori jijini Arusha...
  7. S

    Godbless Lema: Waziri Simbachawene, 'mortgage plan' kwa wafanyakazi wote wa Serikali ndiyo suluhu ya muda mrefu

    Ameandika hivi kupitia Twitter: Waziri Simbachawene, kuwapatia Polisi viwanja vya ujenzi wa nyumba, utekelezaji wake ni mgumu. Muhimu ni kuongeza masilahi bora kwa Polisi na Serikali ije na mortgage plan kwa wafanya kazi wote,ili mtu aamue anataka kuishi/kustaafu wapi. Mortgage plan ya muda...
  8. W

    Rais wangu Samia zuia wafanyakazi wa NCBA kupunguzwa, Uhuru Kenyatta kakudanganya

    Ndugu yangu Samia, Ninajua umezongwa na vimemo, Ila ninakushauri kuwa ziara ya Kenya imeanza kuleta madhara kwa Watanzania. Benki ya CBA ambayo ni Mali ya Kenyata inampango kupunguza wafanyakazi bila kufuata utaratibu. ha kwa kwanza hakuna sababu yoyote kupunguza wafanyakazi haswa ukizingatia...
  9. J

    Serikali: Chanjo ya Corona iliyoruhusiwa ni kwa wafanyakazi wa Balozi na taasisi za nje, kwa Watanzania bado hatujaamua

    Msemaji mkuu wa serikali Mh Gerson Msigwa ametolea ufafanuzi tangazo la serikali linalohusu chanjo ya Corona. Msigwa amesema chanjo iliyoruhusiwa ni kwa ajili ya wafanyakazi wa balozi na taasisi za kigeni tu. Kuhusu chanjo ya Corona kwa wananchi serikali itafanya uamuzi baada ya kupitia kwa...
  10. J

    Waziri Waitara awatumbua wafanyakazi wawili wa TPA kwa kushindwa kutoa taarifa ya ubovu wa meli ya MV Mbeya II tangu 2020

    Naibu waziri wa ujenzi Mwita Waitara amewasimamisha kazi Watumishi wawili wa mamlaka ya bandari kufuatia kitendo cha watendaji hao kuficha taarifa za ubovu wa meli mpya iliyopokelewa mwaka jana. Mwita amesema watumishi hao walikuwa wanaogopa nini kuieleza Serikali ubovu wa meli mpya hali...
  11. Kasulu, Kigoma: Maduka yafungwa kumshinikiza Rais Samia awaondoe wafanyakazi wa TRA Wilayani

    Wafanyabiashara Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma leo May 29, 2021, wameanza mgomo wakiwatuhumu baadhi ya Maafisa wa TRA kwa kuwabambikia kodi Wafanyabiashara wasiotoa rushwa kwao. Kwenye mgomo huu Wafanyabishara hao wamesisitiza kwamba wanayo orodha ya majina ya Maofisa wote wabambikizaji na...
  12. J

    Ni aibu Chadema kutolipa Wafanyakazi mishahara kwa miezi 6 kwa kisingizio cha kukosa Ruzuku!

    Nimeshangaa chama kikubwa kama Chadema kinashindwaje kulipa mishahara ya watumishi wake!! Yaani pamoja na miradi yote waliyonayo Chadema pamoja na Ada za wanachama bado hamuwezi kulipa mishahara? Ruzuku haitolewi maalumu kwa ajili ya mishahara bali kusaidia ujenzi wa chama na hasa kueneza...
  13. Hujuma? Mwezi sasa wafanyakazi hawapewi mikopo yao kisa mfumo haufanyi kazi

    Ni takribani mwezi sasa wafanyakazi walioomba mkopo benki hawapewi pesa kwa kile kinachodaiwa ni mfumo wa mawasiliano kati ya benki na mwajiri kuwa na hitilafu. Hoja hapa ni je, huo mfumo pia umechezewa ili kumchonganisha mama na wafanyakazi? Na kwanini mamlaka inayohusika na mfumo huo haitoi...
  14. Z

    Kwanini wafanyabiashara wakubwa wakutane na Rais Ikulu badala ya Waziri husika Wizarani?

    Tunavutia wawekezaji lakini njia za kuwekeza na Sheria za uwekezaji haziko Ikulu. Tunazo Wizara na ofisi zinazohusika. Kwa kuwa marais wetu wameamua kuwa ni waalikaji wa wawekezaji, nawaona Mawaziri na wahusika wengine wakikaa pembeni na kufanya kazi za sekretari, kukopi kumbukumbu za mikutano...
  15. Ni bora kuwastaafisha wafanyakazi mapema wakajiajiri kuliko kuwaambia vijana wasio na mtaji wajiajiri

    Wanasiasa waache kutumia lugha za kukariri kuwaambia vijana wajiajiri hafu hawana mtaji kuna haja ya wafanyakazi wa Serikali kufanya kazi miaka 10 tu na baadaye watakuwa na mtaji wa kuja kujiajiri na kuajiri kundi kubwa la watu wasio na ajira Badala ya kukaa miaka 30 au 40 kazini mwisho iwe...
  16. ARUSHA: Wafanyakazi Naura Hotel na Impala waandamana kwa Mabango kuilalamikia Mahakama

    Wafanyakazi zaidi ya 200 wa hotel za Naura Spring na Impala za jijini Arusha wameandamana katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha wakilalamikia mwenendo mbaya wa mashauri yao ya madai yaliyopo mahakamani unaolenga kuchelewesha haki ya kulipwa Madai yao yanayofikia kiasi cha sh,milioni 700...
  17. Mkuranga: Serikali yakifunga Kiwanda cha Nondo kutokana na vifo vya Wafanyakazi wawili

    Mkurugenzi mkuu wa Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (Nemc), Dk Samuel Gwamaka amekifunga kiwanda cha nondo cha Fujian Hexingwang kwa sababu hakina mazingira mazuri ya watu kufanya kazi. Hatua hiyo imetokana na vifo vya wafanyakazi wawili wa kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya Mkuranga...
  18. TAA hakikuwa chama cha kushughulika na maslahi ya wafanyakazi waafrika wa Tanganyika

    TAA HAKIKUWA CHAMA CHA KUSHUGHULIKA NA MASLAHI YA WAFANYAKAZI WAAFRIKA WA TANGANYIKA Abdul Sykes alikuwa na fikra ya kuunda chama cha siasa toka yuko Burma wakati wa Vita Vya Pili Vya Dunia (1939 – 1945) na alipoingia katika uongozi wa TAA mwaka wa 1950 na kuwa mjumbe katika TAA Political...
  19. T

    Rais Samia hakika anajua kuwafuta machozi wanaCCM. Timu ufipa maslahi mpoo...

    Kuanzia siku Rais Samia alipopewa uenyekiti kwa kishindo ndio siku ambayo wanaCCM waliona hakuna kama mama , ameahidi vijana na wazee maslahi yaliyo bora zaidi hivyo naona jinsi timu ufipa maslahi walivyonuna...Hakika biashara ya kujiuza imekufa kifo cha kawaida
  20. Je, Vyama vya wafanyakazi vimeshawahi kuzungumzia Usalama mahala pa kazi

    Ni kweli kwamba mishahara huongeza ufanisi wa kazi, lakini usalama wa kazi huongeza vitu vingine ikiwamo kuepusha majanga ambayo yangepelekea mtu kulazwa hospitali kwa muda mrefu ambayo kwenye long run inapunguza utendaji kazi. Tunaweza sana kuheshimu mishahara lakini nikitazama mazingira...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…