wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mama Mabula kaa chonjo hapo Ardhi, kuna genge la wafanyakazi wezi na waporaji viwanja!

    Nataka kumtahadharisha mama yangu Mpendwa Mama Dk Angelina Mabula. Amekaa hapo Wizara ya Ardhi kwa muda mrefu sasa lakini hajui kuwa kuna kakundi au genge la wezi na waporaji wa viwanja. Suala linaanzia hapo kwa Msajili wa Hati. Mafaili ya viwanja yanapotezwa na kuna nyakati mafaili yanakuwa...
  2. Msaada wa namna ya kuendesha biashara ya mgahawa ambao ni Classic, ingawa siyo sana

    Wapendwa kama ambavyo nimeandika hapo, naomba msaada wa kitaalamu jinsi ya kuendesha biashara hii. Sijafungua ila nimesha fanya maandalizi ya chumba pamoja na vifaa baadhi, ishu kubwa itakuwa kwenye ku-manage pesa na wafanyakazi nk.
  3. K

    Ukiajiriwa ni lazima uwe Mwanachama wa vyama vya Wafanyakazi?

    Nimeona katika taasisi nyingi sana Maafisa Utumishi wamekuwa na tabia ya kuingiza makato kuchangia vyama vya wafanyakazi bila ya idhini ya mwanachama. Hii imekaaje Kisheria kwa wale wajuzi karibuni tujadili pamoja.
  4. Google kupunguza wafanyakazi 12,000 duniani kote, mdororo wa Uchumi watajwa

    Sababu za punguzo hilo ni Mdororo wa Uchumi na Ukuaji Mdogo wa Uchumi wa Dunia usioendana na Mapato ya Kampuni hiyo kwa kipindi cha miaka miwili mfululizo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa Umma, Mkurugenzi Mtendaji wa Google na #Alphabet, #SundarPichai, tayari amewatumia Barua Pepe...
  5. Microsoft kupunguza Wafanyakazi 10,000 ili kubana matumizi

    Uamuzi huo utaathiri hadi 5% ya Wafanyakazi wake wote duniani na utaigharimu kampuni kiasi cha Tsh. Trilioni 2.7 katika kujipanga upya. Kwa mujibu wa Financial Times, Microsoft inatarajia kufanya uwekezaji wa zaisi ya Tsh. Trilioni 23 katika utengenezaji wa Akili Bandia kupitia kampuni ya...
  6. AMAZON kupunguza wafanyakazi zaidi ya 18,000

    Kampuni ya Amazon.com Inc (AMZN.O) inatarajia kupunguza zaidia ya wafanyakazi 18,000 kama sehemu ya upunguzaji wa wafanyikazi kwa mujibu wa Mtendaji Mkuu Andy Jassy Maamuzi hayo yanatarajiwa kutangazwa kwa wafanyakazi Januari 18, 2023 ambapo yanatajwa kuwa yataathiri kwa kiasi kikubwa biashara...
  7. Waliokuwa wafanyakazi wa Twitter waanzisha kampuni mpya

    To be launched January 2023. SPILL ======== A group of former Twitter employees has announced that they are making their own social media platform, just weeks after being laid off by Elon Musk. On October 27, Elon Musk revealed that he had officially become the owner of Twitter after months...
  8. A

    DOKEZO Malalamiko yanayotoka ndani ya DAWASA

    Nawasalimu katika Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, DAWASA ni Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa mazingira mkoa wa Dar es salaam pamoja na baadhi ya maeneo ya Pwani. Nianze kwa kupongea juhudi inafsi zinazofanywa na serikali yetu ya kumtua mama ndoo kichwani, na juhudi za kuhakikisha kua...
  9. Rais wa Msumbiji afuta Bonus ya mshahara wa mwisho wa mwaka kwa wafanyakazi

    Katika hotuba yake Bungeni, Rais Nyusi amesema hatua hiyo imesababishwa na changamoto za kiuchumi na kuongeza kuwa watakaolipwa Bonus hiyo ni Wafanyakazi wasio na Mikataba pekee. Tangazo hilo linafuta rasmi utaratibu wa kila mwaka ambapo Wafanyakazi wa Serikali wamekuwa wakilipwa marupurupu ya...
  10. Naomba Msaada wa kitaalam kwa wafanyakazi wa Airtel

    Kama kichwa cha habari kinavyosema Naitaji msaada wa kitaalam Kwa wafanyakazi wa kampuni ya simu ya Airtel Kuna kijana wangu, ambae ni mtunza bustan na usafi wa nyumba, ameondoka na funguo za gari yangu Kwa bahati mbaya Aliniomba bag dogo, nikampatia sasa nilisahau kutoa funguo na diary zangu...
  11. M

    Jakaya Mrisho Kikwete, Wafanyakazi wa Tanzania wanakumiss sana. Pumzika baba, jipe raha, wewe ni binadamu!

    Wafanyakazi wa Tanzania wanakukumbuka kwa nyongeza zako nzuri za mishahara kila mwaka kwa miaka yako yote uliyotumika kama Mwajiri mkuu!! Jipe raha, pumzika kwa raha zako, kazi uliifanya! Tunajisikia raha tunapokuona unazidi kuwa kijana kila leo! Yaani hapo una miaka 72 lakini ni kama una miaka...
  12. Wafanyakazi wamekosa mtetezi kwa sasa

    Wafanyakazi wamekosa mtetezi kwa sasa; serikali tazameni haki hizi za watumishi: 1. Kodi kubwa mno za mishahara. 2. Kutolipwa malimbikizo ya madai ya mishahara (tatizo kubwa na la muda mrefu). 3. Kutopewa malipo ya likizo kwa muda muaafaka. 4. Kutopandishwa vyeo kwa muda muafaka. 5...
  13. Ni wakati muafaka watumishi kuvikataa vyama vya wafanyakazi nchini

    Ni muda mrefu sasa watumishi nchini wamekuwa wakinyimwa haki zao ambazo zingine ni za kikatiba kabisa, kwa mfano kupewa nyongeza ya mishahara kila mwaka (annual incriment), upandaji wa vyeo, ulipwaji wa madeni na stahiki zingine, n.k. Kutokana uwepo wa vyama vya wafanyakazi (trade unions) kama...
  14. Ethiopia: Wafanyakazi wa kiwanda cha Dangote watekwa

    Waasi ambao inadaiwa wana uhusiano na kikundi cha Oromo Liberation Army wamelaumiwa kwa kuhusika katika tukio hilo la utekaji wa wafanyakazi zaidi ya 10 wa kiwanda cha simenti kinachomilikiwa na Bilionea wa Nigeria, Aliko Dangote. Inadaiwa basi lililokuwa limebeba wafanyakazi hao Wilaya ya...
  15. Mhadhiri SAUT adaiwa kuuawa kwa kunyongwa

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Mwanza, Hamida Mussa maarufu 'Mama Mwakitosi' (64) anadaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mtandio shingoni na mfanyakazi wa ndani ambaye alitokomea kusikojulikana baada ya tukio hilo. Mwili wa Hamida ulikutwa jana Jumanne Novemba 29, 2022 nyumbani...
  16. E

    Dkt. Bashiru ameikumbusha CCM kuwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi siyo walanguzi!

    Kauli ya Dr Bashiru na mjadala ulioibuka unatosha kufanya tathmini ya chama. Sisi tukiwa elimu ya msingi tulifundishwa kuwa CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi, je hivi kweli chama chetu hiki kinasimamia hiyo misingi iliyoasisiwa na waasisi wake? Hotuba ya bashiru iliashiria mwana CCM...
  17. Simu zapigwa marufuku Magerezani Uganda wakati wa Kombe la Dunia

    Agizo hilo limewataka Wafanyakazi wa Magereza kutotumia 'Smartphone' muda wote wakiwa kazini kwa maelezo kuwa Wafungwa wanaweza kutumia msisimko wa Soka kutoroka. Msemaji wa Magereza Frank Baine amesema "Wafanyakazi wote hawatakiwi kuripoti kazini na Simu kwa sababu zinavuruga umakini na...
  18. Elon Musk aagiza wafanyakazi wa Twitter wawajibike kwa masaa mengi au waache kazi

    Mmiliki huyo mpya wa Twitter amewatumia Barua Pepe wafanyakazi wake ikiwa na masharti mapya ya utendaji huku akiwataka wanaokubaliana nayo kujaza fomu maalumu hadi kufikia leo Nov 17, 2022 jioni wawe wamezikabidhi. Musk amesema "ili kwenda mbele, na kujenga mafanikio ya Twitter 2.0 na...
  19. Wafanyakazi Wasoma Mita wa Dawasco na Mgawo huu wa Maji DSM msipokuwa na Majibu ya Kinidhamu mtaishia ICU Muhimbili

    Mteja... Ndugu Mfanyakazi wa Dawasco mbona Kwetu sasa Maji hayatoki Wiki Mbili? Mfanyakazi Dawsco.... Kwa Matajiri na Wakubwa Masaki sasa wana Mwezi wa Pili umesikia au kuona Wanalamika? Mteja..... Ndugu Mfanyakazi wa Dawasco imekuwaje leo Kawe Maji mmeyafungulia Saa 1 Asubuhi na kuyakata...
  20. Wasichana na wanawake tafuteni waume siyo wafanyakazi

    Katika vitu vinanishangaza ni wanawake wa kileo kutafuta wafanyakazi na wafanyabiashara baada ya kutafuta wanaume wa kuwaoa. Inakuwaje mwanamke unaweka sharti la dini kwenye ndoa na sharti la mume au mke kuwa na kazi? Dini sio ndoa Kama dini ni ndoa mngetongozwa uko msikitini na Makanisani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…